Huyo jamaa aliyezaa naye yupo wapi?
Kwanini unakimbilia kwenye kina kirefu chenye mamba wakali???
Yaani mkeo wa ndoa kafa mwaka jana na kichanga tumboni, mwaka huu umeshatia mtu mimba tena mjaluo mwenye mtoto!!!
Unasikitisha sana!.
Utakipata unachokitafuta.
Kumbe msukuma!!! Wasukuma sijui huwa wanakwama wapi? Wako lainilaini sana kwa wanawakeAy
Yuko kwenye usimamizi mzuri kiongozi tumekaa hospital zote bongo na kujirizisha kwa kile anachosumbuliwa nacho, ila imagine mtu aliekuleta dunian anasikia kua dogo umetoa posa /mahari ilhali yeye yuko hoi huu ni umaku, nimetiwa kidole matakon na kuambiwa ninuse nimekubali na kwa kua nishajua kua kuna nuka acha nichambe mavi haya maisha yaende, huruma zangu za kisukuma zitaniponza nisipokaza pu mb
Habari za asubuhi, wanajamiiforum.
Niko hapa kuomba msaada kwa haya yanayonisibu. Mimi ni kijana wa umri wa miaka30 kamili. Ni mwajiriwa serikalini. Niko hapa kuwataka msaada wa kimawazo kwa hali ninayopitia ambapo naona kama kuna kitu hakiko sawa kwangu.
Niliwahi kuishi kwenye ndoa kwa takribani miaka miwili ambapo hatma ya ndoa ilikua kufiwa kwa mwenza wangu hivyo nikabaki single. Hii imetokea last year 2019 March. Baada ya kukaa kwa takribani miezi 9, baada ya kukutwa na hili, niliamua kutafuta mwenza mwingine ambaye tungesongesha maisha ndipo nakutana na changamoto hizi.
Nilipata binti wa kijaluo toka ujaluoni ambaye ni mhitimu wa elimu ngazi ya degree ila hana ajira. Binti niliempata nimemkuta akiwa na mtoto mmoja wa miaka tisa. Kiufupi kabla sijapata uhakika wa tabia za binti vizuri nilijikuta naingia kwenye mtego baada ya binti huyu kupata ujauzito.
Licha ya kuwa sikujipanga ila nilifurahi sana kwani sijabahatika kupata mtoto na akaishi. (Marehemu mke wangu amefariki akiwa na kichanga changu pia). Sasa baada ya kuamua kulea ule ujauzito ambao mpka sasa tunategemea kupata kichanga next year January, nikajikuta napewa jukumu la kumlea yule mtoto niliemkuta kielimu(kulipia ada na mahitaji mengine).
Baada ya muda binti akaja kuishi kwangu nami nikaliafiki hilo ili tuzidi kufanya maisha nikiwa na imani kuwa nitamrasimisha soon tu baada ya kujifungua mtoto.
Leo ni wiki sasa kuna mambo yamejitokeza, binti aliniambia niwe na uharaka wa kumtolea mahali kabla Desemba. Baada ya kuambiwa kuhusu hilo niliamua kudodosa uhalisia wa kiasi cha pesa ambacho ningetakiwa kutoa kama mahari, nikawa nimejibiwa. Ila kuanzia juzi kuna kitu nimekinotice, kuanzia baba, mama, baba mkubwa na wengine wengi kila mmoja amekua akitaja kiasi cha pesa au kitu anachokihitaji ili kiwe nimekiambatanisha kwenye hio mahari, baada ya kupiga mahesabu naona kabisa inazidi 2m na hapo hapo majukumu mengine yananikabili. (Nauguza mama angu mzazi ambaye yuko hoi kitandani).
Baada ya kuliona hili binti haoneshwi kustushwa na taarifa ya kuuguliwa kwangu pengine tukasogeza mbele hii shughuli yeye anaishia kusema pole tu huku mengine yakiendelea(means hizo taratibu zake za kutaka mwisho wa mwezi huu niende kwao).
Kuna kitu nimegundua kuwa nisipokua makini jamii yangu itanishangaa endapo nitaenda kutoa mahali na wakati tuna mgonjwa akiwa hoi.
Nayoyafikiria kichwani mwangu ni haya, Nimekuwa mtu wa kupoteza muda wangu na pesa zangu kujaribu mahusiano ambayo yatakua yenye tija kwangu hivyo muda unaenda na sioni kupiga hatua za maendeleo yangu binafsi.
Nataka nichukue kiasi cha milioni 5 au 4 kisha nimkabidhi kwa maandishi mbele ya wanasheria kuwa ninampa kama msingi wake utaomsaidia baada ya kujifungua kufanya lolote ambalo, lakini pia kuandikisha kuwa nitalea ujauzito na mtoto baada ya kujifungua salama mpaka atakapofikia umri nimchukue niishi nae mwenyewe. Kiufupi naona nataka kupata mzigo mkubwa sana mbeleni nisipokua makini.
Naombeni msaada wenu wakuu ninahisi nimebugi kwa hili aisee nifanye nini kwa mazingira hayo.
Pole sana kwa kuuguza mama .Nina sababu ya msingi na ya usiri kidogo kujibebisha ili nipate mtoto huyu nayemtarajia , kuhusu hilo sina namna ndio maana najibebisha, ila sasa linapokuja suala la kutaja kupelekwa pupa hivi ndio ninapochoka laiti ningeweka picha ya mama angu mzazi mkaona hapa hali aliokua nayo machozi yangewatoka, ila mwenzangu kaonesha mstuko mdogo sana sana kuhusu ugonjwa wa mama mkwe wake, Pesa sio tatizo nataka nijilipue kwa dizain hio akafie mbele nitachukua mwanangu na ninatka hio hela nikawakabidhi wazee wake na yeye akiwepo ili iwe funzo, nimemleta mkoa now miez minne, namhudumia, natuma ada ya mtoto mia mbili kila mwezi (200k) ikijumuisha na usafiri na mahitaji mengine, sasa limekuja suala hili baada ya kuona kahela flani kametiki kanasubir kuingia kwa akaunti tu , Nimeanza letewa orodha ndefu namna hii?.
Nitakapofanya haya mbele ya wazazi wake watapata fundisho pengine.
Wamegundua wewe unazo na ni mwepesi wa kutoaNina sababu ya msingi na ya usiri kidogo kujibebisha ili nipate mtoto huyu nayemtarajia , kuhusu hilo sina namna ndio maana najibebisha, ila sasa linapokuja suala la kutaja kupelekwa pupa hivi ndio ninapochoka laiti ningeweka picha ya mama angu mzazi mkaona hapa hali aliokua nayo machozi yangewatoka, ila mwenzangu kaonesha mstuko mdogo sana sana kuhusu ugonjwa wa mama mkwe wake, Pesa sio tatizo nataka nijilipue kwa dizain hio akafie mbele nitachukua mwanangu na ninatka hio hela nikawakabidhi wazee wake na yeye akiwepo ili iwe funzo, nimemleta mkoa now miez minne, namhudumia, natuma ada ya mtoto mia mbili kila mwezi (200k) ikijumuisha na usafiri na mahitaji mengine, sasa limekuja suala hili baada ya kuona kahela flani kametiki kanasubir kuingia kwa akaunti tu , Nimeanza letewa orodha ndefu namna hii?.
Nitakapofanya haya mbele ya wazazi wake watapata fundisho pengine.
Ila kudate na single mom inahitaji moyo sana.Mizigo ninayoona hapa ni.kulazimishwa kumsomesha huyo mtoto wake mkubwa.
Pili kwa nini anakazimisha ufanye fasta wakati mama yako ni mgonjwa? Hiyo ndoa atakaaje nayo bila furaha ya mama mkwe akiwa na afya njema.
Wewe nae umekosa mwanamke ambae hana mtoto? Mbona wapo? Mbona bado wewe mdogo unakimbizwa na nini?
Kuoa mwanamke mwenye mtoto ni kama kununua shamba lenye mgogoro.
Usipomlipia mwanae ada, atamtafuta baba yake, na Siku mkeo anaenda kuchukua ada lazima amgegede hakuna kutoa ada ya bure, maisha yataenda hivyo, kati ya watoto mtakao zaa sio lazima wote wawe wako. Kitanda hakizai halamu.
Pambana.
Kweli.kamuona jamaa ni kitonga,Hebu muuguze mama yako
Ujasiri wa kuoa unautoa wapi???
Mbona alomzalisha hakumuoa???
Jitulize kwanza. Asikupangie kwenda kwao. Utaenda kwa wakati wako
Kitakachofuata demu atampiga jamaa mikwajuWe jamaa ni mlalamishi tu usiye na gut ya kumueleza mtu unachotaka ndo maana demu anakuendesha.
- Amekupangua umlipie ada mwanaye,umekubali.
- Amekupangia tarehe za mahari, umekubali.
Sasa unalalamika hapa ili iweje? Kama hutaki si umwambie?
- Mama yako anaumwa demu anakuambia "pole" unakuja kulalamika..Sasa unataka afanyaje? Akamuuguze?
Na kama ndivyo si umwambie. Boresha mawasiliano ndani ya mahusiano yako bhana.
Kabisa asee. Maana huyu jamaa yetu anaonesha udhaifu sana.Kitakachofuta demu atampiga mama mikwaju
Kabisa. Tena ukute na familia ya mwanamke inajua ila pana ajenda ya siri. Biashara.Usiwe fala iyo ela kamuuguzie mama yako yamkini hata iyo mimba si yako
Nazidi pata mwangaza ila mimi nilitaka kumnawa siku hio hio ambayo yeye ndio anaona inafaa kama alivypanga ndio nitoe hio statement na nimpe pesa akafie mbele imagine iko hivi,.
Baba mkubwa anasema yeye awekewe laki tatu kwa bahasha yake, Mama laki tatu na vikorokoro kibao, kaka nae anatak laki 2 , Mzee anatamka kua lazima apate ngombe wawili wa kisasa wa maziwa na mengine mengi, ninaona bora nikae single sio kwa uoaji huu aisee