sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Kwangu naweza kusema ni kama mke maana kwetu wanamjua ma kwao wananijua, ila kuhusu ndoa hapo huwa nalikwepa sana hili jambo, huwa naona vile ndugu, jamaa ma marafiki baadhi yao wanavyoteseka.
Kwa sasa tuna watoto wawili moja ana miaka 9 mwengine mitano, tunaishi vizuri tu, tunaheshimiana bila tatizo, kisheria kwa kuwa nimeishi nae kwa zaidi ya miaka miwili tayari ana haki zote kama mke halali ila mke wangu haya mambo hayajui bado.
Nadhani kuhusu swala la ndoa labda iwe huko 2025 ntafanya tu ile kusherekea kwamba tumeishi wote kwa mda zaidi ya miaka 15.
Tunaoendana sana na sitaki hali hii ibadilike kisa tu tumeingia kwenye mkataba wa kuachana mpaka kifo, weee!! 😂 hivi kuna mtu anaeijua kesho ?, halafu hata hizi ndoa mwanamke anaweza ingia tamaa muachane kisa tu apate mgao wake wa mali, n.k.
Hapana kwakweli, na enjoy sana haya maisha, hayo mambo ya ndoa kwangu labda mbele sana huko.