Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Four years later, tena after kumzalisha ndo unakuja kutuuliza silly questions?Shida sio kuoa ... ANAAMINIKA,?
Good for her then...Four years later tena after kumuuliza ndo unakuja kutuuliza silly questions?
I hope she finds a man who prima facie knows that she is definitely the one and makes her his wife.
Wewe endelea kutafuta anaeaminika.
Yes and for you.Good for her then...
Mimi Sisyphus leo, nimeliona joto la jiwe ... mtu nilimuamini ameanza rasmi kuonyesha MAKUCHA yake ... ni miaka minne sasa niko na huyo mwanamke, ni muda mrefu sasa mwenzangu alikua anaomba ndoa mara nyingi sana..nimejaribu kumuelewesha asubiri tujipange kwanza (na najipanga kweli sio uhuni) .. maana tushamleta na mtu duniani, naona sasa muda wa uvimilivu wake umaenza kufika kikomo .... story inaanzia kati, leo al
WAJAMENI ...nipeni ushauri mana shetani ananizonga na mawazo yake ... ni chukue hatua gani easy way , hard way Au mixing
MAAZIMIO shetani amenijia na ujumbe wa kumpiga chini mapema maana nilivyokua nafanya nafanya kwa ajili yetu sote isingekua hivyo mi ningeenda zangu SHULE KITAAMBO nikabukue zangu masters ya masimulizi...
WAJAMENI ...nipeni ushauri mana shetani ananizonga na mawazo yake ... ni chukue hatua gani easy way , hard way Au mixing
Endelea tu mama D huwezi jua labda unasaidiaKwenye hayo mahusiano yenu kuna kitu mwenzio amekiona ambacho mimi nimekiona kwenye post yako
Ni kama vile hujui unachokitaka
Au ni kama vile huna maamuzi
Ngoja niishie hapo tuu kwa sasa ili na mimi nisijipotezee muda
Kill her financially. She will come back homeNimeandika si vizuri sana kidogo naona niko EMOTIONAL. Mtanisamehe
Endelea tu mama D huwezi jua labda unasaidia
Kwan nimeandika kizungu mkuuUna maanisha nini dinazarde
Miaka minne mingi sana kusubiri .Wanaume tu wabinasfi sana:
1. Miaka 4 ya mahusiano.
2. Umemzalisha - anaweza asiwe wako.
3. Amedai ndoa sana.
4. Ameenda tafuta chumba mwenyewe!
Yeye mwanamke angoja tu utakuja muoa? Kweli? Kweli? Hana kosa huyo mwanamke hata Kama analiwa!
Sawa inawezekana nina makosa ... lakini kwao nilishaenda na nikajitambulisha... yote kwa yote sioni kwamba alichochagua ni sahihiMwenzio atakua anakujua vizuri sana kakuona hueleweki.
Kwani kufunga ndoa sh ngapi? Vile vyeti vya ndoa vinalipiwa sh ngapi? Au wewe unataka kufanya karamu ya taifa??
Tena usikute unaishi na mtoto wa watu kihuni wala kwao hujaenda kwa kufuata taratibu halafu unamshikilia tuu muda unaenda kwa ahadi za subiri
Huyo nae ni binadamu na kama ametafuta mtu mwingine umeyataka mwenyewe