Ninaishi na mke ambae hatujaoana ila tuna watoto na tunaishi vizuri. Ndoa ni sheria ya kijinga inayoweza kunivuruga

Kwangu naweza kusema ni kama mke maana kwetu wanamjua ma kwao wananijua, ila kuhusu ndoa hapo huwa nalikwepa sana hili jambo, huwa naona vile ndugu, jamaa ma marafiki baadhi yao wanavyoteseka.

Kwa sasa tuna watoto wawili moja ana miaka 9 mwengine mitano, tunaishi vizuri tu, tunaheshimiana bila tatizo, kisheria kwa kuwa nimeishi nae kwa zaidi ya miaka miwili tayari ana haki zote kama mke halali.

Nadhani kuhusu swala la ndoa labda iwe huko 2025 ntafanya tu ile kusherekea kwamba tumeishi wote kwa mda zaidi ya miaka 15.

Tunaoendana sana na sitaki hali hii ibadilike kisa tu tumeingia kwenye mkataba wa kuachana mpaka kifo, weee!! 😂 hivi kuna mtu anaeijua kesho ?, halafu hata hizi ndoa mwanamke anaweza ingia tamaa muachane kisa tu apate mgao wake wa mali, n.k.

Hapana kwakweli, na enjoy sana haya maisha, hayo mambo ya ndoa kwangu labda mbele sana huko.
Nadhani kiserikali kwa muda ulioishi naye ni kama umeshamuoa kwa hiyo akiwa na tamaa za Mali anaweza kwenda mahakamani na akadai mgao wake bila shida yoyote
 
Ndoa yani labda kwa zamani vile mwanamke aliijua nafasi yake na majukumu yake.

kwa kizazi hiki hizi ndoa zimejaa visa vingi sana, kama mnaishi vizuri wala msiwe na haraka.

Majirani zetu, ndugu zetu, marafiki, n.k wanajua sisi ni mke na mume, hii inatosha

Utakuja kuwakosesha haki zao za urithi bure hao watoto, mmoja wenu akitangulia.
 
We jamaa ni mbinafsi sana kama una hofu hiyo hukupaswa kuishi na huyo mwanamke.

Vipi ikitokea ukatangulia kudedi, si mkeo hatapata kitu zaidi zaidi ndgu zao ndo watachukua kila kitu na kumwacha mkeo atangetange na wanao.
Kama ni kukuua ili achukue mali anaweza hata sasa mkiwa hamna ndoa ni vile tu kakupenda ila wewe ulivyo mbinafsi unahisi ukimuoa atakuwahisha.

Kwa hilo umezingua sana.
 
Una tabia za kikafiri sana wewe ndo ulileta uzi wa kuwaponda wazanzibar nilijua kama una tabia za kishenzi
 
Kama umelipa mahari haina shida hamna sehemu niliona kwenye biblia mtu akifungiwa ndoa na mchungaji ama padri,nakubuka yakobo alijichukulia mkewe kwa malipo ya kuchunga sikuona mahali akifungishwa ndoa,
 
Ndoa ni taasisi nyeti.

Ila mkeo ni vile hakuambii tu lakini anajua yeye ni kimada na inabidi afaiti kuimarisha kwao vile siku yoyote utaoa umpendaye.

Sema tu na mali huna ila ungekuwa na mali ukifa leo huyo mwanamke hataambulia hata kijiko labda wamuonee huruma tu.
Si wafunge ya serikali kama hawaitaji usumbufu
 
Kwangu naweza kusema ni kama mke maana kwetu wanamjua ma kwao wananijua, ila kuhusu ndoa hapo huwa nalikwepa sana hili jambo, huwa naona vile ndugu, jamaa ma marafiki baadhi yao wanavyoteseka.

Kwa sasa tuna watoto wawili moja ana miaka 9 mwengine mitano, tunaishi vizuri tu, tunaheshimiana bila tatizo, kisheria kwa kuwa nimeishi nae kwa zaidi ya miaka miwili tayari ana haki zote kama mke halali ila mke wangu haya mambo hayajui bado.

Nadhani kuhusu swala la ndoa labda iwe huko 2025 ntafanya tu ile kusherekea kwamba tumeishi wote kwa mda zaidi ya miaka 15.

Tunaoendana sana na sitaki hali hii ibadilike kisa tu tumeingia kwenye mkataba wa kuachana mpaka kifo, weee!! 😂 hivi kuna mtu anaeijua kesho ?, halafu hata hizi ndoa mwanamke anaweza ingia tamaa muachane kisa tu apate mgao wake wa mali, n.k.

Hapana kwakweli, na enjoy sana haya maisha, hayo mambo ya ndoa kwangu labda mbele sana huko.
Sijaelewa, mara tumeishi muda mrefu na kwa kujibu wa sheria mkiishi miaka miwili na zaidi tayari nyie ni mke na mume,mara sijui kuna wanawake mkishafunga ndoa baadaye wanataka muachane ili mgawane mali! Je sasa hiyo ndoa uliyesema mnatambulika nyie tayari wanandoa mkiachana hamgawani mali?
 
Kama umelipa mahari haina shida hamna sehemu niliona kwenye biblia mtu akifungiwa ndoa na mchungaji ama padri,nakubuka yakobo alijichukulia mkewe kwa malipo ya kuchunga sikuona mahali akifungishwa ndoa,
Mkuu umeongea point sanaa...

Sijaona mtu humu anazungumzia ndoa ya kiserikali,,,pia wengi wamekomaa na urithi, urithi as if cheti cha ndoa faida yake pekee ni pale ukifa...ila ukiwa hai hakina maana.. (Hii inaonyesha ni jinsi gani Cheti hakina faida wakati mkiwa mnaishi).

Ninachojua mm asilimia kubwa ya makabila yetu,, Ukishamaliza taratibu za kitamaduni(Mahari),, tayari unakuwa umeoa... na lolote litakalotokea mbele ya safari litakuwa treated kama watu walio kwenye ndoa...
 
Dini gani wewe inayoruhusu kufanya ngono isiyo halali!?!?
 
Kila binadamu afanye mambo yao, ahsante kwa taarifa...
 
Endelea kunikataa sijui nani atakuoa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].

Sina chuki yoyote na wanawake ila THE TRUTH HAS TO BE TOLD ,nyie mna umimi sana.

Nadhani hii ni dhambi ya asili na ilianzia pale Edeni.

Mfano; ni kawaida wanaume tukienda labda kula na tupo watatu au 4 mmoja akalipia bill yote.
Ila ikiwa ni nyie wadada kila mtu atalipa kivyake.

Ni kawaida sana labda unapita filling station na rafiki baada ya kujaza mafuta akalipia yeye au hata akaongezea kiasi flani.

Ila kwa wadada sio rahisi shosti kapewa trip mfike filling station afungue mkoba wake kuchangia angalau lita kazaa za mafuta.

Anyway ndoa ni jambo la watu wawili kwa kadri wao watavyoamua liwe regardless limepita kanisani au halikupita.
una chuki sana na wanawake hiyo sumu ikutoke kabla sijaikemea ndo maana nilikukataa[emoji1],, hujaisoma sentensi yangu vizur umekimbilia kuiquot

ngoja nijufafanulie nilivosema

ni hivi mkeo akifa hutoruhusiwa kuingia hata kikao cha mirathi, kuichukua hata maiti ukaizike unakotaka, na kama alikuwa na mali pembeni hamtohusika ata hao watoto wenu zaidi atarithi dada au mdogo wa marehem labda tu kama marehem aliweka majina ya watoto hapo itatambulika napo ni kwa nadra.

sijui umenielewa.
 
Uzuri hata kwenye vitabu vikuu vya dini hakuna sehemu hata moja inayofundisha namna ya kufungisha ndoa
Mafundisho yapo kwenye supportive books tu ambavyo wajanja walivitunga.
Niliwahi kuuliza swali humu likakosa majibu. Nikuulize
Kati ya vijana wawili waliokubaliana kuishi pamoja kama mke na mume na wakaishi pasi na ugomvi, kuchepuka na kuepuka maisha ya visasi na vijana wawili waliofungishwa ndoa kanisani na mchina au na sheikh kisha wakaenda kuishi kwa visasi, usaliti, ugomvi . Je, ipi hapo ndoa halali?
Kufunga ndoa ni kuweka maagano kanisani...serikalini au kimila pia ukisema unaishi na mwnaamke bila ndoa Haina maana ni mkeo maana hata dada ako unaweza ishi nae tu tofauti unazini na huyo mwanamke so kuepusha tafrani ebu Funga ndoa
 
Umewaza kitoto sana.. Umejiangalia wewe na fikra zako, bila faida jumuishi za ndoa.. Huna hata haki ya kufumania. Umewaza uchoyo wa Mali bila pia kuangalia haki za baadae za malezi kwa watoto wako..
NB: Mke anayekuacha leo, alishapanga kukuacha miaka 5 iliyopita akiwa katika hali ya furaha. Usimchukulie powa kuwa hajui chochote
 
Kwangu naweza kusema ni kama mke maana kwetu wanamjua ma kwao wananijua, ila kuhusu ndoa hapo huwa nalikwepa sana hili jambo, huwa naona vile ndugu, jamaa ma marafiki baadhi yao wanavyoteseka.

Kwa sasa tuna watoto wawili moja ana miaka 9 mwengine mitano, tunaishi vizuri tu, tunaheshimiana bila tatizo, kisheria kwa kuwa nimeishi nae kwa zaidi ya miaka miwili tayari ana haki zote kama mke halali ila mke wangu haya mambo hayajui bado.

Nadhani kuhusu swala la ndoa labda iwe huko 2025 ntafanya tu ile kusherekea kwamba tumeishi wote kwa mda zaidi ya miaka 15.

Tunaoendana sana na sitaki hali hii ibadilike kisa tu tumeingia kwenye mkataba wa kuachana mpaka kifo, weee!! 😂 hivi kuna mtu anaeijua kesho ?, halafu hata hizi ndoa mwanamke anaweza ingia tamaa muachane kisa tu apate mgao wake wa mali, n.k.

Hapana kwakweli, na enjoy sana haya maisha, hayo mambo ya ndoa kwangu labda mbele sana huko.
Labda kama unaongelea kitu kingine lakini kama kweli unazungumzia ndoa naomba nikwambie tayari UPO NDANI YA NDOA!!! HIYO NI NDOA!! Inawezekana unazungumzia harusi au kitu kingine! LAKINI JINSI ULIVYOJIELEZA, UMO NDANI YA NDOA!! HIYO NDOA, haijalishi mmeifunga kanisani, msikini, kimila, porini, mkiwa wawili au mbele ya umati mkubwa!! Haijalishi!
 
Kwangu naweza kusema ni kama mke maana kwetu wanamjua ma kwao wananijua, ila kuhusu ndoa hapo huwa nalikwepa sana hili jambo, huwa naona vile ndugu, jamaa ma marafiki baadhi yao wanavyoteseka.

Kwa sasa tuna watoto wawili moja ana miaka 9 mwengine mitano, tunaishi vizuri tu, tunaheshimiana bila tatizo, kisheria kwa kuwa nimeishi nae kwa zaidi ya miaka miwili tayari ana haki zote kama mke halali ila mke wangu haya mambo hayajui bado.

Nadhani kuhusu swala la ndoa labda iwe huko 2025 ntafanya tu ile kusherekea kwamba tumeishi wote kwa mda zaidi ya miaka 15.

Tunaoendana sana na sitaki hali hii ibadilike kisa tu tumeingia kwenye mkataba wa kuachana mpaka kifo, weee!! 😂 hivi kuna mtu anaeijua kesho ?, halafu hata hizi ndoa mwanamke anaweza ingia tamaa muachane kisa tu apate mgao wake wa mali, n.k.

Hapana kwakweli, na enjoy sana haya maisha, hayo mambo ya ndoa kwangu labda mbele sana huko.
Hiyo ni ndoa ila bado harusi
 
Back
Top Bottom