Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Yani stress humu JF ujitakie mwenyewe tuTajiri hatoi maelezo mengi pesa ndiyo inaongea.
Kwanza ifahamike hapa sitongozi bali natoa nafasi kwa wadada wa jf.
Huyu mpenzi wa sasa amenishinda, hajui kitu kuhusu mapenzi.
Tajiri Sina BAYA
Machache kuhusu mimi.
1. Nina hela.
2. Sina muda wa kubembeleza mpenzi.
3. Nina hela.
4, 5, 6, 7, 8, 9, 10. Nina hela.
Mpenzi ninaemtaka
1. awepo humu jf muda mwingi na kila nikiandika kitu nitakuwa namtagi.
2.awe amechangamka sio mshamba mshamba.
3. Awe na haiba ya mwanamke wa mtaani asiwe mgumu kama huyu wa sasa, yaani huyu wa sasa anabishana hadi mambo ya uchumi wa marekani na China, kwa mfano juzi alikuwa anabisha kuhusu ratiba ya mechi za ligu kuu anajuwa hadi namungo na mashujaa watacheza lini huyu amenishinda.
Kama kuna ambae utaona atanifaa pendekeza jina lake hapa utakuwa unakula dola kadhaa kila mwisho wa wiki kama malipo ya fadhila.
๐คฃ mkuu Kama nina baya sema...Tuhuma nzito hizo kwa Tajiri yetu ๐๐
Ushauri mzuri sana mkuu.Nenda kwa daktari wa akili mkuu๐ ๐
Njoo nikuombee mapepo yakutoke ๐๐Mkuu mi nimeshafika pabaya katika mchezo wa nyeto.
We fikiria juzi nilipiga nyeto kwa kutumia sauti ya paka wa jirani yangu.
Hiki ni kiwango kibaya mno kuwahi kutokea katika unyetukaji.
Hakika hakika ๐
Tajiri Sina BAYA huu Uzi ujamfungulia huyu Binti kweliKuna mtu atakuja atasema huu uzi ni chai๐๐
We ndo dawa pekee itakayonikomboa katika haya majanga.Njoo nikuombee mapepo yakutoke ๐๐
Nishapokea tajiri hana maneno mengi kama mweyewe anavyosema Tajiri Sina BAYA ๐๐๐Ila kama umeshapokea laki mbili haina shida๐
Woooo Ulikuwa wapi binti Sayuni wakati nasota rafiki yangu! Wewe nakukubali mtoto wa town huwezi niangusha, pendekeza basi hata mrembo mmoja mwenye sifa nilizo zisemaKuna mtu atakuja atasema huu uzi ni chai๐๐
Hauna baya tajiri๐๐๐คฃ mkuu Kama nina baya sema...
๐๐๐mimi mwenyewe mgeni humu siwajui vizuriWoooo Ulikuwa wapi binti Sayuni wakati nasota rafiki yangu! Wewe nakukubali mtoto wa town huwezi niangusha, pendekeza basi hata mrembo mmoja mwenye sifa nilizo zisema
๐๐๐. "Nyau nyau nyau nyau "ukanyetuka๐Mkuu mi nimeshafika pabaya katika mchezo wa nyeto.
We fikiria juzi nilipiga nyeto kwa kutumia sauti ya paka wa jirani yangu.
Hiki ni kiwango kibaya mno kuwahi kutokea katika unyetukaji.
Chanzo: Trust me brotherSema ukweli mkuu ๐ฎ
Hayo ni maamuzi ya busara sasa hela Hawashindani nayo.๐๐๐ ngoja niwaache matajiri ๐ถ๐ผโโ๏ธ
Ndiyo kwamba ulitaka kusema nini! Kumnasibisha mtu mwenye Hela na na mshereheshaji ni kosa kubwa mno.
Hahaha sawa sawa ๐ถ๐ผโโ๏ธHayo ni maamuzi ya busara sasa hela Hawashindani nayo.
Mkuu unajua huu uzi kafungua nani?By the god nchi inavijana wa ovyo hii ***** yan Tanzania daah bila ya maji huwezi kuishi