Ninahitaji Mwekezaji kwenye biashara yangu ya uzalishaji wa vipodozi

Ninahitaji Mwekezaji kwenye biashara yangu ya uzalishaji wa vipodozi

Mkuu Jane Msowoya ulifanikiwa na idea yako hii? Just kupata uzoefu maana tunaendelea kujifunza kupitia jukwaa hili.
Hello
nilifanikiwa kwa njia nyingine

baada ya kuona sielewi ofa zao wanazonipa nilikiwa na assets nikauza nika inject kwenye biashara na lile gap halijaonekana tena

projections zinaniambia by December ntahitaji ku inject 20m ili niendane na kasi ya ukuaji ninayoikusudia

na In sha Allah, Kheri itapatikana
 
Hadi nimekutamani. Hongera dadake , nimegain vitu vitu kupitia uzi wako .Nikutakie mafanikio mema.
 
Amin
i recieve.
Tuendelee kushauriana the future in bright
Great work Jane Msowoya we just have to appreciate and support our fellows who have great thoughts and not despising their efforts... you can share with us the name of your products if you won't mind, incase anyone wants to support you ... personally i would love to learn alot from you. Admired how strictly focused you are!
 
Hello
nilifanikiwa kwa njia nyingine

baada ya kuona sielewi ofa zao wanazonipa nilikiwa na assets nikauza nika inject kwenye biashara na lile gap halijaonekana tena

projections zinaniambia by December ntahitaji ku inject 20m ili niendane na kasi ya ukuaji ninayoikusudia

na In sha Allah, Kheri itapatikana
All the best sis
 
Great work Jane Msowoya we just have to appreciate and support our fellows who have great thoughts and not despising their efforts... you can share with us the name of your products if you won't mind, incase anyone wants to support you ... personally i would love to learn alot from you. Admired how strictly focused you are!
This link is for my online store where you can browse our products. If you wish to make a purchase, there are contact numbers for an agent near you. If there isn't one available, there are also contact numbers to inquire about how the product can be delivered to you.

Thank you very much.

Unhekuja kwa Dragons den naona ungepata muwekezaji ingawa wana tamaa
Ntakuja kukutembelea siku moja
Budding entrepreneurs, inventors and small businessmen pitch their ideas, with real cash to invest. Each contestant must convince the dragons to part with their wealth.

nimegugo
 
ndo wapi huko mkuu? karibu sana ndugu yangu
Ni kipindi cha TV hapa UK ila wanakubana haswa lakini watu na idea zao wakijieleza vizuri wanapewa walichotaka na mmoja wao au wawili wanasukuma biashara itanuke katika masoko

Kwa mfano products zako wanawekeza hela halafu wanakutafutia soko na zikiingia kwenye supermarkets na madukani basi umeula
 
ayseee safi nimeangalia video zao Youtube
 
Unaweza wewe kuwafundisha maana hata kuwa share wanaibiana
Inataka moyo kufanya biashara na mbongo
Nadhani sio utamaduni wetu kufanya kazi kwa ku share in % wengi wamezoea kuanzisha pamoja hasa muwe ndugu kwa kigezo cha kuwa unamjua inside out lakin hao hao ndugu wanakumaliza vile vile

pia wengi waoga wakupoteza hata senti kwenye biashara kupoteza pesa ni kawaida kikubwa umepotezaje

ndo mana risk takers mara nyingi wana tusua

Eg. Drug dealers and the likes, biashara zao ni kufa kupona wanajitoa kweli kweli kweli ndo mana wakifanikiwa inakuwa booom
 
Back
Top Bottom