Mama Mwana
JF-Expert Member
- Jun 6, 2023
- 2,435
- 7,784
Mkuu kama upo Tanga jaribu kushuka Aghakan kweny jengo la CRDB ngamiani hapo Onana na daktri mmoja anaitwa Bangwelo atakusaidia..Tumaini hospital, Tanga 10,000/=
Sawa, shukraniunapomeza dawa hakikisha unatupa hizo boxer nunua mpya ukienda chooni hakikisha unamwaga maji ya kutosha kisha jisaidie, kunywa maji mengi epuka vitu vya sukari majuisi michai ya sukari nyingi huyo wifi naye atafte chupi mpya ajisafishe uke vizur muanze tiba pamoja tatizo lipo kwa mkeo sababu unapomuingilia tu ndio unaona kuumwa
Sawa mkuu, itabidi niendeMkuu kama upo Tanga jaribu kushuka Aghakan kweny jengo la CRDB ngamiani hapo Onana na daktri mmoja anaitwa Bangwelo atakusaidia..
Sio shida kubwa sana japo inahitaji close check up na nakushauri usinywe tena dawa yoyote until ufanye Check up zingine
Akichoma Hiyo Hatembei Dawa Nzito Lazima AlaleTafuta ile inaitwa cristapen ufunge biashara.
Hakikisha una nyama walau size ya ng'ombe wa kinyankole
Poleni sana siku nikipata mwali ntakua nampeleka hospital kufanya check up za mara Kwa maraHPV ila kwa wanawake tu
Chanjo ipo pia!Poleni sana siku nikipata mwali ntakua nampeleka hospital kufanya check up za mara Kwa mara
Mkuu pole kama umepima vipimo vyote havionyeshi maradhi utakuw unayo maradhi ya nguvu za Giza uchawi nitafute mimi kwa wakati wako ili niweze kukutibia maradhi yako upate kupona uguwa pole.Wakuu habari ya leo, kwa miezi kadhaa nimehangaika na ugonjwa ambao hapo chini nimeweka dalili ninazozipata, vipimo na dawa nilizotumia lakini bado sijapata suluhisho. Kama kuna mwenye uzoefu naomba msaada.
Dalili.
1.Maumivu kwenye mrija wa mkojo karibu na kwenye kichwa cha uume(hii ni kawaida bila kukojoa). wakati wa kukojoa mkojo unagawanyika na kutoka kama njia mbili na sisikii maumivu Ila mkojo wa mwisho ukiisha ndo unasikia maumivu yanaendelea na unakuwa Kama umechochea
2 .Maumivu ya korodani, na mishipa yake pamoja na ile inayoenda chini karibia na sehemu ya haja kubwa
3. Maumivu ya nyonga
4.maumivu ya kiuno(mara chache sana)
5. kutoka ute ute mweupe kwenye uume wakati wa haja kubwa
6. Unaamka asubuhi unakuta boxer imelowa kana kwamba uliota unafanya sex then uka ejaculate vitu Kama sperm lakini sio vipo kama kamasi fulani hivi na vinateleza. lakini katika hali ya kawaida sioni hvyo vitu vikitoka.
VIPIMO vyote nilivyopima vinaonyesha hamna chochote na dawa zote huwa zinanipa nafuu na wife pia ametumia. huwa nikipata nafuu nakaa Kama wiki hv Ila nikikutana na mwenzangu hali inarudi tena sasa sijajua tatizo n nn au dawa ninazopewa sio. kuna docta aliwahi niambia nimepata klamidia japo hakunipima na akanipa dawa lakini bado haikusaidia.
VIPIMO
1.Urinalysis
2.Ultrasound(kibofu,tezi dume,kongosho,figo,ini)
3.Urine Culture
4.Ultrasound (korodani)
5.VDRL
6.Full blood picture
7. Urinalysis + VDRL(twice)
8. Urinalysis+ Ultrasound (tezi dume&figo)
DAWA
1. Cipro+PCM siku 5
2. Amoxclav siku 5
3. Azithromycin siku 6
4. Gentamycin 160mg siku 5
5. Doxycycline+metrodinazole siku10,
cefixine kidonge kimoja tu
6. Ceftriaxone siku 5
7. Azithromycin siku 3
8. Ceftriaxone+getamycin (80mg) mara mbili kwa siku, kwa siku 4(sindano 16)
9. Tribulent PCM, siku 5
10. Ceftriaxone 2g+getamycin (once)+Cipro (7 days)+ ibuprofen
Nan kakwambia nataka mke?😄 Mm Mungu Naomba anipe afya njema🙏 anibariki fedha na dhahabuKumpata mwali uongo wewe tegemea "mke mwema anatoka kwa bwana
Hutaki mke unakua padri?Nan kakwambia nataka mke?😄 Mm Mungu Naomba anipe afya njema🙏 anibariki fedha na dhahabu
😥Nlikosa sifa ya kua padre wazee wangu nae walinikazia, wenzangu 12 walienda siku hz nawaona wanaweka status wanapiga kinandaHutaki mke unakua padri?
Ndo mana ajiandae ila hata iwe kisonono sugu anapona kesho yakeAkichoma Hiyo Hatembei Dawa Nzito Lazima Alale
sasa jefungus ndo inapelekea hadi korodani inauma?