Ninahisi nimepata gonjwa la zinaa ila dawa zote zimedunda

Hata mimi naona tatizo lipo hapa. Hebu ajaribu kukaa hata mwezi mzima na baada ya hapo akutane tena na mkewe. Hapo anaweza kupata ukweli kuhusu hii kero.
Yani saiv nimemwambia asubiri kwanza mpaka tupone wote ninachohangaikia saiv ni kupata kuujua huu ugonjwa na kupata matibabu sahihi
 
Tatizo hamjatibu michepuko yenu wewe na mkeo.
Kaeni mzungumze kila mmoja akatibiwe na mchepuko wake ndo maana baada ya wiki ugonjwa unarudi.
UMEEEEERREWAAAA???
 

Wewe ndio huyu jamaa au ndio kwamba hali kwa ground ni mbaya kiasi kwamba nyuzi zinaanza kufululiza hapa JF?

dopamine-B njoo msaidie mwenzako kama ulipata tiba.
 
Sio mimi aisee
 
Sawa, hyo mbona nimetumia ya sindano s ndo wanaiita 'pawa sefu' kwa kiswahili Ila imedunda pia
Mkuu pole sana,chukua mchaichai chemsha kwenye maji mengi,hayo maji ndo yawe ya kunywa muda wote huku ukiangalia tiba nyingine mkuu.
 
Hali ni mbaya Sana Mimi naendelea na matibabu so chochote kinachoendelea namjulisha huyu ndugu nae apate walahu nafuuu ya hii issue... Mim nipo Dar
 
Nimeambiwa nisitumie dawa tena mpaka nijue tatizo ni nini. Hapa nasubiri nionane na urologist (dokta bingwa wa magonjwa ya njia ya mkojo) alhamis ya wiki hii nahisi atanisaidia
Vp ndugu umepata suruhisho?
 
Pole sana ndugu kumbe tupo wengi tunaoteseka na changamoto hiyo mm nilianza kuiona hali kama hiyo ya kutokwa na manii nzito sana wakati wa haja kubwa 2018 nikaenda hsptl nikapewa madawa kama yote nikatumia dozi yote lakini sikupata nafuu yyt wakati huo pia nilikuwa nateseka fangasi kwenye korodani siku nyingi, hali ile ikaendelea kuna mda ilikuwa inapotea yenyewe2 bila kutumia dawa zzt zile nikaja kugundua nikila chakula chochote na matembele nikienda haja kubwa napata choo kigumu sana na manii kutoka kwa wingi.

Mwaka jana November 25 nilipata maumivu makali sana kwenye korodani ya kushoto nikaenda hsptl tena nikafanya vipimo vya ultrasound nikaandikiwa nikatumia siku mbili tu maumivu yakaisha yote uume ukawa unasimama kama nimezaliwa upya.

before sijamaliza dozi nikapiga puchu hali ile ikajirudia tena mpaka now nateseka.😢😢
 
Hali vp mkuu ninaili tatzo mwaka wa 3na kiladawa inadunda io dalili ya kwanza inanisimbua Sana kama kichwa Cha uume Kwa ndani kina kidonda kinawaka moto akiponi UMEPATA SULUISHO?
 
Umepona nisaidie na mim
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…