Umemalert usingeendea jambo hivyo, ulipaswa ungeweka mipango dhabiti ili kuhakikisha unamkamata na anakubali ame cheat, then unamuacha.
Mwanamke ambae huwa nampenda sana , siku akinifanyia kitu cha kuniumiza, huwa naumia sana ni bora hata adui yangu angenifanyia, nikishaondoka ndio imetoka hio, hairudi, kwanza huwa wanakula block, halafu huwa namdharau mno kiasi kwamba hata kesho nimkute na mwanaume hanistui.
Nakushauri, atakusumbua mkuu, move on, huyo si mwaminifu, angekuletea hata mwana si wako. Huwa tunaomba mungu atupe mke mwema lakini mungu amekuonyesha huyo si mwema, imagine huyo dalali asingesema hilo jambo, ungekuwa unatafuniwa daily.