Ninahisi nimebugi, nataka tuandikishiane nimpe milioni 5 ya msingi. Anipe mwanangu atakapofikisha umri

Ninahisi nimebugi, nataka tuandikishiane nimpe milioni 5 ya msingi. Anipe mwanangu atakapofikisha umri

L
Kosa linaweza lisiwe lake lakini familia anayotoka ndo kikwazo huwezi kuoa kwenye familia ya kijambazi kama hiyo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sema hapa jamaa katajiwa kiasi cha pesa tokana na Jinsi maisha yale yalivyo niamini mimi...!! Mtu anaeweza toa Mil 5 inaonekana mpunga anao...
 
Rudia post... Binti anasema pole tu huku akiendelea kupanga mipango ya ndoa
Mkuu sasa ulitaka asemaje..??? Demu ashaona neema ya ndoa imeingia tena single maza hivi kwa akili ya Kawaida tu anaweza anza kumshauri jamaaa acancel utaratibu wa kutoa mahari bila jamaa kusema!??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wee ulisikia wapii wanawake wakisikia ndoa wanapagawa mkuu yani wanawehuka hasaa kuna jamaa yule alifunga ndoa huku mama yake amefariki yani kuna Msiba na Harusi wakati mmoja.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sema hapa jamaa katajiwa kiasi cha pesa tokana na Jinsi maisha yale yalivyo niamini mimi...!! Mtu anaeweza toa Mil 5 inaonekana mpunga anao...
Mimi nadhani angekua tayari kutoa pesa hzo asingekuja kulalamika hapa anaweza akawa na uwezo wa kutoa pesa hizo lakn akiangalia uhalisia haupo kabisa na future ya familia yake kiujumla sio nzuri halafu kingine kwetu sisi wajaluo mwanamke akiishazaa kwao thamani yake inashuka unaweza kumuoa hata kwa laki 2 coz hawana pa kumpeleka
 
Jamaa afunguke Asema ana laki 5.. Iwe sababu tosha familia inaweza sema toa laki 6 bhasi [emoji23][emoji23]
 
Unajua mtu unapoomba ushauri mara nyingi unakuwa ushafanya maamuzi, msemo wa serikali yako kichwa chako ndipo unaapply. Fanya kile unachohisi ni sahihi maana mahusiano hayana formula hata mimi ya kwangu yalinishinda usione niko hapa nakushauri wewe wakati mimi mwenyewe nina mtoto wa miaka mitano nalea mwenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ahaaaaaaa yeye afanye bargaining sio?
Eehe hicho ndo cha Muhimu...!! Hakuna Mahari utaenda uambiwe pesa ndogoo labda mashehee ambapo mwanamkw wako anataja.

Mwanamke amesoma ana Degreee amini utatajiwa Mil kwenda mbelee sema shida ni single maza so pesa inapungua sanaaa kwa asilimi 90...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na hapo Baba wa mtoto akiwa amefariki kama yupo Hai bhasi hata laki 2 unabebaa matatizo yako ukafie nayo mbelee..
 
Milioni Tano? Bwana mdogo una hela za kuchezea kiasi hicho? Hebu Achana na Huo utoto. Wewe tunza mimba kama una uhakika ni ya kwako na mtoto akizaliwa uwe unatoa hela ya matumizi kila wiki. Hiyo hela Bora umpe mama ako mzazi.

Huyo sio Mwanamke kabisa. Achana nae.kabisa.

Usiposikia ushauri unao pewa na WADAU. Hiyo itakuwa ni Shauri Yako
 
Nmefurah hapo uliposema ya kwako mwenyew yamekushinda
Nimejitafakari nikagundua sina moral authority ya kutoa ushauri wakati mimi mwenyewe nilishndwa jishauri
 
Swala dogo kama ni mimi ningefanya hivi.

Kwanza Nimeshampa Mimba.

Ningewambia Wazazi wake kua wanisubiri nimuuguze mama yangu apone.

SIWEZI TOA MAHARI, MAMA ANAUMWA , kwamba nisipomjali ,akaaga dunia... Kwenye Sherehe yangu kweli nitakua na Furaha??

WACHANE LAIVUUU NA WAKUELEWR KWELIKWELI TENA NILITEGEMEA MPAKA SASA, HAO WAKWE ZAKO WANGEKUA WAPO KARIBU NA MAMA YAKO ( WATAKE WASITAKE).

narudi kwa Binti, Ninemwambia, Weee wajua kipato changu, nakwasasa wajua hali ya mama.

Naona tusogeze mbele maswala ya Mahari na sherehe kwa sasa tumuangalie Mama kwanza.

Tuchukulie kama anajifanya hajali mama yangu

[emoji117]Ningewaza kwanza nmemkuta na mtoto ( hawa huwa hawaachani ,kwaiyo maisha yako ni stress, na utalazimika kumtunza mtoto kwa kila kitu ili usitoe nafasi ya Baba mtoto wake kua karibu na mkeo ,LAKINI BADO ATALIWA TU KIMASIHARA TENA KAMA HANA HOFU YA MUNGU)

[emoji117]Ningewaza kama hajali Mama yangu. Anataka nijali wakwao,HUYU HAMNA KITU

[emoji117]HATA YEYE HANA KAZI.

KWA KUSEMA HAYO, NINGEHITIMISHA IVI

[emoji117]KUZAA NAMTU SIO SABABU YA KUMFANYA UMUOE.

[emoji117]KUZAA NAMTU SIO SABABU YA KUFANYA MATUMIZI MABAYA YA PESA.

[emoji117]NINGEMWAMBIA, NIMEAMUA NIACHANE NA ZOEZI LA KUKUOA .

[emoji117] NIMEAMUA NITUMIE PESA YANGU KWA AJILI YA MAMA.

[emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]NITALEA MIMBA HIYO NA NIAKUPA PESA KAMA MTAJI WA KUKUSAIDIA .

Jamaa, kwa ufupi, Upendo hupewa anayestahili, WEWE SIO MTU WA YOYOTE YULE.
 
Habari za asubuhi, wanajamiiforum.
Niko hapa kuomba msaada kwa haya yanayonisibu. Mimi ni kijana wa umri wa miaka30 kamili. Ni mwajiriwa serikalini. Niko hapa kuwataka msaada wa kimawazo kwa hali ninayopitia ambapo naona kama kuna kitu hakiko sawa kwangu.

Niliwahi kuishi kwenye ndoa kwa takribani miaka miwili ambapo hatma ya ndoa ilikua kufiwa kwa mwenza wangu hivyo nikabaki single. Hii imetokea last year 2019 March. Baada ya kukaa kwa takribani miezi 9, baada ya kukutwa na hili, niliamua kutafuta mwenza mwingine ambaye tungesongesha maisha ndipo nakutana na changamoto hizi.

Nilipata binti wa kijaluo toka ujaluoni ambaye ni mhitimu wa elimu ngazi ya degree ila hana ajira. Binti niliempata nimemkuta akiwa na mtoto mmoja wa miaka tisa. Kiufupi kabla sijapata uhakika wa tabia za binti vizuri nilijikuta naingia kwenye mtego baada ya binti huyu kupata ujauzito.

Licha ya kuwa sikujipanga ila nilifurahi sana kwani sijabahatika kupata mtoto na akaishi. (Marehemu mke wangu amefariki akiwa na kichanga changu pia). Sasa baada ya kuamua kulea ule ujauzito ambao mpka sasa tunategemea kupata kichanga next year January, nikajikuta napewa jukumu la kumlea yule mtoto niliemkuta kielimu(kulipia ada na mahitaji mengine).

Baada ya muda binti akaja kuishi kwangu nami nikaliafiki hilo ili tuzidi kufanya maisha nikiwa na imani kuwa nitamrasimisha soon tu baada ya kujifungua mtoto.

Leo ni wiki sasa kuna mambo yamejitokeza, binti aliniambia niwe na uharaka wa kumtolea mahali kabla Desemba. Baada ya kuambiwa kuhusu hilo niliamua kudodosa uhalisia wa kiasi cha pesa ambacho ningetakiwa kutoa kama mahari, nikawa nimejibiwa. Ila kuanzia juzi kuna kitu nimekinotice, kuanzia baba, mama, baba mkubwa na wengine wengi kila mmoja amekua akitaja kiasi cha pesa au kitu anachokihitaji ili kiwe nimekiambatanisha kwenye hio mahari, baada ya kupiga mahesabu naona kabisa inazidi 2m na hapo hapo majukumu mengine yananikabili. (Nauguza mama angu mzazi ambaye yuko hoi kitandani).

Baada ya kuliona hili binti haoneshwi kustushwa na taarifa ya kuuguliwa kwangu pengine tukasogeza mbele hii shughuli yeye anaishia kusema pole tu huku mengine yakiendelea(means hizo taratibu zake za kutaka mwisho wa mwezi huu niende kwao).
Kuna kitu nimegundua kuwa nisipokua makini jamii yangu itanishangaa endapo nitaenda kutoa mahali na wakati tuna mgonjwa akiwa hoi.

Nayoyafikiria kichwani mwangu ni haya, Nimekuwa mtu wa kupoteza muda wangu na pesa zangu kujaribu mahusiano ambayo yatakua yenye tija kwangu hivyo muda unaenda na sioni kupiga hatua za maendeleo yangu binafsi.

Nataka nichukue kiasi cha milioni 5 au 4 kisha nimkabidhi kwa maandishi mbele ya wanasheria kuwa ninampa kama msingi wake utaomsaidia baada ya kujifungua kufanya lolote ambalo, lakini pia kuandikisha kuwa nitalea ujauzito na mtoto baada ya kujifungua salama mpaka atakapofikia umri nimchukue niishi nae mwenyewe. Kiufupi naona nataka kupata mzigo mkubwa sana mbeleni nisipokua makini.

Naombeni msaada wenu wakuu ninahisi nimebugi kwa hili aisee nifanye nini kwa mazingira hayo.

Piga chini huyo fasta kabisa....mama kwanza mke baadae. Papuchi zipo nyingi mwanawane wala usipate presha.
 
Swala dogo kama ni mimi ningefanya hivi.

Kwanza Nimeshampa Mimba.

Ningewambia Wazazi wake kua wanisubiri nimuuguze mama yangu apone.

SIWEZI TOA MAHARI, MAMA ANAUMWA , kwamba nisipomjali ,akaaga dunia... Kwenye Sherehe yangu kweli nitakua na Furaha??

WACHANE LAIVUUU NA WAKUELEWR KWELIKWELI TENA NILITEGEMEA MPAKA SASA, HAO WAKWE ZAKO WANGEKUA WAPO KARIBU NA MAMA YAKO ( WATAKE WASITAKE).

narudi kwa Binti, Ninemwambia, Weee wajua kipato changu, nakwasasa wajua hali ya mama.

Naona tusogeze mbele maswala ya Mahari na sherehe kwa sasa tumuangalie Mama kwanza.

Tuchukulie kama anajifanya hajali mama yangu

[emoji117]Ningewaza kwanza nmemkuta na mtoto ( hawa huwa hawaachani ,kwaiyo maisha yako ni stress, na utalazimika kumtunza mtoto kwa kila kitu ili usitoe nafasi ya Baba mtoto wake kua karibu na mkeo ,LAKINI BADO ATALIWA TU KIMASIHARA TENA KAMA HANA HOFU YA MUNGU)

[emoji117]Ningewaza kama hajali Mama yangu. Anataka nijali wakwao,HUYU HAMNA KITU

[emoji117]HATA YEYE HANA KAZI.

KWA KUSEMA HAYO, NINGEHITIMISHA IVI

[emoji117]KUZAA NAMTU SIO SABABU YA KUMFANYA UMUOE.

[emoji117]KUZAA NAMTU SIO SABABU YA KUFANYA MATUMIZI MABAYA YA PESA.

[emoji117]NINGEMWAMBIA, NIMEAMUA NIACHANE NA ZOEZI LA KUKUOA .

[emoji117] NIMEAMUA NITUMIE PESA YANGU KWA AJILI YA MAMA.

[emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]NITALEA MIMBA HIYO NA NIAKUPA PESA KAMA MTAJI WA KUKUSAIDIA .

Jamaa, kwa ufupi, Upendo hupewa anayestahili, WEWE SIO MTU WA YOYOTE YULE.

Umetoa nondo za maana mwanawane
 
Nazidi pata mwangaza ila mimi nilitaka kumnawa siku hio hio ambayo yeye ndio anaona inafaa kama alivypanga ndio nitoe hio statement na nimpe pesa akafie mbele imagine iko hivi,.
Baba mkubwa anasema yeye awekewe laki tatu kwa bahasha yake, Mama laki tatu na vikorokoro kibao, kaka nae anatak laki 2 , Mzee anatamka kua lazima apate ngombe wawili wa kisasa wa maziwa na mengine mengi, ninaona bora nikae single sio kwa uoaji huu aisee
Mmmh aisee huo ukoo ukoje kwanza wa kupiga simu na kujipangia mahari?
Na wkt ki kawaida mshenga ndio anatakiwa kwenda kupanga nao.
Hapo itakuwa unataka kufanywa ka saccos.
 
Kabla ya kudate na mtu muwe mnachunguza sifa na tabia za kabila na eneo alilotokea mtakuja kuumia
 
Nina sababu ya msingi na ya usiri kidogo kujibebisha ili nipate mtoto huyu nayemtarajia , kuhusu hilo sina namna ndio maana najibebisha, ila sasa linapokuja suala la kutaja kupelekwa pupa hivi ndio ninapochoka laiti ningeweka picha ya mama angu mzazi mkaona hapa hali aliokua nayo machozi yangewatoka, ila mwenzangu kaonesha mstuko mdogo sana sana kuhusu ugonjwa wa mama mkwe wake, Pesa sio tatizo nataka nijilipue kwa dizain hio akafie mbele nitachukua mwanangu na ninatka hio hela nikawakabidhi wazee wake na yeye akiwepo ili iwe funzo, nimemleta mkoa now miez minne, namhudumia, natuma ada ya mtoto mia mbili kila mwezi (200k) ikijumuisha na usafiri na mahitaji mengine, sasa limekuja suala hili baada ya kuona kahela flani kametiki kanasubir kuingia kwa akaunti tu , Nimeanza letewa orodha ndefu namna hii?.
Nitakapofanya haya mbele ya wazazi wake watapata fundisho pengine.
Nawewe unakuwa boya.

Ushaambiwa kimbia, wewe unalazimisha kumpa mtaji.

Mrudishe kwao, mwambie unajipanga. Mambo yako yakiwa vizuri utamrudisha. Akishaondoka ndo ntolee.

Matunzo ya mtoto utamtumia tigo pesa.
 
Huko ni kutokuwaza pia kiongozi, iko hivi.
Binti kapewa ujauzito akiwa form two, akazaa baada ya hapo ndio akaendelea na skuli.
Amegraduate last year tu hapo kigamboni mwalimu Nyerere, alifanya education na ni jaluo by jina ila asilimia mia maisha yake yote ni jiji lenye hilo la mmpenda sifa anayegombea ubunge
Inatosha mkuu, wazee wa kufungua code wanaweza wakawa wameshamfahamu , confidentiality muhimu
 
Nazidi pata mwangaza ila mimi nilitaka kumnawa siku hio hio ambayo yeye ndio anaona inafaa kama alivypanga ndio nitoe hio statement na nimpe pesa akafie mbele imagine iko hivi,.
Baba mkubwa anasema yeye awekewe laki tatu kwa bahasha yake, Mama laki tatu na vikorokoro kibao, kaka nae anatak laki 2 , Mzee anatamka kua lazima apate ngombe wawili wa kisasa wa maziwa na mengine mengi, ninaona bora nikae single sio kwa uoaji huu aisee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Matatizo yao ya ukoo na biashara za ndoto zao wanataka wayamalize kwako.
Mkuu mimi na kuunga mkono kwa uamuzi wowote.
Hawana busara.
 
Hio hela nilikua nimeitenga kwa procedure za kumrasimisha yeye tu. Na analifahamu hilo manake ndio bajeti yetu, sasa linapokuja suala la kuuguliwa na mtu haoneshi kujali hapo ndipo unapopata akili kua huyu target yake sio shida na raha, Niko kwenye shida yangu hataki kushea nami bado anazidi ipigania furaha yake tu. Sijala limbwata sheikhe nina akili timamu nachoomba hapa nikumuacha katika namna ambayo yeye mwenyewe, atajua cha kufanya nini nn mbeleni pasipo kunisumbua. Usingle maza wakati mwingine sio kosa hujui huko nyuma ilikuaje, Na kwa akili ya kawaida mtu uwe single maza tena msomi na akili timamu unapokuja kusimamia pengine kile anachokiita kua ni taratibu za kabila lao inakua ni sawa na kukomoana, Natak kuchukua pesa yote ya mahali plus nauli sijui mavazi sijui , yote niwakabidhi nifanyeyangu.

Hio hela ikiisha atarudi kukusumbua tuuu!

Mi nna experiences kibao za hvo, anko angu aliamua kuachana na wife ake, akampa mil 3. Kamfungulia na ka kibanda, kamnunulia kitanda na godoro.

Haukupita mwaka duka likawa linatunza familia yao yote mwanamke hadi likaisha, kitanda akawa analalia dingi ake na dem, wao wanalala kwenye godoro chini na mtoto. Usumbufu wa matunzo ya mtoto ukaanza tena. Yaan haikueleweka mpunga aliopewa aliufanyia nn, mambo yakaanza upya ,Nazani walifikishanaga hadi ustawi wa jamii ndo jamaa akachhkua mwanae alipofika miaka mitatu lakini ilikua kwa mbine sana. Kiufupi wanawake wasiojiweza wanatumia watoto/ ujauzito kama source ya mapata.
 
Back
Top Bottom