Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Japo yeye haka dalili zozote Ila nilivyokuwa nawaelezea madokta wakawa wanasema mlete na yeye. Kwahyo kuna baadhi ya dozi tumetumia wote Ila mnamaliza dozi mm najisikia nafuu namuacha Kama siku 10 nakutana nae ngoma inaanza moja tenaKapima mkojo,magonjwa ya zinaa na kipimo cha damu full hamna kitu.na amechoka sindano tano+dozi ya siku 10 bado pia hamna
Hebu jaribu kuonana na huyo dr. uliyemsema kisha kama utapima basi na mama apime pia. Mkianza kutumia dawa wote mhakikishe mnamaliza, na kikubwa baada ya kumaliza kutumia dozi uchukuwe wiki kadhaa (hata mbili au tatu) kabla ya kushiriki tendo.Japo yeye haka dalili zozote Ila nilivyokuwa nawaelezea madokta wakawa wanasema mlete na yeye. Kwahyo kuna baadhi ya dozi tumetumia wote Ila mnamaliza dozi mm najisikia nafuu namuacha Kama siku 10 nakutana nae ngoma inaanza moja tena
sawa sawa, shukrani sanaHebu jaribu kuonana na huyo dr. uliyemsema kisha kama utapima basi na mama apime pia. Mkianza kutumia dawa wote mhakikishe mnamaliza, na kikubwa baada ya kumaliza kutumia dozi uchukuwe wiki kadhaa (hata mbili au tatu) kabla ya kushiriki tendo.
Yawezekana mnaanza kushiriki tendo mapema kabla vimelea havijafa vyote.
Unapiga punyeto? Au umelogwa?Wakuu habari ya leo, kwa miezi kadhaa nimehangaika na ugonjwa ambao hapo chini nimeweka dalili ninazozipata, vipimo na dawa nilizotumia lakini bado sijapata suluhisho. Kama kuna mwenye uzoefu naomba msaada.
Dalili.
1.Maumivu kwenye mrija wa mkojo karibu na kwenye kichwa cha uume(hii ni kawaida bila kukojoa). wakati wa kukojoa mkojo unagawanyika na kutoka kama njia mbili na sisikii maumivu Ila mkojo wa mwisho ukiisha ndo unasikia maumivu yanaendelea na unakuwa Kama umechochea
2 .Maumivu ya korodani, na mishipa yake pamoja na ile inayoenda chini karibia na sehemu ya haja kubwa
3. Maumivu ya nyonga
4.maumivu ya kiuno(mara chache sana)
5. kutoka ute ute mweupe kwenye uume wakati wa haja kubwa
6. Unaamka asubuhi unakuta boxer imelowa kana kwamba uliota unafanya sex then uka ejaculate vitu Kama sperm lakini sio vipo kama kamasi fulani hivi na vinateleza. lakini katika hali ya kawaida sioni hvyo vitu vikitoka.
VIPIMO vyote nilivyopima vinaonyesha hamna chochote na dawa zote huwa zinanipa nafuu na wife pia ametumia. huwa nikipata nafuu nakaa Kama wiki hv Ila nikikutana na mwenzangu hali inarudi tena sasa sijajua tatizo n nn au dawa ninazopewa sio. kuna docta aliwahi niambia nimepata klamidia japo hakunipima na akanipa dawa lakini bado haikusaidia.
VIPIMO
1.Urinalysis
2.Ultrasound(kibofu,tezi dume,kongosho,figo,ini)
3.Urine Culture
4.Ultrasound (korodani)
5.VDRL
6.Full blood picture
7. Urinalysis + VDRL(twice)
8. Urinalysis+ Ultrasound (tezi dume&figo)
DAWA
1. Cipro+PCM siku 5
2. Amoxclav siku 5
3. Azithromycin siku 6
4. Gentamycin 160mg siku 5
5. Doxycycline+metrodinazole siku10,
cefixine kidonge kimoja tu
6. Ceftriaxone siku 5
7. Azithromycin siku 3
8. Ceftriaxone+getamycin (80mg) mara mbili kwa siku, kwa siku 4(sindano 16)
9. Tribulent PCM, siku 5
10. Ceftriaxone 2g+getamycin (once)+Cipro (7 days)+ ibuprofen
inawezekana ww unaponaga kabisa ila mkeo ndo anakurudishia gonjwa mana wao huwa asilimia kubwa hawaonyeshi dalili mapema ww unaweza kujitibu vizuri afu yeye akawela asipone hapo ndio mnapeana tu mambo cha msingi ulipoenda kufanya vipimo vingi ungeenda nae apime vipimo vyote kama vyako ili mujue tatizo lipo kwa nani hasa hasaNimeambiwa nisitumie dawa tena mpaka nijue tatizo ni nini. Hapa nasubiri nionane na urologist (dokta bingwa wa magonjwa ya njia ya mkojo) alhamis ya wiki hii nahisi atanisaidia
alafu kabla ya kukutana hakikisheni mnapima tena kumaliza dozi haina maana kuwa umepona unatakiwa kupima tena mujipe muda wa kutoshiriki tendo hata mwezi uone kama utaumwa tenainawezekana ww unaponaga kabisa ila mkeo ndo anakurudishia gonjwa mana wao huwa asilimia kubwa hawaonyeshi dalili mapema ww unaweza kujitibu vizuri afu yeye akawela asipone hapo ndio mnapeana tu mambo cha msingi ulipoenda kufanya vipimo vingi ungeenda nae apime vipimo vyote kama vyako ili mujue tatizo lipo kwa nani hasa hasa
Kweli kabisa, hyo n mojawapo ya sababu piainawezekana ww unaponaga kabisa ila mkeo ndo anakurudishia gonjwa mana wao huwa asilimia kubwa hawaonyeshi dalili mapema ww unaweza kujitibu vizuri afu yeye akawela asipone hapo ndio mnapeana tu mambo cha msingi ulipoenda kufanya vipimo vingi ungeenda nae apime vipimo vyote kama vyako ili mujue tatizo lipo kwa nani hasa hasa
Kama uliwahi kula mke wa mtu,,basi nenda katubu kwa mwenye mke..Wakuu habari ya leo, kwa miezi kadhaa nimehangaika na ugonjwa ambao hapo chini nimeweka dalili ninazozipata, vipimo na dawa nilizotumia lakini bado sijapata suluhisho. Kama kuna mwenye uzoefu naomba msaada.