Swala dogo kama ni mimi ningefanya hivi.
Kwanza Nimeshampa Mimba.
Ningewambia Wazazi wake kua wanisubiri nimuuguze mama yangu apone.
SIWEZI TOA MAHARI, MAMA ANAUMWA , kwamba nisipomjali ,akaaga dunia... Kwenye Sherehe yangu kweli nitakua na Furaha??
WACHANE LAIVUUU NA WAKUELEWR KWELIKWELI TENA NILITEGEMEA MPAKA SASA, HAO WAKWE ZAKO WANGEKUA WAPO KARIBU NA MAMA YAKO ( WATAKE WASITAKE).
narudi kwa Binti, Ninemwambia, Weee wajua kipato changu, nakwasasa wajua hali ya mama.
Naona tusogeze mbele maswala ya Mahari na sherehe kwa sasa tumuangalie Mama kwanza.
Tuchukulie kama anajifanya hajali mama yangu
[emoji117]Ningewaza kwanza nmemkuta na mtoto ( hawa huwa hawaachani ,kwaiyo maisha yako ni stress, na utalazimika kumtunza mtoto kwa kila kitu ili usitoe nafasi ya Baba mtoto wake kua karibu na mkeo ,LAKINI BADO ATALIWA TU KIMASIHARA TENA KAMA HANA HOFU YA MUNGU)
[emoji117]Ningewaza kama hajali Mama yangu. Anataka nijali wakwao,HUYU HAMNA KITU
[emoji117]HATA YEYE HANA KAZI.
KWA KUSEMA HAYO, NINGEHITIMISHA IVI
[emoji117]KUZAA NAMTU SIO SABABU YA KUMFANYA UMUOE.
[emoji117]KUZAA NAMTU SIO SABABU YA KUFANYA MATUMIZI MABAYA YA PESA.
[emoji117]NINGEMWAMBIA, NIMEAMUA NIACHANE NA ZOEZI LA KUKUOA .
[emoji117] NIMEAMUA NITUMIE PESA YANGU KWA AJILI YA MAMA.
[emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]NITALEA MIMBA HIYO NA NIAKUPA PESA KAMA MTAJI WA KUKUSAIDIA .
Jamaa, kwa ufupi, Upendo hupewa anayestahili, WEWE SIO MTU WA YOYOTE YULE.