Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Nendeni mkahalalishe hayo mahusiano kiserikali au kiimani, kuna siku utakua haupo kwenye uso wa dunia huyo mke na watoto hawatatambulika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye atajuaje wakati atakuwa kavimba hapo ?Siku ukifa ghafla ndio utajua haujui .Kwanza hiyo dhambi ya uzinzi inazidi kukolea
Atajuaje sasa au ataamka kushuhudia varangati la familia yake? Kama wale waliofukiwa na udongo ndani ya mwezi mmoja yaani siku 33 tu familia walishagawana kila kitu walijua tayari huyo ![emoji3][emoji3]Siku ukifa ndo utajua umuhimu wa ndoa (sikuombei mabaya)
Atajuaje sasa au ataamka kushuhudia varangati la familia yake? Kama wale waliofukiwa na udongo ndani ya mwezi mmoja yaani siku 33 tu familia walishagawana kila kitu walijua tayari huyo ![emoji3][emoji3]
Hujajibu swaliHakuna ndoa wanaishi maisha ya uzinzi.Maisha ya dhambi.Siku yeyote akifa hakika watahukumiwa kwa uzinzi.
Kuishi bila kufunga ndoa ni kutenda dhambi ya uzinzi na siku ukifa hakika utahukumiwa kwenda motoni.Yeye atajuaje wakati atakuwa kavimba hapo ?
Asante sana mkuu, umeniwahikuna baraka fulani za ndoa unazikosa mkuu trust me.