Ninahisi nimebugi, nataka tuandikishiane nimpe milioni 5 ya msingi. Anipe mwanangu atakapofikisha umri

Ninahisi nimebugi, nataka tuandikishiane nimpe milioni 5 ya msingi. Anipe mwanangu atakapofikisha umri

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo jamaa aliyezaa naye yupo wapi?

Kwanini unakimbilia kwenye kina kirefu chenye mamba wakali???

Yaani mkeo wa ndoa kafa mwaka jana na kichanga tumboni, mwaka huu umeshatia mtu mimba tena mjaluo mwenye mtoto!!!
Unasikitisha sana!.

Utakipata unachokitafuta.
 
Ay
Yuko kwenye usimamizi mzuri kiongozi tumekaa hospital zote bongo na kujirizisha kwa kile anachosumbuliwa nacho, ila imagine mtu aliekuleta dunian anasikia kua dogo umetoa posa /mahari ilhali yeye yuko hoi huu ni umaku, nimetiwa kidole matakon na kuambiwa ninuse nimekubali na kwa kua nishajua kua kuna nuka acha nichambe mavi haya maisha yaende, huruma zangu za kisukuma zitaniponza nisipokaza pu mb
Kumbe msukuma!!! Wasukuma sijui huwa wanakwama wapi? Wako lainilaini sana kwa wanawake
 
Habari za asubuhi, wanajamiiforum.
Niko hapa kuomba msaada kwa haya yanayonisibu. Mimi ni kijana wa umri wa miaka30 kamili. Ni mwajiriwa serikalini. Niko hapa kuwataka msaada wa kimawazo kwa hali ninayopitia ambapo naona kama kuna kitu hakiko sawa kwangu.

Niliwahi kuishi kwenye ndoa kwa takribani miaka miwili ambapo hatma ya ndoa ilikua kufiwa kwa mwenza wangu hivyo nikabaki single. Hii imetokea last year 2019 March. Baada ya kukaa kwa takribani miezi 9, baada ya kukutwa na hili, niliamua kutafuta mwenza mwingine ambaye tungesongesha maisha ndipo nakutana na changamoto hizi.

Nilipata binti wa kijaluo toka ujaluoni ambaye ni mhitimu wa elimu ngazi ya degree ila hana ajira. Binti niliempata nimemkuta akiwa na mtoto mmoja wa miaka tisa. Kiufupi kabla sijapata uhakika wa tabia za binti vizuri nilijikuta naingia kwenye mtego baada ya binti huyu kupata ujauzito.

Licha ya kuwa sikujipanga ila nilifurahi sana kwani sijabahatika kupata mtoto na akaishi. (Marehemu mke wangu amefariki akiwa na kichanga changu pia). Sasa baada ya kuamua kulea ule ujauzito ambao mpka sasa tunategemea kupata kichanga next year January, nikajikuta napewa jukumu la kumlea yule mtoto niliemkuta kielimu(kulipia ada na mahitaji mengine).

Baada ya muda binti akaja kuishi kwangu nami nikaliafiki hilo ili tuzidi kufanya maisha nikiwa na imani kuwa nitamrasimisha soon tu baada ya kujifungua mtoto.

Leo ni wiki sasa kuna mambo yamejitokeza, binti aliniambia niwe na uharaka wa kumtolea mahali kabla Desemba. Baada ya kuambiwa kuhusu hilo niliamua kudodosa uhalisia wa kiasi cha pesa ambacho ningetakiwa kutoa kama mahari, nikawa nimejibiwa. Ila kuanzia juzi kuna kitu nimekinotice, kuanzia baba, mama, baba mkubwa na wengine wengi kila mmoja amekua akitaja kiasi cha pesa au kitu anachokihitaji ili kiwe nimekiambatanisha kwenye hio mahari, baada ya kupiga mahesabu naona kabisa inazidi 2m na hapo hapo majukumu mengine yananikabili. (Nauguza mama angu mzazi ambaye yuko hoi kitandani).

Baada ya kuliona hili binti haoneshwi kustushwa na taarifa ya kuuguliwa kwangu pengine tukasogeza mbele hii shughuli yeye anaishia kusema pole tu huku mengine yakiendelea(means hizo taratibu zake za kutaka mwisho wa mwezi huu niende kwao).
Kuna kitu nimegundua kuwa nisipokua makini jamii yangu itanishangaa endapo nitaenda kutoa mahali na wakati tuna mgonjwa akiwa hoi.

Nayoyafikiria kichwani mwangu ni haya, Nimekuwa mtu wa kupoteza muda wangu na pesa zangu kujaribu mahusiano ambayo yatakua yenye tija kwangu hivyo muda unaenda na sioni kupiga hatua za maendeleo yangu binafsi.

Nataka nichukue kiasi cha milioni 5 au 4 kisha nimkabidhi kwa maandishi mbele ya wanasheria kuwa ninampa kama msingi wake utaomsaidia baada ya kujifungua kufanya lolote ambalo, lakini pia kuandikisha kuwa nitalea ujauzito na mtoto baada ya kujifungua salama mpaka atakapofikia umri nimchukue niishi nae mwenyewe. Kiufupi naona nataka kupata mzigo mkubwa sana mbeleni nisipokua makini.

Naombeni msaada wenu wakuu ninahisi nimebugi kwa hili aisee nifanye nini kwa mazingira hayo.

Laana ya mkeo 9months unaanza mahusiano serious na majukumu ya kulea, una uhakika gani mimba ni yako, mpige chini komaa na kumhudumia Mama, baharia unakwama wapi uguza mama achana na mikosi, mke wako wa ukweli yupo. Ukitumia pesa kwa mvuto na wewe utavutwa kindezi na shetani.
 
Dah pole kiongozi ,Kuna kitu nimejifunza sana kwenye maisha ,
Kuwa makini sana na watu hawa japo sio wote wako hivyo ,ila baadhi wanamatatizo hasa .
waangalie sana wanawake walioachika ,kabla ya kutaka kumuoa chunguza kwa makini ,kipi kilimshinda kwenye ndoa ya mwanzo ,huwenda ukapata cha kujifunza maana sio wote wanayoyazungumza kama walinyanyasika au kutendwa na wanaume ,wengine wao ndio sababu na mwanaume ameamuwa kubwaga manyanga.
pili mwanamke Alozaa bila kuolewa ,,hapa napo nieleweke sio wote ,ila wapo baadhi wenye kushindikana kuolewa kwa tavia zao ,mpaka mtu akamzalisha na kusepa,na wapo ambao wao walikuwa wazuri tu ila hawakupata mtu sahihi .
Tatu Mwanamke kama atafikisha umri mkubwa na bado hajaolewa au anapata wa mwanaume ila hamuowi ,

Dizaini ya hawa watu kabla hujafanya maamuzi ya kuwa na mahusiano nao ya kina ,kwanza fanya uchunguzi wa kina na ujiridhishe ,huyo unayetaka kuanzisha nae mahusiano ya kweli ,yuko katika hali gani ,
je amekumbwa tu na bahati mbaya za kilimwengu ikapelekea kujikuta mikononi ,mwa wanaume ambao si sahihi ? Au yeye chanzo cha tatizo ,

Pana kisa kimoja ,pana dada mmoja wa mjini hasa na maarufu ,Alitokea kunipenda hasa na paka kutamani nimuowe hata mke wa pili ,
Ila nilichomwambia. dunia yako na yangu ni tofauti,Ila akalazimisha kuwa anaweza kuishi hali yeyote ,na akawa analalamika hakupata mwanaume sahihi n.k ,kwa jinsi anavyongea unaweza ona kweli ,huyu hajapata mwanaume wa kweli ,lkn kwa kadri nilivyomsoma tabia na kuwa nae karibu tu kama rafiki ,nikagundua huyu mtu why hawezi olewa na kuwekwa ndani ,au kwann wanaume huchemka kumweka ndani kama mke ,zaidi ya kumchezea ,
Tatizo lao wengi huwa hawajitathmini na kupitia baadhi ya kasoro zao na kujirekebisha ,badala yake ,ni watu wa kutupa lawama tu ,na kujiona kila siku wao wanaonewa au kila mwanaume anayempata si sahihi ,Ila wanajisahau kuwa wakati unaona mwanaume si sahihi je wewe uko sahahi?.
. Ajabu wanawake wengi atakwambia anataka mwanaume mwenye hofu ya mungu ,ila cha kujiuliza wao wanayo iyo hofu ?
Na je akimpata atakubali kufata misingi ya mungu au atakubali kuongozwa katika kumjua mungu?
jibu wengi wao wanahubiri wasioyatenda ama kuyataka ,


MWISHO NI KUSHAURI NDGU YANGU ,Fanya maamuzi sahihi na kwa wakati sahihi ,Na hakikisha linapokuja swala la maamuzi tumia akili kuamua ,na kamwe usiuwache moyo wako ukafanya maamuzi
 
Nina sababu ya msingi na ya usiri kidogo kujibebisha ili nipate mtoto huyu nayemtarajia , kuhusu hilo sina namna ndio maana najibebisha, ila sasa linapokuja suala la kutaja kupelekwa pupa hivi ndio ninapochoka laiti ningeweka picha ya mama angu mzazi mkaona hapa hali aliokua nayo machozi yangewatoka, ila mwenzangu kaonesha mstuko mdogo sana sana kuhusu ugonjwa wa mama mkwe wake, Pesa sio tatizo nataka nijilipue kwa dizain hio akafie mbele nitachukua mwanangu na ninatka hio hela nikawakabidhi wazee wake na yeye akiwepo ili iwe funzo, nimemleta mkoa now miez minne, namhudumia, natuma ada ya mtoto mia mbili kila mwezi (200k) ikijumuisha na usafiri na mahitaji mengine, sasa limekuja suala hili baada ya kuona kahela flani kametiki kanasubir kuingia kwa akaunti tu , Nimeanza letewa orodha ndefu namna hii?.

Nitakapofanya haya mbele ya wazazi wake watapata fundisho pengine.
Pole sana kwa kuuguza mama .
 
Nina sababu ya msingi na ya usiri kidogo kujibebisha ili nipate mtoto huyu nayemtarajia , kuhusu hilo sina namna ndio maana najibebisha, ila sasa linapokuja suala la kutaja kupelekwa pupa hivi ndio ninapochoka laiti ningeweka picha ya mama angu mzazi mkaona hapa hali aliokua nayo machozi yangewatoka, ila mwenzangu kaonesha mstuko mdogo sana sana kuhusu ugonjwa wa mama mkwe wake, Pesa sio tatizo nataka nijilipue kwa dizain hio akafie mbele nitachukua mwanangu na ninatka hio hela nikawakabidhi wazee wake na yeye akiwepo ili iwe funzo, nimemleta mkoa now miez minne, namhudumia, natuma ada ya mtoto mia mbili kila mwezi (200k) ikijumuisha na usafiri na mahitaji mengine, sasa limekuja suala hili baada ya kuona kahela flani kametiki kanasubir kuingia kwa akaunti tu , Nimeanza letewa orodha ndefu namna hii?.

Nitakapofanya haya mbele ya wazazi wake watapata fundisho pengine.
Wamegundua wewe unazo na ni mwepesi wa kutoa
 
Mizigo ninayoona hapa ni.kulazimishwa kumsomesha huyo mtoto wake mkubwa.

Pili kwa nini anakazimisha ufanye fasta wakati mama yako ni mgonjwa? Hiyo ndoa atakaaje nayo bila furaha ya mama mkwe akiwa na afya njema.

Wewe nae umekosa mwanamke ambae hana mtoto? Mbona wapo? Mbona bado wewe mdogo unakimbizwa na nini?

Kuoa mwanamke mwenye mtoto ni kama kununua shamba lenye mgogoro.
Usipomlipia mwanae ada, atamtafuta baba yake, na Siku mkeo anaenda kuchukua ada lazima amgegede hakuna kutoa ada ya bure, maisha yataenda hivyo, kati ya watoto mtakao zaa sio lazima wote wawe wako. Kitanda hakizai halamu.

Pambana.
Ila kudate na single mom inahitaji moyo sana.
 
Be a man, mueleze siwezi kuoa mpaka afya ya mama yangu ikae sawa na hayo ndio maamuzi yangu. Kama unaona afya ya mama yangu sio muhimu kwako basi nitatafuta mtu mwingine wa kumuoa muda ukifika na nitakapokuwa huru. Mnachokosea vijana ni kutosimamam katika nafasi ya mwanaume ndio maana unapelekeshwa.

Mimi ndio muoaji halafu wajinga wengine wanipangie lakufanya labda niwe nimezaliwa na jinsia tofauti na hii niliyonayo
 
We jamaa ni mlalamishi tu usiye na gut ya kumueleza mtu unachotaka ndo maana demu anakuendesha.
- Amekupangua umlipie ada mwanaye,umekubali.
- Amekupangia tarehe za mahari, umekubali.
Sasa unalalamika hapa ili iweje? Kama hutaki si umwambie?
- Mama yako anaumwa demu anakuambia "pole" unakuja kulalamika..Sasa unataka afanyaje? Akamuuguze?
Na kama ndivyo si umwambie. Boresha mawasiliano ndani ya mahusiano yako bhana.
 
Hebu muuguze mama yako

Ujasiri wa kuoa unautoa wapi???

Mbona alomzalisha hakumuoa???

Jitulize kwanza. Asikupangie kwenda kwao. Utaenda kwa wakati wako
Kweli.kamuona jamaa ni kitonga,
Huyo mwanamke. Sio wa kuoa utajuta.Huyo Ana pepo LA kuzalishwa
 
We jamaa ni mlalamishi tu usiye na gut ya kumueleza mtu unachotaka ndo maana demu anakuendesha.
- Amekupangua umlipie ada mwanaye,umekubali.
- Amekupangia tarehe za mahari, umekubali.
Sasa unalalamika hapa ili iweje? Kama hutaki si umwambie?
- Mama yako anaumwa demu anakuambia "pole" unakuja kulalamika..Sasa unataka afanyaje? Akamuuguze?
Na kama ndivyo si umwambie. Boresha mawasiliano ndani ya mahusiano yako bhana.
Kitakachofuata demu atampiga jamaa mikwaju
 
Hakika ulikosea kuingia kwny mahusiano mapya baada ya kufiwa na mweñza, siñgle mumy mpangie utaratibu unaotaka wewe km hataki mwache
 
Usikute hata mimba sio yake.
Ukiona mwanamke anakukimbiza kimbiza kumuoa jua Kuna lililofichama.
Mama hawezi kuwa mgonjwa aafu yeye yuko mbio kutaka ukalipe mahari.
Kwani ndio nguzo pekee inakuja kumuuguza mama?
 
Akili yako nadhani kuna switch imezima. Mamaako mgonjwa, na hapo hapo unaambiwa ukatoe mahari yenye vikorombwezo vya kutosha tu halafu unakuja kuomba ushauri huku!? Ndio maana wanawake wanazidi kutudharau kadri siku zinavyozidi kwenda
 
Baba mkubwa ndo anayekuja kupanua mapaja??? Hela inamuhusu nini hiyo
Nazidi pata mwangaza ila mimi nilitaka kumnawa siku hio hio ambayo yeye ndio anaona inafaa kama alivypanga ndio nitoe hio statement na nimpe pesa akafie mbele imagine iko hivi,.
Baba mkubwa anasema yeye awekewe laki tatu kwa bahasha yake, Mama laki tatu na vikorokoro kibao, kaka nae anatak laki 2 , Mzee anatamka kua lazima apate ngombe wawili wa kisasa wa maziwa na mengine mengi, ninaona bora nikae single sio kwa uoaji huu aisee
 
Back
Top Bottom