Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
-
- #21
Sema ni kwanini Serekali haiifungulii JF kupatikana Tanzania bila VPN? Yaani serekali hii ya majizi haipaswi kupewa lugha kuwa wanafungulia mitandao kama hisani. Acha kujikombokomba boss.
Wamekosewa wapi hiyo serekali? Acha kuleta mifano irrelevant. Hata hivyo hilo katazo lao lilikuwa la siku 90, nazo zimepita, wanataka kubembelezwa ili iweje labda? Nyie na huu ukuda wenu ndio unachangia serekali kujiona iko sahihi. Acha mambo ya kike dogo.Ningeandikaje mkuu?
Wewe mkeo au mtoto wako ukimkosea akata haki yake atakuomba au atakudai kwa njia ipi?
Sema ni kwanini Serekali haiifungulii JF kupatikana Tanzania bila VPN? Yaani serekali hii ya majizi haipaswi kupewa lugha kuwa wanafungulia mitandao kama hisani. Acha kujikombokomba boss.
Mahubiri ya raia na serikali yao sio sawa na mahusiano ya mke na mume au wazazi na watoto wao, mahusiano yetu ni ya social contract
Unataka ifunguliwe halafu unaomba! Mbona unajicontradict dogo?! Be firm, acha hizo lugha za machawa tafdhali.Kwa upande wangu sitaki kujua sababu. Ninataka ifunguliwe hilo ndio muhimu kwa sasa.
Najikomba kwa kuomba jambo ambalo linafaida kwako na kwa wengine?
Tunao uwezo wa kufanikisha kudai haki zetu na zikatimizwa na watawala, zipo nyenzo nyingi tu ikiwemo kugoma kulipa kodi, kufanya maandamano na kuomba msaada wa vikwazo kutoka nje kudai haki pale zinapoporwa na watawala.Ni sawa.
Lakini kimantiki huwezi kutaka au kuagiza jambo ukiwa huna mamlaka au uwezo wa kuli enforce lifanyike.
Mimi ninafanya kwa nafasi niliyonayo. Kuomba kwa sababu option ya pili sina.
Pili, kuomba kwangu ni unyenyekevu, busara, na hekima.
Wewe unaweza kuagiza MTU ambaye yupo juu yako kimamlaka au kiuwezo?
Unataka ifunguliwe halafu unaomba! Mbona unajicontradict dogo?! Be firm, acha hizo lugha za machawa tafdhali.
Tunao uwezo wa kufanikisha kudai haki zetu na zikatimizwa na watawala, zipo nyenzo nyingi tu ikiwemo kugoma kulipa kodi na kufanya maandamano kudai haki pale zinapoporwa na watawala.
Maridhiano kwanza hatii!!Kheri ya Mwaka Mpya!
1. Kwa heshima na taadhima. Ninapenda kuchukua nafasi hii.
2. Kuiomba serikali iufungulie mtandao wa Jamiiforum ili mambo mengine yaendelee.
3. Jamiiforum ni moja ya mambo ambayo serikali ya Tanzania inaweza kujivunia kwa wananchi wake.
4. Malumbano, mivutano na migogoro iwe ya kisiasa au kijamii inaweza kuweko lakini isiwe sababu ya kurudisha jitihada na nguvu zinazoipaisha nchi yetu katika Nyanja kama za kiteknolojia na kidijitali.
5. Watu wengi ikiwemo serikali imefaidika na uwepo wa jamiiforum kuanzia kwenye elimu, habari, maarifa na mawazo mapya, ajira, miongoni mwa mambo mengine.
6. JF kupitia anonymous imesaidia serikali na vyombo vya usalama kupata baadhi ya data ambazo ingetumia nguvu nyingi kuzipata.
7. Ingawaje zipo changamoto za kashfa au tuhuma. Lakini suala hilo lisiwe sababu ya kufungiwa kwa mtandao mzima.
8. Naiomba serikali ifungulie mtandao huu. Hakuna haja ya hasira, chuki, kukomoana, kutunishiana misuli. Kuonyeshana ubabe.
9. Ukubwa ni busses, hekima, unyenyekevu kama sehemu ya kuonyesha njia ya Wema na kuwa mfano Bora wa UTU.
10. Mwaka 2026 mwaka wa UTU WA KALE.
11. No hate. One nation one destination.
Mungu awabariki.
Kwa walio Morogoro. Jioni tutakuwa Pale mjini. Kufurahia mwaka 2026.
TaikonMaster
Kwa sasa Soko la Kingalu, Morogoro Mjini
Nani amekuambia haliko ndani ya uwezo wako? Watawala dhalimu ndio wamekuaminisha haliko ndani ya uwezo wakoNafikiri ni semantic ya lugha inakuchanganya.
Mimi nataka mtandao ufunguliwe. Lakini wale waliofunga ninapowasiliana nao siwezi kuwaambia nataka wafanye ABC.
Nitasema naomba kwa sababu lipo nje ya uwezo wangu.
Kuwaambia nataka na kuwaagiza huku najua halipo ndani ya uwezo wangu huoni kama nitakuwa sina mantiki
Ukiachia kuwa adhabu ilikuwa ni ya uonevu, je walisema ni ya siku ngapi? Kama tayari imeshapita unajibembelezesha ili nani akuone una heshima? Acha kusaka sifa za kijinga dogo, kama unataka kupewa cheo, nenda kajibebishe kimpango wako huko, sio kutaka kuwapa heshima wasiojiheshimu.Nafikiri ni semantic ya lugha inakuchanganya.
Mimi nataka mtandao ufunguliwe. Lakini wale waliofunga ninapowasiliana nao siwezi kuwaambia nataka wafanye ABC.
Nitasema naomba kwa sababu lipo nje ya uwezo wangu.
Kuwaambia nataka na kuwaagiza huku najua halipo ndani ya uwezo wangu huoni kama nitakuwa sina mantiki
Tunao uwezo wa kufanikisha kudai haki zetu na zikatimizwa na watawala, zipo nyenzo nyingi tu ikiwemo kugoma kulipa kodi na kufanya maandamano kudai haki pale zinapoporwa na watawala.
Nidhamu ya uoga uliojengewa tokea unazaliwa, makuzi na malezi yako pamoja na mfumo wa ovyo wa serikali ya CCM unachangia kuwa na vijana wasiojua jinsi ya kujipigania na kupelekea uchawa kukithiri
Haki haiombwi bali inatafutwa kwa kudaiwa.
Nyie ni aina ya vijana ambao hata ukivamiwa na wahuni kwako utawaomba wasikufanye kitu mbaya badala ya kupambania maisha yako.
Acha kuwa laini laini kijana.
Nani amekuambia haliko ndani ya uwezo wako? Watawala dhalimu ndio wamekuaminisha haliko ndani ya uwezo wako
Kama kuna options mbili ilikuaje raia Bangladesh wakamtimua Dikteta Sheikh Hasina kwa hiyari yao wote??Upo sawa kabisa.
Lakini wananchi wangapi wapo tayari kufanya hivyo?
Kumbuka wananchi sio wanajeshi. Wao Wana hiyari. Wanaweza kuchagua kutaka haki Fulani au wasiitake haki Fulani.
Nakupa mfano huohuo wa maandamano.
Kwenye maandamano wapo waliotoka kwa hiyari Yao na wapo ambao hawakutoka kwa hiyari Yao pia.
Sasa ukishaleta suala la hiyari lazima wenye hiyari waombe kwa sababu hawana umoja kwani Wana options mbili.
Jeshi haliombi kwa sababu Lina option moja. Na haliendeshwi kwa hiyari isipokuwa amri.
Unaelewa sasa?
Nani anataka kuharibu amani??Tunza amani.
Mitandao si kipaumbele
Ni uonevu ndio.Ukiachia kuwa adhabu ilikuwa ni ya uonevu, je walisema ni ya siku ngapi? Kama tayari imeshapita unajibembelezesha ili nani akuone una heshima? Acha kusaka sifa za kijinga dogo, kama unataka kupewa cheo, nenda kajibebishe kimpango wako huko, sio kutaka kuwapa heshima wasiojiheshimu.
Omba hicho kikundi kinachotoa maelekezo kwa serikali...kwani hujui nchi inaendeshwa na nani sasa hivi?Kheri ya Mwaka Mpya!
1. Kwa heshima na taadhima. Ninapenda kuchukua nafasi hii.
2. Kuiomba serikali iufungulie mtandao wa Jamiiforum ili mambo mengine yaendelee.
3. Jamiiforum ni moja ya mambo ambayo serikali ya Tanzania inaweza kujivunia kwa wananchi wake.
4. Malumbano, mivutano na migogoro iwe ya kisiasa au kijamii inaweza kuweko lakini isiwe sababu ya kurudisha jitihada na nguvu zinazoipaisha nchi yetu katika Nyanja kama za kiteknolojia na kidijitali.
5. Watu wengi ikiwemo serikali imefaidika na uwepo wa jamiiforum kuanzia kwenye elimu, habari, maarifa na mawazo mapya, ajira, miongoni mwa mambo mengine.
6. JF kupitia anonymous imesaidia serikali na vyombo vya usalama kupata baadhi ya data ambazo ingetumia nguvu nyingi kuzipata.
7. Ingawaje zipo changamoto za kashfa au tuhuma. Lakini suala hilo lisiwe sababu ya kufungiwa kwa mtandao mzima.
8. Naiomba serikali ifungulie mtandao huu. Hakuna haja ya hasira, chuki, kukomoana, kutunishiana misuli. Kuonyeshana ubabe.
9. Ukubwa ni busses, hekima, unyenyekevu kama sehemu ya kuonyesha njia ya Wema na kuwa mfano Bora wa UTU.
10. Mwaka 2026 mwaka wa UTU WA KALE.
11. No hate. One nation one destination.
Mungu awabariki.
Kwa walio Morogoro. Jioni tutakuwa Pale mjini. Kufurahia mwaka 2026.
TaikonMaster
Kwa sasa Soko la Kingalu, Morogoro Mjini
Pamoja na kumsifia mama malkia kote huko bado kakomaa tu? Hivi chawa wake nao wanatumia VPN? Naona wanazidi kujaza server tu hapa na wanazaliana deile