ππππwangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ππππwangu
jamaa alizingua sana πππππππ
HelloMkuu Jane Msowoya ulifanikiwa na idea yako hii? Just kupata uzoefu maana tunaendelea kujifunza kupitia jukwaa hili.
Hadi nimekutamani. Hongera dadake , nimegain vitu vitu kupitia uzi wako .Nikutakie mafanikio mema.Hello
nilifanikiwa kwa njia nyingine
baada ya kuona sielewi ofa zao wanazonipa nilikiwa na assets nikauza nika inject kwenye biashara na lile gap halijaonekana tena
projections zinaniambia by December ntahitaji ku inject 20m ili niendane na kasi ya ukuaji ninayoikusudia
na In sha Allah, Kheri itapatikana
AminHadi nimekutamani. Hongera dadake , nimegain vitu vitu kupitia uzi wako .Nikutakie mafanikio mema.
Great work Jane Msowoya we just have to appreciate and support our fellows who have great thoughts and not despising their efforts... you can share with us the name of your products if you won't mind, incase anyone wants to support you ... personally i would love to learn alot from you. Admired how strictly focused you are!Amin
i recieve.
Tuendelee kushauriana the future in bright
All the best sisHello
nilifanikiwa kwa njia nyingine
baada ya kuona sielewi ofa zao wanazonipa nilikiwa na assets nikauza nika inject kwenye biashara na lile gap halijaonekana tena
projections zinaniambia by December ntahitaji ku inject 20m ili niendane na kasi ya ukuaji ninayoikusudia
na In sha Allah, Kheri itapatikana
Thank youAll the best sis
This link is for my online store where you can browse our products. If you wish to make a purchase, there are contact numbers for an agent near you. If there isn't one available, there are also contact numbers to inquire about how the product can be delivered to you.Great work Jane Msowoya we just have to appreciate and support our fellows who have great thoughts and not despising their efforts... you can share with us the name of your products if you won't mind, incase anyone wants to support you ... personally i would love to learn alot from you. Admired how strictly focused you are!
www.instagram.com
Ungekuja kwa Dragons den naona ungepata muwekezaji ingawa wana tamaaThank you
ndo wapi huko mkuu? karibu sana ndugu yanguUnhekuja kwa Dragons den naona ungepata muwekezaji ingawa wana tamaa
Ntakuja kukutembelea siku moja
Budding entrepreneurs, inventors and small businessmen pitch their ideas, with real cash to invest. Each contestant must convince the dragons to part with their wealth.Unhekuja kwa Dragons den naona ungepata muwekezaji ingawa wana tamaa
Ntakuja kukutembelea siku moja
Ni kipindi cha TV hapa UK ila wanakubana haswa lakini watu na idea zao wakijieleza vizuri wanapewa walichotaka na mmoja wao au wawili wanasukuma biashara itanuke katika masokondo wapi huko mkuu? karibu sana ndugu yangu
ayseee safi nimeangalia video zao YoutubeNi kipindi cha TV hapa UK ila wanakubana haswa lakini watu na idea zao wakijieleza vizuri wanapewa walichotaka na mmoja wao au wawili wanasukuma biashara itanuke katika masoko
Kwa mfano products zako wanawekeza hela halafu wanakutafutia soko na zikiingia kwenye supermarkets na madukani basi umeula
Hapo anakumbia nipe 25% kwa hela yote na baada ya mwaka nakurudishia 10% kama mambo yataenda vizuri kwa faidaayseee safi nimeangalia video zao Youtube
bongo hakuna haya mamboHapo anakumbia nipe 25% kwa hela yote na baada ya mwaka nakurudishia 10% kama mambo yataenda vizuri kwa faida
Ila wametajirisha wengi
Unaweza wewe kuwafundisha maana hata kuwa share wanaibianabongo hakuna haya mambo
Nadhani sio utamaduni wetu kufanya kazi kwa ku share in % wengi wamezoea kuanzisha pamoja hasa muwe ndugu kwa kigezo cha kuwa unamjua inside out lakin hao hao ndugu wanakumaliza vile vileUnaweza wewe kuwafundisha maana hata kuwa share wanaibiana
Inataka moyo kufanya biashara na mbongo