cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Uko sahihi sana,Ila ndugu huna aibu kabisa. Mimi kupanda lift ya mtu kama hivyo ulivyo wewe itakuwa suala gumu sana. Mimi ninakushauri anza kupanda daladala kama ilivyokuwa mipango yako mwanzoni ili ubakiwe na ka-heshima. Ona aibu aisee. Hata kama ikibidi lift iwe mara chache kwa kulazimika.