Ninahitaji mpenzi mpya wa JF huyu wa sasa amepoteza mvuto

Inasemekana hawezi,ndo maana najiuliza hivi wewe ni tajiri kweli au unataka tu ukamtese mtoto wa watu,maana mpaka umekuja humu hizo ni nyege zenye umri usiopungua miaka mitatu mwilini
Mkuu naomba uheshimu haya maamuzi, hii ni nafasi kubwa sana kwa wadada humu, huwezi jua mdada ambae nitakuwa nae atakuwa ni nani yako, unaweza kukuta unatoboa maisha kupitia huu uzi.
 
Dah endelea kukaza labla utanifikia, mm enzi hizo nipo chekechea kila nikisikia sauti ya kike lazima nirushe kimoja cha nguvu
 
Dah endelea kukaza labla utanifikia, mm enzi hizo nipo chekechea kila nikisikia sauti ya kike lazima nirushe kimoja cha nguvu
Mkuu utajitahidi lakini kunifikia unahitaji nguvu za ziada.

Mimi nilikuwa napiga nyeto kwa hisia yaani nachora picha ya mwanamke mzuri akilini na namwaga bila kugusa nyeti yangu kwa mkono.

Mara ya kwanza nilitumia hii style nilipofungwa mikono nyuma kwa pingu na askari polisi.
 
Hujanielewa Mama Red black Hapa nahitaji mpenzi wa jf tu, mpenzi wa kukutana nae kimwili siwezi kutafuta ndani ya ardhi ya Tanzania.
Unaweza kurudia kusoma tena uzi.
Nimekupata vilivyo, ila imebidi nikushangae maana hizo siyo sifa za kitajiri ni ukuda ๐Ÿ˜Ž

Mama Red black tena hee leo kumekucha kumekucha in Majuto voice ๐Ÿ™Œ
 
Usilete kebehi hapa kisha uje pm huku ujibubujikwa na machozi, sipokei kilio cha mtu pm ohooo..
Pm mimi?? ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Pm niliwahi ifata id ya kiume moja tena kuichamba ๐Ÿคฃ

Niliona kila nikimchamba hanijibu nikaona isiwe shida nikamuibukia kumkata ngebe..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Mkuu naomba uheshimu haya maamuzi, hii ni nafasi kubwa sana kwa wadada humu, huwezi jua mdada ambae nitakuwa nae atakuwa ni nani yako, unaweza kukuta unatoboa maisha kupitia huu uzi.
Humu sana sana utaishia kupita na eksi zetu,sema enewei kila la kheri kiongozi, nipo zangu kwa couch nazoom inyee ya mamaa Nusratt , pambana labda na wewe utapatamo ka kwako๐Ÿ˜‹
 
Dadekii ๐Ÿซต ๐Ÿ˜ƒ, utawaweza kweliii
 
Nimekupata vilivyo, ila imebidi nikushangae maana hizo siyo sifa za kitajiri ni ukuda ๐Ÿ˜Ž

Mama Red black tena hee leo kumekucha kumekucha in Majuto voice ๐Ÿ™Œ
Nashukuru umenielewa, shida ni kwamba mpenzi wangu ni mkorea hivyo huwa hatuongei sana bali vitendo ndio vingi, sasa nikipata humu itakuwa tunajimwaya mwaya ki uswahilini zaidi, si unajuwa japo mimi nina hela lakini nimetokea uswahilini!

Kwahiyo ninachofanya hapa ni kama mtu kuacha kuku kwenye jokofu na kwenda uswazi kununua miguu ya kuku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ