Ninaishi KIBAHA, Shughuli zangu ni Kariakoo. Lift inalipwaje, kama Asante?

makpridash

Member
Joined
Sep 18, 2026
Posts
64
Reaction score
112
Habari kwako wewe

Ninajirani anafanyakazi mjini. Anagari mimi sina inafahamika kitamaduni mtanzania humsaidia mwenzie anapoona inafaa.

Nitamlipajelipaje mtu anayenipa lift kila siku au mara mbili kwa wiki, mara nne tano kwa mwezi. Na najua nauli yangu inabaki mfukoni.

Mimi kama mtu mzima huyu mtoto amefanikiwa kupata usafiri.

Wenzangu tunaopewa lift mnalipaje fadhila?

NAOMBA MWENYE GARI ALIYEKWISHA TOA LIFTI NIAMBIE KAMA UNAJISIKIA VBY EE KUTUBEBA?
 
Habari kwako wewe

Ninajirani anafanyakazi mjini. Anagari mimi sina inafahamika kitamaduni mtanzania humsaidia mwenzie anapoona inafaa.

Nitamlipajelipaje mtu anayenipa lift kila siku au mara mbili kwa wiki, mara nne tano kwa mwezi. Na najua nauli yangu inabaki mfukoni.

Mimi kama mtu mzima huyu mtoto amefanikiwa kupata usafiri.

Wenzangu tunaopewa lift mnalipaje fadhila?
Wewe Ke au Me,anaye kupata lift naye ni Ke au Me,jibu hili swali nikupe mbinu matata
 
Habari kwako wewe

Ninajirani anafanyakazi mjini. Anagari mimi sina inafahamika kitamaduni mtanzania humsaidia mwenzie anapoona inafaa.

Nitamlipajelipaje mtu anayenipa lift kila siku au mara mbili kwa wiki, mara nne tano kwa mwezi. Na najua nauli yangu inabaki mfukoni.

Mimi kama mtu mzima huyu mtoto amefanikiwa kupata usafiri.

Wenzangu tunaopewa lift mnalipaje fadhila?
Siku moja moja ukiwa ndan ya Lift muambie apitie sheli umuwekee wese hata la 20k au 30k.

Ukifanya hivyo. Utaona jamaa sikù ingine kabla hata hajatoka home , anakupigia akupitie. Na ikiwa hivyo ingia nae kamkataba kwamba uwe unamsaport hela ya mafuta kila j3.
Unakuwa una uhakika wa usafiri asubuh.

Elnino inaanza. Hii itakuokoa na kudhalilika na mvua.
 
Kama walivyoshauri wengine hapo juu, vyema ujiongeze mpite Shelly na ulipie mafuta

Hata kama gari yenu ni IST, bado inatumia mafuta.

Na kwa umbali huo, iwapo anawasha na AC jioni wakati wa kurudi, mtajikuta petroli ya 50,000 mnatumia siku 3 tu katika wiki inakuwa imeisha
 
Habari kwako wewe

Ninajirani anafanyakazi mjini. Anagari mimi sina inafahamika kitamaduni mtanzania humsaidia mwenzie anapoona inafaa.

Nitamlipajelipaje mtu anayenipa lift kila siku au mara mbili kwa wiki, mara nne tano kwa mwezi. Na najua nauli yangu inabaki mfukoni.

Mimi kama mtu mzima huyu mtoto amefanikiwa kupata usafiri.

Wenzangu tunaopewa lift mnalipaje fadhila?
Mwekee mafuta hata lita 10
 
Katika kitu ambacho sipendi, ni mtu kuniwekea mafuta, inanifanya kama awe ananidai. Ni Bora uongee nae, kwamba naomba uwe unanipitia, na nichangie kiasi flani kwa week au mwezi. Ongea nae kiume. Usiseme tu tupitie kituoni apo tuweke mafuta bila kuongea nae.
 
Na hivi mshahara umetoka jana tu, halafu leo mtu akwambie. Tupitie Afroil kuweka wese kidogo, hapo kichwa kinaweza kupata moto.
 
Back
Top Bottom