Ninaishi kwangu (nimejenga) ila sina furaha

 
Ha ha ha ha nimecheka kifala hii nyumba sio yako na wala haiko Bunju nini unavyosema iko huko Goba hii nyumba ni ya bwan ......... na mama ........... wako very happy married ya 18yrs na blessing ya watoto wawili me na ke
 
Tatizo huna connection japo ww mwenyewe ndo connection
 
Hiyo nyumba kuipa maintenance ya kukidhi viwango ni stress tupu. Huenda ni 3phase, umeme kwa mwezi ni 200k or more, una gardener, maids watatu, ndugu zako wamehamia kwako, majirani wanakuona kama bosi hivi, michango ya kijamii lazima ujitutumur hata kama huna hela..

Utapata wapi furaha...!!
 
Point
 
Naona wadangaji wanajifanya wanabisha sio nyumba yako ....kumbe lengo lao wanataka uwathibitishie ili waje PM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…