Ninaishi KIBAHA, Shughuli zangu ni Kariakoo. Lift inalipwaje, kama Asante?

Uko sahihi sana,
 
Unajitungisha story za uwongo njia nzima unaongea wewe kimbembe mkutane na foleni kimya kinatawala maana story zimeshaisha hujui useme nini tena sasa unajikuta kushuka unataka kubaki unataka.
😂😂😂
 
Mpe mkeo afurahie kutoa lifti?
 
Mnaopewa lift mbona mnajishtukia sana. Hakuna aibu yoyote bana na wala hatutarajii kuwekewa mafuta. Kuna muda tunamiss story mbili tatu msitukimbie.
Huna jipya. Hapa JF kila mtu ana gari na B ya Physics O - Level.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…