Ninahisi nimebugi, nataka tuandikishiane nimpe milioni 5 ya msingi. Anipe mwanangu atakapofikisha umri

L
Kosa linaweza lisiwe lake lakini familia anayotoka ndo kikwazo huwezi kuoa kwenye familia ya kijambazi kama hiyo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sema hapa jamaa katajiwa kiasi cha pesa tokana na Jinsi maisha yale yalivyo niamini mimi...!! Mtu anaeweza toa Mil 5 inaonekana mpunga anao...
 
Rudia post... Binti anasema pole tu huku akiendelea kupanga mipango ya ndoa
Mkuu sasa ulitaka asemaje..??? Demu ashaona neema ya ndoa imeingia tena single maza hivi kwa akili ya Kawaida tu anaweza anza kumshauri jamaaa acancel utaratibu wa kutoa mahari bila jamaa kusema!??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wee ulisikia wapii wanawake wakisikia ndoa wanapagawa mkuu yani wanawehuka hasaa kuna jamaa yule alifunga ndoa huku mama yake amefariki yani kuna Msiba na Harusi wakati mmoja.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sema hapa jamaa katajiwa kiasi cha pesa tokana na Jinsi maisha yale yalivyo niamini mimi...!! Mtu anaeweza toa Mil 5 inaonekana mpunga anao...
Mimi nadhani angekua tayari kutoa pesa hzo asingekuja kulalamika hapa anaweza akawa na uwezo wa kutoa pesa hizo lakn akiangalia uhalisia haupo kabisa na future ya familia yake kiujumla sio nzuri halafu kingine kwetu sisi wajaluo mwanamke akiishazaa kwao thamani yake inashuka unaweza kumuoa hata kwa laki 2 coz hawana pa kumpeleka
 
Jamaa afunguke Asema ana laki 5.. Iwe sababu tosha familia inaweza sema toa laki 6 bhasi [emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ahaaaaaaa yeye afanye bargaining sio?
Eehe hicho ndo cha Muhimu...!! Hakuna Mahari utaenda uambiwe pesa ndogoo labda mashehee ambapo mwanamkw wako anataja.

Mwanamke amesoma ana Degreee amini utatajiwa Mil kwenda mbelee sema shida ni single maza so pesa inapungua sanaaa kwa asilimi 90...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na hapo Baba wa mtoto akiwa amefariki kama yupo Hai bhasi hata laki 2 unabebaa matatizo yako ukafie nayo mbelee..
 
Milioni Tano? Bwana mdogo una hela za kuchezea kiasi hicho? Hebu Achana na Huo utoto. Wewe tunza mimba kama una uhakika ni ya kwako na mtoto akizaliwa uwe unatoa hela ya matumizi kila wiki. Hiyo hela Bora umpe mama ako mzazi.

Huyo sio Mwanamke kabisa. Achana nae.kabisa.

Usiposikia ushauri unao pewa na WADAU. Hiyo itakuwa ni Shauri Yako
 
Nmefurah hapo uliposema ya kwako mwenyew yamekushinda
Nimejitafakari nikagundua sina moral authority ya kutoa ushauri wakati mimi mwenyewe nilishndwa jishauri
 
Swala dogo kama ni mimi ningefanya hivi.

Kwanza Nimeshampa Mimba.


Ningewambia Wazazi wake kua wanisubiri nimuuguze mama yangu apone.

SIWEZI TOA MAHARI, MAMA ANAUMWA , kwamba nisipomjali ,akaaga dunia... Kwenye Sherehe yangu kweli nitakua na Furaha??

WACHANE LAIVUUU NA WAKUELEWR KWELIKWELI TENA NILITEGEMEA MPAKA SASA, HAO WAKWE ZAKO WANGEKUA WAPO KARIBU NA MAMA YAKO ( WATAKE WASITAKE).


narudi kwa Binti, Ninemwambia, Weee wajua kipato changu, nakwasasa wajua hali ya mama.

Naona tusogeze mbele maswala ya Mahari na sherehe kwa sasa tumuangalie Mama kwanza.


Tuchukulie kama anajifanya hajali mama yangu

[emoji117]Ningewaza kwanza nmemkuta na mtoto ( hawa huwa hawaachani ,kwaiyo maisha yako ni stress, na utalazimika kumtunza mtoto kwa kila kitu ili usitoe nafasi ya Baba mtoto wake kua karibu na mkeo ,LAKINI BADO ATALIWA TU KIMASIHARA TENA KAMA HANA HOFU YA MUNGU)

[emoji117]Ningewaza kama hajali Mama yangu. Anataka nijali wakwao,HUYU HAMNA KITU

[emoji117]HATA YEYE HANA KAZI.



KWA KUSEMA HAYO, NINGEHITIMISHA IVI

[emoji117]KUZAA NAMTU SIO SABABU YA KUMFANYA UMUOE.

[emoji117]KUZAA NAMTU SIO SABABU YA KUFANYA MATUMIZI MABAYA YA PESA.


[emoji117]NINGEMWAMBIA, NIMEAMUA NIACHANE NA ZOEZI LA KUKUOA .

[emoji117] NIMEAMUA NITUMIE PESA YANGU KWA AJILI YA MAMA.


[emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]NITALEA MIMBA HIYO NA NIAKUPA PESA KAMA MTAJI WA KUKUSAIDIA .




Jamaa, kwa ufupi, Upendo hupewa anayestahili, WEWE SIO MTU WA YOYOTE YULE.
 


Piga chini huyo fasta kabisa....mama kwanza mke baadae. Papuchi zipo nyingi mwanawane wala usipate presha.
 

Umetoa nondo za maana mwanawane
 
Mmmh aisee huo ukoo ukoje kwanza wa kupiga simu na kujipangia mahari?
Na wkt ki kawaida mshenga ndio anatakiwa kwenda kupanga nao.
Hapo itakuwa unataka kufanywa ka saccos.
 
Kabla ya kudate na mtu muwe mnachunguza sifa na tabia za kabila na eneo alilotokea mtakuja kuumia
 
Nawewe unakuwa boya.

Ushaambiwa kimbia, wewe unalazimisha kumpa mtaji.

Mrudishe kwao, mwambie unajipanga. Mambo yako yakiwa vizuri utamrudisha. Akishaondoka ndo ntolee.

Matunzo ya mtoto utamtumia tigo pesa.
 
Inatosha mkuu, wazee wa kufungua code wanaweza wakawa wameshamfahamu , confidentiality muhimu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Matatizo yao ya ukoo na biashara za ndoto zao wanataka wayamalize kwako.
Mkuu mimi na kuunga mkono kwa uamuzi wowote.
Hawana busara.
 

Hio hela ikiisha atarudi kukusumbua tuuu!

Mi nna experiences kibao za hvo, anko angu aliamua kuachana na wife ake, akampa mil 3. Kamfungulia na ka kibanda, kamnunulia kitanda na godoro.

Haukupita mwaka duka likawa linatunza familia yao yote mwanamke hadi likaisha, kitanda akawa analalia dingi ake na dem, wao wanalala kwenye godoro chini na mtoto. Usumbufu wa matunzo ya mtoto ukaanza tena. Yaan haikueleweka mpunga aliopewa aliufanyia nn, mambo yakaanza upya ,Nazani walifikishanaga hadi ustawi wa jamii ndo jamaa akachhkua mwanae alipofika miaka mitatu lakini ilikua kwa mbine sana. Kiufupi wanawake wasiojiweza wanatumia watoto/ ujauzito kama source ya mapata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…