makpridash
Member
- Sep 18, 2026
- 64
- 112
Wewe Ke au Me,anaye kupata lift naye ni Ke au Me,jibu hili swali nikupe mbinu matataHabari kwako wewe
Ninajirani anafanyakazi mjini. Anagari mimi sina inafahamika kitamaduni mtanzania humsaidia mwenzie anapoona inafaa.
Nitamlipajelipaje mtu anayenipa lift kila siku au mara mbili kwa wiki, mara nne tano kwa mwezi. Na najua nauli yangu inabaki mfukoni.
Mimi kama mtu mzima huyu mtoto amefanikiwa kupata usafiri.
Wenzangu tunaopewa lift mnalipaje fadhila?
Siku moja moja ukiwa ndan ya Lift muambie apitie sheli umuwekee wese hata la 20k au 30k.Habari kwako wewe
Ninajirani anafanyakazi mjini. Anagari mimi sina inafahamika kitamaduni mtanzania humsaidia mwenzie anapoona inafaa.
Nitamlipajelipaje mtu anayenipa lift kila siku au mara mbili kwa wiki, mara nne tano kwa mwezi. Na najua nauli yangu inabaki mfukoni.
Mimi kama mtu mzima huyu mtoto amefanikiwa kupata usafiri.
Wenzangu tunaopewa lift mnalipaje fadhila?
Mwekee mafuta hata lita 10Habari kwako wewe
Ninajirani anafanyakazi mjini. Anagari mimi sina inafahamika kitamaduni mtanzania humsaidia mwenzie anapoona inafaa.
Nitamlipajelipaje mtu anayenipa lift kila siku au mara mbili kwa wiki, mara nne tano kwa mwezi. Na najua nauli yangu inabaki mfukoni.
Mimi kama mtu mzima huyu mtoto amefanikiwa kupata usafiri.
Wenzangu tunaopewa lift mnalipaje fadhila?
MmhKama wewe ni Ke angalia usitombwéé sawa?
Mbona unaguna. Toa neno
Mad umeongea vzr sanaKatika kitu ambacho sipendi, ni mtu kuniwekea mafuta, inanifanya kama awe ananidai. Ni Bora uongee nae, kwamba naomba uwe unanipitia, na nichangie kiasi flani kwa week au mwezi. Ongea nae kiume. Usiseme tu tupitie kituoni apo tuweke mafuta bila kuongea nae.
Kupigana miti wapi na wapiMbona unaguna. Toa neno
FafanuaMimi ndiye ninayekupa lift,cha muhimu kwangu sio nakupa lift halafu wewe utake kupiga na honi
Na hivi mshahara umetoka jana tu, halafu leo mtu akwambie. Tupitie Afroil kuweka wese kidogo, hapo kichwa kinaweza kupata moto.Katika kitu ambacho sipendi, ni mtu kuniwekea mafuta, inanifanya kama awe ananidai. Ni Bora uongee nae, kwamba naomba uwe unanipitia, na nichangie kiasi flani kwa week au mwezi. Ongea nae kiume. Usiseme tu tupitie kituoni apo tuweke mafuta bila kuongea nae.