Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
Siku ukifa ghafla ndio utajua haujui .Kwanza hiyo dhambi ya uzinzi inazidi kukolea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hamjafunga ndoa hamuwezi kuwa wanandoa,hata kama kwenu na kwao munafahamika! Ninyi ni wachumba tu,hata kama mumeishi miaka zaidi ya miwili bado hamtaweza kupeana talaka kwa sababu hamna ndoa,Ila mali mutakazo chuma mutagawana hata kama hamjafunga ndoaKwangu naweza kusema ni kama mke maana kwetu wanamjua ma kwao wananijua, ila kuhusu ndoa hapo huwa nalikwepa sana hili jambo, huwa naona vile ndugu, jamaa ma marafiki baadhi yao wanavyoteseka.
Kwa sasa tuna watoto wawili moja ana miaka 9 mwengine mitano, tunaishi vizuri tu, tunaheshimiana bila tatizo, kisheria kwa kuwa nimeishi nae kwa zaidi ya miaka miwili tayari ana haki zote kama mke halali ila mke wangu haya mambo hayajui bado.
Nadhani kuhusu swala la ndoa labda iwe huko 2025 ntafanya tu ile kusherekea kwamba tumeishi wote kwa mda zaidi ya miaka 15.
Tunaoendana sana na sitaki hali hii ibadilike kisa tu tumeingia kwenye mkataba wa kuachana mpaka kifo, weee!! 😂 hivi kuna mtu anaeijua kesho ?, halafu hata hizi ndoa mwanamke anaweza ingia tamaa muachane kisa tu apate mgao wake wa mali, n.k.
Hapana kwakweli, na enjoy sana haya maisha, hayo mambo ya ndoa kwangu labda mbele sana huko.
Si sahihi! Musimpotoshe,mwambieni wakafunge ndoaHiyo ni ndoa halali na mahusiano hayo yapo chini ya sheria ya ndoa.
Hakuna ulichokwepa zaidi ya harusi. Ndoa na harusi ni vitu viwili tofauti.
Unaona jinsi watu wanavyorahisisha ndoa,wanachukuana wanaishi kinyumba na kutambulishana then wanajiita mke na mume,na wanakwepa kufunga ndoa maisha yao yote,wanapaswa waitane wachumba sio mke na mume kama mtoa mada anavyodaikwenu na kwao mnajuana ila mungu hawatambueni mnaendelea kuzini
Si sahihi! Yani hapo hata wakiachana wakaenda kudai talaka mahakamani, mahakama haiwezi kutoa talaka watahesabika kama vimada tu au wachumba.solution ni wao wafunge ndoa tu,mali watagawana hata kama hawajafunga ndoaKama alitoa Mahali na Wazazi wa Binti wakaipokea hapo hakuna shida,hiyo ni Ndoa tayari sema tu haina sherehe!!
Hapana mkuu, hapo kidogo unakuwa unakosea mahala, kama mnaishi vizuri na mnaelewana basi mfunge ndoa, kwanza unampa heshima mkeo kuwa nae ni mke wa mtu, pili mkiwa ndani ya ndoa kuna haki ambazo mkeo atazipata (kwa mfano kama wewe ni mfanyakazi ukiwa na ndoa waweza kumkatia bima ya afya mkeo kama yeye sio muajiriwa), pia lijapo suala la mirathi iwapo imetokea wewe umetangulia mbele za haki inakiwa inafanya mkeo anakuwa analinda mali dhidi ya ndugu wenye uchu na mali zako, yaani mahakami kwa document ya cheti cha ndoa anakabidhiwa mali zote bila utata wowote. Kifupi ndoa ni nzuri itanguliwe na urafiki kati ya wenza then baada ya kuwepo maelewano ndipo ndoa ifungwe. Nyinyi mnaelewana na mna amani mkifunga ndoa haimaanishi amani itatoweka hapana bali itaongeza heshima fulani kwako na kwake.Kwangu naweza kusema ni kama mke maana kwetu wanamjua ma kwao wananijua, ila kuhusu ndoa hapo huwa nalikwepa sana hili jambo, huwa naona vile ndugu, jamaa ma marafiki baadhi yao wanavyoteseka.
Kwa sasa tuna watoto wawili moja ana miaka 9 mwengine mitano, tunaishi vizuri tu, tunaheshimiana bila tatizo, kisheria kwa kuwa nimeishi nae kwa zaidi ya miaka miwili tayari ana haki zote kama mke halali ila mke wangu haya mambo hayajui bado.
Nadhani kuhusu swala la ndoa labda iwe huko 2025 ntafanya tu ile kusherekea kwamba tumeishi wote kwa mda zaidi ya miaka 15.
Tunaoendana sana na sitaki hali hii ibadilike kisa tu tumeingia kwenye mkataba wa kuachana mpaka kifo, weee!! 😂 hivi kuna mtu anaeijua kesho ?, halafu hata hizi ndoa mwanamke anaweza ingia tamaa muachane kisa tu apate mgao wake wa mali, n.k.
Hapana kwakweli, na enjoy sana haya maisha, hayo mambo ya ndoa kwangu labda mbele sana huko.
Huyo ni mke wa ndo kwa mujibu wa shetia za nchi sema tu huna cheti cha ndoaKwangu naweza kusema ni kama mke maana kwetu wanamjua ma kwao wananijua, ila kuhusu ndoa hapo huwa nalikwepa sana hili jambo, huwa naona vile ndugu, jamaa ma marafiki baadhi yao wanavyoteseka.
Kwa sasa tuna watoto wawili moja ana miaka 9 mwengine mitano, tunaishi vizuri tu, tunaheshimiana bila tatizo, kisheria kwa kuwa nimeishi nae kwa zaidi ya miaka miwili tayari ana haki zote kama mke halali ila mke wangu haya mambo hayajui bado.
Nadhani kuhusu swala la ndoa labda iwe huko 2025 ntafanya tu ile kusherekea kwamba tumeishi wote kwa mda zaidi ya miaka 15.
Tunaoendana sana na sitaki hali hii ibadilike kisa tu tumeingia kwenye mkataba wa kuachana mpaka kifo, weee!! [emoji23] hivi kuna mtu anaeijua kesho ?, halafu hata hizi ndoa mwanamke anaweza ingia tamaa muachane kisa tu apate mgao wake wa mali, n.k.
Hapana kwakweli, na enjoy sana haya maisha, hayo mambo ya ndoa kwangu labda mbele sana huko.
Kwani unajua ukifa nini kinafuata ?Siku ukifa ghafla ndio utajua haujui .Kwanza hugo dhambi ya uzinzi inazidi kukolea
Ndiyo.Eidha uende Mbinguni au Jehanam.Na kuishi maisha ya dhambi ya uzinzi kwa kipindi chote ulichoishi ni dhahiri kwamba ukifa Jehanam inakuhusu.Kwani unajua ukifa nini kinafuata ?
Ulishawahi kufa hadi ukajua yote hayo ?Ndiyo.Eidha uende Mbinguni au Jehanam.Na kuishi maisha ya dhambi ya uzinzi kwa kipindi chote ulichoishi ni dhahiri kwamba ukifa Jehanam inakuhusu.
Huwa wanaona sisi Ni wakutangulia TU[emoji3525]Wanawake hua mnafurahisha sana na ni viumbe vyenye umimi (selfish) kwa kiwango cha juu mno.
Hivi nani hua anawadanganya kwamba ni lazima mwanaume atakufa awaache?
Yaani jitu kabsa linaanza kuwaza ukifa atarithi nini badala ya kupambana mtafute mali zaidi na zaidi.
Kwann unawaza mwanaume ndo atatangulia kufa, kwani kifo kina formula[emoji848]Siku ukifa ghafla ndio utajua haujui .Kwanza hiyo dhambi ya uzinzi inazidi kukolea
Hakuna ndoa wanaishi maisha ya uzinzi.Maisha ya dhambi.Siku yeyote akifa hakika watahukumiwa kwa uzinzi.Kwann unawaza mwanaume ndo atatangulia kufa, kwani kifo kina formula[emoji848]
Mwanamke akifariki kwanza hakunaga shida kubwa saana, ila akitangulia mwanaume hapo cha-cha ndipo palipo na mtihani ndiyo maana mwanaume huambiwa aweke mambo sawa, kuna mbaba mmoja mwanaye alikuwa mgonjwa badala yakufuatilia afya ya mwanaye yeye anaulizia mali alizonazo anataka kuzijua, ila Mungu ni mwema kijana kapona kabisa, naona Mungu alitaka kumuonyesha jinsi mzazi wake alivyo!Wanawake hua mnafurahisha sana na ni viumbe vyenye umimi (selfish) kwa kiwango cha juu mno.
Hivi nani hua anawadanganya kwamba ni lazima mwanaume atakufa awaache?
Yaani jitu kabsa linaanza kuwaza ukifa atarithi nini badala ya kupambana mtafute mali zaidi na zaidi.
Kasome vizuri alifanyiwa sherehe nakukabidhiwa mbuzi kwenye gunia maana alichezewa faulo.Kama umelipa mahari haina shida hamna sehemu niliona kwenye biblia mtu akifungiwa ndoa na mchungaji ama padri,nakubuka yakobo alijichukulia mkewe kwa malipo ya kuchunga sikuona mahali akifungishwa ndoa,
Kama mtu unawasiwasi naye unaishi naye wa nini!Sijaelewa, mara tumeishi muda mrefu na kwa kujibu wa sheria mkiishi miaka miwili na zaidi tayari nyie ni mke na mume,mara sijui kuna wanawake mkishafunga ndoa baadaye wanataka muachane ili mgawane mali! Je sasa hiyo ndoa uliyesema mnatambulika nyie tayari wanandoa mkiachana hamgawani mali?