KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,159
- 5,070
Okay! Case closed. Kikulacho ki nguoni kwako.Nikikutana nae tatizo linatokea tena baada ya siku Kama tatu na sina historia ya kuchepuka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okay! Case closed. Kikulacho ki nguoni kwako.Nikikutana nae tatizo linatokea tena baada ya siku Kama tatu na sina historia ya kuchepuka.
Yani saiv nimemwambia asubiri kwanza mpaka tupone wote ninachohangaikia saiv ni kupata kuujua huu ugonjwa na kupata matibabu sahihiHata mimi naona tatizo lipo hapa. Hebu ajaribu kukaa hata mwezi mzima na baada ya hapo akutane tena na mkewe. Hapo anaweza kupata ukweli kuhusu hii kero.
Yuko iringa.....Yuko wapi huyo nimatafute tu kwa gharama yoyote
Tatizo hamjatibu michepuko yenu wewe na mkeo.Wakuu habari ya leo, kwa miezi kadhaa nimehangaika na ugonjwa ambao hapo chini nimeweka dalili ninazozipata, vipimo na dawa nilizotumia lakini bado sijapata suluhisho. Kama kuna mwenye uzoefu naomba msaada.
Dalili.
1.Maumivu kwenye mrija wa mkojo karibu na kwenye kichwa cha uume(hii ni kawaida bila kukojoa). wakati wa kukojoa mkojo unagawanyika na kutoka kama njia mbili na sisikii maumivu Ila mkojo wa mwisho ukiisha ndo unasikia maumivu yanaendelea na unakuwa Kama umechochea
2 .Maumivu ya korodani, na mishipa yake pamoja na ile inayoenda chini karibia na sehemu ya haja kubwa
3. Maumivu ya nyonga
4.maumivu ya kiuno(mara chache sana)
5. kutoka ute ute mweupe kwenye uume wakati wa haja kubwa
6. Unaamka asubuhi unakuta boxer imelowa kana kwamba uliota unafanya sex then uka ejaculate vitu Kama sperm lakini sio vipo kama kamasi fulani hivi na vinateleza. lakini katika hali ya kawaida sioni hvyo vitu vikitoka.
VIPIMO vyote nilivyopima vinaonyesha hamna chochote na dawa zote huwa zinanipa nafuu na wife pia ametumia. huwa nikipata nafuu nakaa Kama wiki hv Ila nikikutana na mwenzangu hali inarudi tena sasa sijajua tatizo n nn au dawa ninazopewa sio. kuna docta aliwahi niambia nimepata klamidia japo hakunipima na akanipa dawa lakini bado haikusaidia.
VIPIMO
1.Urinalysis
2.Ultrasound(kibofu,tezi dume,kongosho,figo,ini)
3.Urine Culture
4.Ultrasound (korodani)
5.VDRL
6.Full blood picture
7. Urinalysis + VDRL(twice)
8. Urinalysis+ Ultrasound (tezi dume&figo)
DAWA
1. Cipro+PCM siku 5
2. Amoxclav siku 5
3. Azithromycin siku 6
4. Gentamycin 160mg siku 5
5. Doxycycline+metrodinazole siku10,
cefixine kidonge kimoja tu
6. Ceftriaxone siku 5
7. Azithromycin siku 3
8. Ceftriaxone+getamycin (80mg) mara mbili kwa siku, kwa siku 4(sindano 16)
9. Tribulent PCM, siku 5
10. Ceftriaxone 2g+getamycin (once)+Cipro (7 days)+ ibuprofen
Sio mimi aiseeWataalamu naomba msaada hapa, nina Gono sugu isiyosikia Antibiotics
[NOTICE] May 2024 Kumekua na upotoshaji Sana katika jamii kuhusu matibabu. Pia kuna dhana ya kwamba kuna zinaa sugu, wataalamu wanakanusha. Isipokua kuna shida kwenywe diagnosis za ugonjwa, reinfection na Pia bacteria wanakua resistant na dawa ambazo zilkua awali zinatibu na SASA hazitibu tena...www.jamiiforums.com
Wewe ndio huyu jamaa au ndio kwamba hali kwa ground ni mbaya kiasi kwamba nyuzi zinaanza kufululiza hapa JF?
dopamine-B njoo msaidie mwenzako kama ulipata tiba.
Samahani kwa kuchelewa kureply mkuu,hiyo ndo yenyewe aidha ya sindano au vidonge.Ndio dawa hii mkuu?
Mkuu pole sana,chukua mchaichai chemsha kwenye maji mengi,hayo maji ndo yawe ya kunywa muda wote huku ukiangalia tiba nyingine mkuu.Sawa, hyo mbona nimetumia ya sindano s ndo wanaiita 'pawa sefu' kwa kiswahili Ila imedunda pia
Hali ni mbaya Sana Mimi naendelea na matibabu so chochote kinachoendelea namjulisha huyu ndugu nae apate walahu nafuuu ya hii issue... Mim nipo DarWataalamu naomba msaada hapa, nina Gono sugu isiyosikia Antibiotics
[NOTICE] May 2024 Kumekua na upotoshaji Sana katika jamii kuhusu matibabu. Pia kuna dhana ya kwamba kuna zinaa sugu, wataalamu wanakanusha. Isipokua kuna shida kwenywe diagnosis za ugonjwa, reinfection na Pia bacteria wanakua resistant na dawa ambazo zilkua awali zinatibu na SASA hazitibu tena...www.jamiiforums.com
Wewe ndio huyu jamaa au ndio kwamba hali kwa ground ni mbaya kiasi kwamba nyuzi zinaanza kufululiza hapa JF?
dopamine-B njoo msaidie mwenzako kama ulipata tiba.
Vp ndugu umepata suruhisho?Nimeambiwa nisitumie dawa tena mpaka nijue tatizo ni nini. Hapa nasubiri nionane na urologist (dokta bingwa wa magonjwa ya njia ya mkojo) alhamis ya wiki hii nahisi atanisaidia
Pole sana ndugu kumbe tupo wengi tunaoteseka na changamoto hiyo mm nilianza kuiona hali kama hiyo ya kutokwa na manii nzito sana wakati wa haja kubwa 2018 nikaenda hsptl nikapewa madawa kama yote nikatumia dozi yote lakini sikupata nafuu yyt wakati huo pia nilikuwa nateseka fangasi kwenye korodani siku nyingi, hali ile ikaendelea kuna mda ilikuwa inapotea yenyewe2 bila kutumia dawa zzt zile nikaja kugundua nikila chakula chochote na matembele nikienda haja kubwa napata choo kigumu sana na manii kutoka kwa wingi.Wakuu habari ya leo, kwa miezi kadhaa nimehangaika na ugonjwa ambao hapo chini nimeweka dalili ninazozipata, vipimo na dawa nilizotumia lakini bado sijapata suluhisho. Kama kuna mwenye uzoefu naomba msaada.
Dalili.
1.Maumivu kwenye mrija wa mkojo karibu na kwenye kichwa cha uume(hii ni kawaida bila kukojoa). wakati wa kukojoa mkojo unagawanyika na kutoka kama njia mbili na sisikii maumivu Ila mkojo wa mwisho ukiisha ndo unasikia maumivu yanaendelea na unakuwa Kama umechochea
2 .Maumivu ya korodani, na mishipa yake pamoja na ile inayoenda chini karibia na sehemu ya haja kubwa
3. Maumivu ya nyonga
4.maumivu ya kiuno(mara chache sana)
5. kutoka ute ute mweupe kwenye uume wakati wa haja kubwa
6. Unaamka asubuhi unakuta boxer imelowa kana kwamba uliota unafanya sex then uka ejaculate vitu Kama sperm lakini sio vipo kama kamasi fulani hivi na vinateleza. lakini katika hali ya kawaida sioni hvyo vitu vikitoka.
VIPIMO vyote nilivyopima vinaonyesha hamna chochote na dawa zote huwa zinanipa nafuu na wife pia ametumia. huwa nikipata nafuu nakaa Kama wiki hv Ila nikikutana na mwenzangu hali inarudi tena sasa sijajua tatizo n nn au dawa ninazopewa sio. kuna docta aliwahi niambia nimepata klamidia japo hakunipima na akanipa dawa lakini bado haikusaidia.
VIPIMO
1.Urinalysis
2.Ultrasound(kibofu,tezi dume,kongosho,figo,ini)
3.Urine Culture
4.Ultrasound (korodani)
5.VDRL
6.Full blood picture
7. Urinalysis + VDRL(twice)
8. Urinalysis+ Ultrasound (tezi dume&figo)
DAWA
1. Cipro+PCM siku 5
2. Amoxclav siku 5
3. Azithromycin siku 6
4. Gentamycin 160mg siku 5
5. Doxycycline+metrodinazole siku10,
cefixine kidonge kimoja tu
6. Ceftriaxone siku 5
7. Azithromycin siku 3
8. Ceftriaxone+getamycin (80mg) mara mbili kwa siku, kwa siku 4(sindano 16)
9. Tribulent PCM, siku 5
10. Ceftriaxone 2g+getamycin (once)+Cipro (7 days)+ ibuprofen
Wakuu habari ya leo, kwa miezi kadhaa nimehangaika na ugonjwa ambao hapo chini nimeweka dalili ninazozipata, vipimo na dawa nilizotumia lakini bado sijapata suluhisho. Kama kuna mwenye uzoefu naomba msaada.
Dalili.
1.Maumivu kwenye mrija wa mkojo karibu na kwenye kichwa cha uume(hii ni kawaida bila kukojoa). wakati wa kukojoa mkojo unagawanyika na kutoka kama njia mbili na sisikii maumivu Ila mkojo wa mwisho ukiisha ndo unasikia maumivu yanaendelea na unakuwa Kama umechochea
2 .Maumivu ya korodani, na mishipa yake pamoja na ile inayoenda chini karibia na sehemu ya haja kubwa
3. Maumivu ya nyonga
4.maumivu ya kiuno(mara chache sana)
5. kutoka ute ute mweupe kwenye uume wakati wa haja kubwa
6. Unaamka asubuhi unakuta boxer imelowa kana kwamba uliota unafanya sex then uka ejaculate vitu Kama sperm lakini sio vipo kama kamasi fulani hivi na vinateleza. lakini katika hali ya kawaida sioni hvyo vitu vikitoka.
VIPIMO vyote nilivyopima vinaonyesha hamna chochote na dawa zote huwa zinanipa nafuu na wife pia ametumia. huwa nikipata nafuu nakaa Kama wiki hv Ila nikikutana na mwenzangu hali inarudi tena sasa sijajua tatizo n nn au dawa ninazopewa sio. kuna docta aliwahi niambia nimepata klamidia japo hakunipima na akanipa dawa lakini bado haikusaidia.
VIPIMO
1.Urinalysis
2.Ultrasound(kibofu,tezi dume,kongosho,figo,ini)
3.Urine Culture
4.Ultrasound (korodani)
5.VDRL
6.Full blood picture
7. Urinalysis + VDRL(twice)
8. Urinalysis+ Ultrasound (tezi dume&figo)
DAWA
1. Cipro+PCM siku 5
2. Amoxclav siku 5
3. Azithromycin siku 6
4. Gentamycin 160mg siku 5
5. Doxycycline+metrodinazole siku10,
cefixine kidonge kimoja tu
6. Ceftriaxone siku 5
7. Azithromycin siku 3
8. Ceftriaxone+getamycin (80mg) mara mbili kwa siku, kwa siku 4(sindano 16)
9. Tribulent PCM, siku 5
10. Ceftriaxone 2g+getamycin (once)+Cipro (7 days)+ ibuprofen
Umepona nisaidie na mimPole sana ndugu kumbe tupo wengi tunaoteseka na changamoto hiyo mm nilianza kuiona hali kama hiyo ya kutokwa na manii nzito sana wakati wa haja kubwa 2018 nikaenda hsptl nikapewa madawa kama yote nikatumia dozi yote lakini sikupata nafuu yyt wakati huo pia nilikuwa nateseka fangasi kwenye korodani siku nyingi, hali ile ikaendelea kuna mda ilikuwa inapotea yenyewe2 bila kutumia dawa zzt zile nikaja kugundua nikila chakula chochote na matembele nikienda haja kubwa napata choo kigumu sana na manii kutoka kwa wingi.
Mwaka jana November 25 nilipata maumivu makali sana kwenye korodani ya kushoto nikaenda hsptl tena nikafanya vipimo vya ultrasound nikaandikiwa nikatumia siku mbili tu maumivu yakaisha yote uume ukawa unasimama kama nimezaliwa upya.
before sijamaliza dozi nikapiga puchu hali ile ikajirudia tena mpaka now nateseka.😢😢