Ninaishi KIBAHA, Shughuli zangu ni Kariakoo. Lift inalipwaje, kama Asante?

Ninaishi KIBAHA, Shughuli zangu ni Kariakoo. Lift inalipwaje, kama Asante?

Habari kwako wewe

Ninajirani anafanyakazi mjini. Anagari mimi sina inafahamika kitamaduni mtanzania humsaidia mwenzie anapoona inafaa.

Nitamlipajelipaje mtu anayenipa lift kila siku au mara mbili kwa wiki, mara nne tano kwa mwezi. Na najua nauli yangu inabaki mfukoni.

Mimi kama mtu mzima huyu mtoto amefanikiwa kupata usafiri.

Wenzangu tunaopewa lift mnalipaje fadhila?

NAOMBA MWENYE GARI ALIYEKWISHA TOA LIFTI NIAMBIE KAMA UNAJISIKIA VBY EE KUTUBEBA?
Unataka umpe nini ili uanze kutia kishoka?
 
Kwanza hakikisha kwamba huweki mazingira ya kumfunga kwamba ni lazima akupe lift Asubuhi, uwe unajiongeza baadhi ya siku kuwahi kuondoka kabla muda wake. Yaani aone hata siku asipokupa lift asiwe na mawazo kwamba amekukosea. Hiyo itakuwa zaidi ya shukururani, maana atakuwa huru nawe na chombo yake.
 
Unamjua Alex Kimario, waulize wale majamaa alichowafanya.. wawili. Alikuwa anawapeleka Sijui Uwanja wa Fisi.. huko Arusha. Hahaha na yeye ni Afisa msafirishaji
 
Usifanye nae makubaliano coyote, maana makubaliano yoyote kisheria ni mkataba, wewe akingia kituo cha mafuta jiongeze, hii itakuweka wewe huru kuliko makubaliano ambayo itakuwa ni lazima, je siku ambayo mambo hayako vizuri huoni kwamba ataanza kuona kwamba umekiuka makubaliano? Muhimu wote muwe huru hata siku usizopanda lifti utabaki na amani yako.
 
Katika kitu ambacho sipendi, ni mtu kuniwekea mafuta, inanifanya kama awe ananidai. Ni Bora uongee nae, kwamba naomba uwe unanipitia, na nichangie kiasi flani kwa week au mwezi. Ongea nae kiume. Usiseme tu tupitie kituoni apo tuweke mafuta bila kuongea nae.
Umeongea kitu cha msingi sana wengi wanadhani gari ni mafuta tu kumbe kuna vitu vingi na jamaa unakuta ana budget yake wala hawazi hiyo twenty yake akimpelekea hiyo miguu ya kumpa hela ya mafuta anaweza akamtosa mazima gen z wana maamuzi magumu tupo hapa..
 
Katika kitu ambacho sipendi, ni mtu kuniwekea mafuta, inanifanya kama awe ananidai. Ni Bora uongee nae, kwamba naomba uwe unanipitia, na nichangie kiasi flani kwa week au mwezi. Ongea nae kiume. Usiseme tu tupitie kituoni apo tuweke mafuta bila kuongea nae.
Upo sahihi kabisa,msaada unatakiwa ubaki kua msaada,hata wewe mtoa msaada unapata ile feeling ya kua unamsaidia mtu,

Akisha anza kukulipa tu,basi inakua sio msaada tena,hata ile feeling yako kua unatoa msaada inapotea.
 
Sasa hili nalo mkuu unataka upewe ABCD kweli?wewe ni mtu mzima kweli au bado kinda?any way baada ya kupanda kwenye hiyo lifti mkfika Puma pale Njuweni maili moja,au pale ETN picha ya ndege,au hata pale lake jirani na na kituo cha daladala Kibaha mjini au Mkuza pale GSM mwambie mpitie shell kati ya hizo apaki kwenye pump muhudumu atakapofika toa maelekezo aweke ya laki moja hapo utakuwa umemlipa mkuu,kinyume na hapo nununua hata boxer ya mtumba uepukane na lifti.
 
Unamjua Alex Kimario, waulize wale majamaa alichowafanya.. wawili. Alikuwa anawapeleka Sijui Uwanja wa Fisi.. huko Arusha. Hahaha na yeye ni Afisa msafirishaji
Yule Jamaa Mshenzi Sana Wakala Wa Upinde
 
Back
Top Bottom