Ningekuwa nina gari nisingeruhusu aniongezee hela ya mafuta...kuruhusu afanye hivyo maana mwenye gari atakuwa amejiondolea uhuru wa gari lake...aliyechangia mafuta anaweza kuona ana haki ya hilo gari kwa vile tu amechangia mafuta!Akiingia sheli nawe jiongeze,uongezee hela ya mafuta
Mengi sana hayo,akiweka hata ya 20K kwa baada ya miezi miwili ataonekana bonge la mtu.Siku moja mwambie apitie petrol station tia mafuta ya 70k
Wewe na huyo anayekupa lift jinsia zenu zikojeHabari kwako wewe
Ninajirani anafanyakazi mjini. Anagari mimi sina inafahamika kitamaduni mtanzania humsaidia mwenzie anapoona inafaa.
Nitamlipajelipaje mtu anayenipa lift kila siku au mara mbili kwa wiki, mara nne tano kwa mwezi. Na najua nauli yangu inabaki mfukoni.
Mimi kama mtu mzima huyu mtoto amefanikiwa kupata usafiri.
Wenzangu tunaopewa lift mnalipaje fadhila?
NAOMBA MWENYE GARI ALIYEKWISHA TOA LIFTI NIAMBIE KAMA UNAJISIKIA VBY EE KUTUBEBA?
Unajitungisha story za uwongo njia nzima unaongea wewe kimbembe mkutane na foleni kimya kinatawala maana story zimeshaisha hujui useme nini tena sasa unajikuta kushuka unataka kubaki unataka.Mimi naona tu niwe napanda Bajaji au daladala kuliko kuzamia zamia magari ya watu. Japo Chanika na Posta ni parefu ila bora nikomae hivyo hivyo.
Kwa mfano mimi huwa napata sana changamoto.Unajitungisha story za uwongo njia nzima unaongea wewe kimbembe mkutane na foleni kimya kinatawala maana story zimeshaisha hujui useme nini tena sasa unajikuta kushuka unataka kubaki unataka.
Hii imekaa kiume zaidi.Katika kitu ambacho sipendi, ni mtu kuniwekea mafuta, inanifanya kama awe ananidai. Ni Bora uongee nae, kwamba naomba uwe unanipitia, na nichangie kiasi flani kwa week au mwezi. Ongea nae kiume. Usiseme tu tupitie kituoni apo tuweke mafuta bila kuongea nae.
Na ikiwa hivyo ingia nae kamkataba kwamba uwe unamsaport hela ya mafuta kila j3.
Unakuwa una uhakika wa usafiri asubuh.
Na hilo ombi lake lazima likataliwe, hiyo inakuwa kama sadaka tu in case siku sijakubeba hata nisikuwaze wala niniKatika kitu ambacho sipendi, ni mtu kuniwekea mafuta, inanifanya kama awe ananidai. Ni Bora uongee nae, kwamba naomba uwe unanipitia, na nichangie kiasi flani kwa week au mwezi. Ongea nae kiume. Usiseme tu tupitie kituoni apo tuweke mafuta bila kuongea nae.
Hakika. Akinunua mafuta atamtoa mchezoni bwana Mdogo.Na hilo ombi lake lazima likataliwe, hiyo inakuwa kama sadaka tu in case siku sijakubeba hata nisikuwaze wala nini
Mnaopewa lift mbona mnajishtukia sana. Hakuna aibu yoyote bana na wala hatutarajii kuwekewa mafuta. Kuna muda tunamiss story mbili tatu msitukimbie.Ila ndugu huna aibu kabisa. Mimi kupanda lift ya mtu kama hivyo ulivyo wewe itakuwa suala gumu sana. Mimi ninakushauri anza kupanda daladala kama ilivyokuwa mipango yako mwanzoni ili ubakiwe na ka-heshima. Ona aibu aisee. Hata kama ikibidi lift iwe mara chache kwa kulazimika.
Hili ni muhimu sanaAkiingia sheli nawe jiongeze,uongezee hela ya mafuta
Uko sahihi.Katika kitu ambacho sipendi, ni mtu kuniwekea mafuta, inanifanya kama awe ananidai. Ni Bora uongee nae, kwamba naomba uwe unanipitia, na nichangie kiasi flani kwa week au mwezi. Ongea nae kiume. Usiseme tu tupitie kituoni apo tuweke mafuta bila kuongea nae.
πππUnamjua Alex Kimario, waulize wale majamaa alichowafanya.. wawili. Alikuwa anawapeleka Sijui Uwanja wa Fisi.. huko Arusha. Hahaha na yeye ni Afisa msafirishaji
Da makie siku hizi umechachuka vibaya ujue?Na kama ni Me arejee tahadhari ya Dudu Baya..