Ninahisi nimepata gonjwa la zinaa ila dawa zote zimedunda

Ninahisi nimepata gonjwa la zinaa ila dawa zote zimedunda

unapomeza dawa hakikisha unatupa hizo boxer nunua mpya ukienda chooni hakikisha unamwaga maji ya kutosha kisha jisaidie, kunywa maji mengi epuka vitu vya sukari majuisi michai ya sukari nyingi huyo wifi naye atafte chupi mpya ajisafishe uke vizur muanze tiba pamoja tatizo lipo kwa mkeo sababu unapomuingilia tu ndio unaona kuumwa
 
unapomeza dawa hakikisha unatupa hizo boxer nunua mpya ukienda chooni hakikisha unamwaga maji ya kutosha kisha jisaidie, kunywa maji mengi epuka vitu vya sukari majuisi michai ya sukari nyingi huyo wifi naye atafte chupi mpya ajisafishe uke vizur muanze tiba pamoja tatizo lipo kwa mkeo sababu unapomuingilia tu ndio unaona kuumwa
Sawa, shukrani
 
Mkuu kama upo Tanga jaribu kushuka Aghakan kweny jengo la CRDB ngamiani hapo Onana na daktri mmoja anaitwa Bangwelo atakusaidia..

Sio shida kubwa sana japo inahitaji close check up na nakushauri usinywe tena dawa yoyote until ufanye Check up zingine
Sawa mkuu, itabidi niende
 
Wakuu habari ya leo, kwa miezi kadhaa nimehangaika na ugonjwa ambao hapo chini nimeweka dalili ninazozipata, vipimo na dawa nilizotumia lakini bado sijapata suluhisho. Kama kuna mwenye uzoefu naomba msaada.

Dalili.
1.Maumivu kwenye mrija wa mkojo karibu na kwenye kichwa cha uume(hii ni kawaida bila kukojoa). wakati wa kukojoa mkojo unagawanyika na kutoka kama njia mbili na sisikii maumivu Ila mkojo wa mwisho ukiisha ndo unasikia maumivu yanaendelea na unakuwa Kama umechochea
2 .Maumivu ya korodani, na mishipa yake pamoja na ile inayoenda chini karibia na sehemu ya haja kubwa
3. Maumivu ya nyonga
4.maumivu ya kiuno(mara chache sana)
5. kutoka ute ute mweupe kwenye uume wakati wa haja kubwa
6. Unaamka asubuhi unakuta boxer imelowa kana kwamba uliota unafanya sex then uka ejaculate vitu Kama sperm lakini sio vipo kama kamasi fulani hivi na vinateleza. lakini katika hali ya kawaida sioni hvyo vitu vikitoka.

VIPIMO vyote nilivyopima vinaonyesha hamna chochote na dawa zote huwa zinanipa nafuu na wife pia ametumia. huwa nikipata nafuu nakaa Kama wiki hv Ila nikikutana na mwenzangu hali inarudi tena sasa sijajua tatizo n nn au dawa ninazopewa sio. kuna docta aliwahi niambia nimepata klamidia japo hakunipima na akanipa dawa lakini bado haikusaidia.

VIPIMO
1.Urinalysis
2.Ultrasound(kibofu,tezi dume,kongosho,figo,ini)
3.Urine Culture
4.Ultrasound (korodani)
5.VDRL
6.Full blood picture
7. Urinalysis + VDRL(twice)
8. Urinalysis+ Ultrasound (tezi dume&figo)


DAWA
1. Cipro+PCM siku 5
2. Amoxclav siku 5
3. Azithromycin siku 6
4. Gentamycin 160mg siku 5
5. Doxycycline+metrodinazole siku10,
cefixine kidonge kimoja tu
6. Ceftriaxone siku 5
7. Azithromycin siku 3
8. Ceftriaxone+getamycin (80mg) mara mbili kwa siku, kwa siku 4(sindano 16)
9. Tribulent PCM, siku 5
10. Ceftriaxone 2g+getamycin (once)+Cipro (7 days)+ ibuprofen
Mkuu pole kama umepima vipimo vyote havionyeshi maradhi utakuw unayo maradhi ya nguvu za Giza uchawi nitafute mimi kwa wakati wako ili niweze kukutibia maradhi yako upate kupona uguwa pole.
 
Back
Top Bottom