Ninahisi mpenzi wangu ana mwanaume mwingine

Ninahisi mpenzi wangu ana mwanaume mwingine

Yupi hawezi kumuwekea sumu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

[emoji3516]Usikosee kuchagua na baada ya kumchagua , fuata taratibu za kuishi nae sawasawa, na kubwa kabisa ishi nae kwa akili[emoji111][emoji857][emoji2][emoji2]

"Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe." 1 Petro 3:7​

bila shaka wew hujakutana na matatizo, ndyomaana unarahisisha tu, pia wew ni mwanamke that's why huelewi matatizo yanayowakumba wanaume, pale mnapozngua, kuish kwa akil na mwanamke mojawapo ni kumuacha aende, ili kila mtu abaki na amani...WAJINGA HUANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA
 
Wanawake mnajitahidi kuteteana kwenye huu uzi
Mkuu wadada wengi nowdays ni akili kisoda[emoji16] hata huyo wa jina la mama D unaona hapo kama anaongea vitu vya maana kumbe behind her back ni pimbi tu.

Inshort wadada wa sasa wote ni mapimbi.

Ushauri kwa braza....
Ukipata ushahidi alicheat zaba vibao atakuja kuelewa baadae(hawa inabidi sometime tuwatreat kama watoto maana akili zao visoda) ila akikaza shingo piga chini wadada siku hizi ni kama chai tu[emoji16][emoji16]
 
Mimi Sisyphus leo, nimeliona joto la jiwe ... mtu nilimuamini ameanza rasmi kuonyesha MAKUCHA yake ... ni miaka minne sasa niko na huyo mwanamke, ni muda mrefu sasa mwenzangu alikua anaomba ndoa mara nyingi sana..nimejaribu kumuelewesha asubiri tujipange kwanza (na najipanga kweli sio uhuni) .. maana tushamleta na mtu duniani, naona sasa muda wa uvimilivu wake umaenza kufika kikomo ....

Story inaanzia kati, leo alienda kutafuta chumba mana kuna short course alikua anataka kusomea kwahiyi ikambidi akatafute chumba sasa amefika dalali akamwambia asubiri mama mwenye nyumba arudi kwahiyo itambidi akae masaa matatu kumsubiri... akanipa taarifa mimi nikaona hakuna logic ya kumsubirisha mana anakoishi(siishinae) amecha mtoto ( 1.9 year) basi bwana nikampigia dalali , dalali akaanza kuropoka “ ooh bro msiondoke mana mkiondoka hiki chumba mtakikosa” ... la haula ikabidi ni muulize nisiondoke na nani, akajibu “ we si yule jamaa mumewe ambae uko nae” bila kufikiri mara mbili nikajibu hapana mimi ni mumewe ila sipo huko.

Dalali akaanza kuuma uma maneno mwisho akasema aaah basi ngoja kidogo nitaku-check ... nikamuambia embu subiri nipe maelezo kidogo huyo mwanamama amekuja na nani? ... kwa sababu alishaanza ikabidi aseme amekuja na jamaa akamtambulisha ni mumewe ( mimi nilipo ikabidi nikae chini kwanza ) ... lakini dalali akaendelea itakua basi boda... nikamwambia sawa fatilia hilo swala la mama mwenye nyumba kwanza.

Nikatulia kwanza alafu nikamtafuta vipi mwenzangu leo umeenda na nani? Mara ooh sijaenda na mtu mara oohh ni boda ndiye niliyemtambulisha mume wangu ... kwa kifupi taarifa aliyonipa dalali ni kwamba walienda wawili na aliwaacha wawili ukiacha boda.
Ikanibidi nimuulize vizuri boda ndio unamtambulisha mumeo ,? ( ...ghafla akaanza ule mchezo wao anakurudishia maswali kwani wewe huniamiani blah blah).

Baada ya haya ikabidi nianze ku-analyse wapi nilikosa umakini mpka nikashindwa kuona hili kwa hupitia uwezo wa roho mt. nikaanza kuona vingi nilivyokua sitilii maananini kwanza AMEACHA KUSISITIZIA NDOA , pili amepunguza wivu na anakaribia kuacha kabisa , tatu amekua na majibu ya mkato na kujifanya anajiamini( now days ana-vihela mana kuna-business nilimpa akaweza ku-make kwa kipindi kifupi).

Nne .. kuna mambo anayafanya mwenyewe mwenyewe na hua tunashirikishana kila kitu ila nimeanza kuona gap upande wa pili
NB: huyu mwana-mama nimefanya nae vitu vingi sana hata kipindi na mpiga tarehe anafaham hasa nini nilikua nafanya, nilivyofanya na naendelea kufanya . MAAZIMIO shetani amenijia na ujumbe wa kumpiga chini mapema maana nilivyokua nafanya nafanya kwa ajili yetu sote isingekua hivyo mi ningeenda zangu SHULE KITAAMBO nikabukue zangu masters ya masimulizi...

WAJAMENI ...nipeni ushauri mana shetani ananizonga na mawazo yake... ni chukue hatua gani easy way , hard way Au mixing
mpaka kufikia hapo piga chini huyo mwanamke huyo sio mwanamke wa kufanya nae maisha, cha pili mshukuru sana dalali amekustuwa mapema.
 
Yap tukiongelea ndoa tukaona haieleweki tunatafuta pengine
NB: huyu mwana-mama nimefanya nae vitu vingi sana hata kipindi na mpiga tarehe anafaham hasa nini nilikua nafanya, nilivyofanya na naendelea kufanya .
Ukiisoma hiyo statement btn the line utaona sio kwamba jamaa haeleweki kuhusu ndoa ila anatengeneza mazingira hata wakiingia kwenye ndoa wawe wako sawa. Shida huyu mwanamke anatamani harusi sio ndoa maana kwa kufikia hapo mpaka wana mtoto mwenye zaidi ya mwaka tayari hiyo ni ndoa
 
Mkuu wadada wengi nowdays ni akili kisoda[emoji16] hata huyo wa jina la mama D unaona hapo kama anaongea vitu vya maana kumbe behind her back ni pimbi tu.

Inshort wadada wa sasa wote ni mapimbi.

Ushauri kwa braza....
Ukipata ushahidi alicheat zaba vibao atakuja kuelewa baadae(hawa inabidi sometime tuwatreat kama watoto maana akili zao visoda) ila akikaza shingo piga chini wadada siku hizi ni kama chai tu[emoji16][emoji16]
Umepiga kisu kwenye mfupa
 
NB: huyu mwana-mama nimefanya nae vitu vingi sana hata kipindi na mpiga tarehe anafaham hasa nini nilikua nafanya, nilivyofanya na naendelea kufanya .
Ukiisoma hiyo statement btn the line utaona sio kwamba jamaa haeleweki kuhusu ndoa ila anatengeneza mazingira hata wakiingia kwenye ndoa wawe wako sawa. Shida huyu mwanamke anatamani harusi sio ndoa maana kwa kufikia hapo mpaka wana mtoto mwenye zaidi ya mwaka tayari hiyo ni ndoa
Bro acha tu yani swala la ndoa alianza kulizungumzia miezi mitatu tu tangu tukutane ...
 
Ila we jamaa ulofungua thread nikuulize swali, huyo mkeo unamuogopa?
Nijibu kwanza.
 
Four years later, tena after kumzalisha ndo unakuja kutuuliza silly questions?

I hope she finds a man who prima facie knows that she is definitely the one and makes her his wife.

Wewe endelea kutafuta anaeaminika.
Unadhani ndoa ni ya kufanyia majaribio? Kwani kuzaa watoto ndio nini? Yaani niteseke na ndoa kwa kuona mke wangu analiwa nje kisa watoto? Wanaume lazima tujue tabia kwanza tujiridhishe
 
Wanaume tu wabinasfi sana:

1. Miaka 4 ya mahusiano.
2. Umemzalisha - anaweza asiwe wako.
3. Amedai ndoa sana.
4. Ameenda tafuta chumba mwenyewe!

Yeye mwanamke angoja tu utakuja muoa? Kweli? Kweli? Hana kosa huyo mwanamke hata Kama analiwa!
Bado haviwezi kuwa kigezo cha kuliwa nje! Ndoa sio majaribio!
 
Mwenzio atakua anakujua vizuri sana kakuona hueleweki.

Kwani kufunga ndoa sh ngapi? Vile vyeti vya ndoa vinalipiwa sh ngapi? Au wewe unataka kufanya karamu ya taifa??

Tena usikute unaishi na mtoto wa watu kihuni wala kwao hujaenda kwa kufuata taratibu halafu unamshikilia tuu muda unaenda kwa ahadi za subiri

Huyo nae ni binadamu na kama ametafuta mtu mwingine umeyataka mwenyewe
Ndoa sio majaribio! Hakuna mwanaume yupo tayari kuoa tabia chafu!
 
Kumbuka mna mtoto ohoo... muoe weka ndani
USIMDANGANYE.


JAMAA UAITHUBUTU KUMUOA HUYO DEMU ET KISA UMRIDHISHE.

USIMUOE ET KISA MMEZAA NAYE MTOTO


ACHA MARA MOJA.


POTEZEAA.

MAADAM KESHAKUPA MTOTO.....NIAMIN ATAKUJA SIKU MOJA AKILIA NA KUKUBEMBELEZA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Piga chini malaya huyo mkuu....Demu usipokua na imani nae wakati wa uchumba usimuoe,nasisitiza USIMUOE!
 
Back
Top Bottom