huyo mwanamke hashindwi kukuwekea sumu ufe il akainjoy na uyo mpumbav mwenzake, kama kaweza kukuchit akiwa na mtot mdogo hivyoz jiulize kipnd hana mtoto je? ama mtot akiwa mkubwa je? , uaminifu =0 hapo jombaa.
humu kila siku watu wanaleta mathread ya kutoshirikiana na wanawake ambao si wake kufanya maendeleo na kuwawezesha, lkn ninyi hamsikii, yakiwakuta ndyo mnarudi humu tena mkilia lia kutaka msaada.
kuwa mwanaume mwenye maamuzi na msimamo mkali, mueleze ukwel kuwa kama kapata mtu, bas wacha waendelee wew utamsaidia tu kulea mtoto, and take your time, find more money then catch the cute girl with smart behaviour na umuoe ukiona muda ushafika, acha tamaa za kumng'ang'ania mtu mwenye meno32 ambaye hujui moyon mwake anawaza kitu gani.
hiz tabia za kumganda ganda mtoto wawatu kama ruba hiz ndzo znasababisha hawa wanawake wanapandisha dharau na matendo ya mauwaji ktk mapenzi hayakomi sabbu ya kuendekeza upumbv wa kugandana gandana kama kupe, jifunze kumuacha aende, acha ujinga bro, huyo atakutesa sana ukimuweka ndani.
mark hii koment yangu, ipo siku utarud humu ukimlaani na , kuomba ushaur, lkn will be too late... fanya maamuzi sasa, mwanamke msaliti ktk mapenz yaliyofikia level yenu huyo ni sawa na mchawi anaeloga boti izame majini ilihali nayeye yumo ndani ya iyo boti,.mfuate mpe last warning, akishindwa fukuza huyo hakufai...