anajijua kbs kwa mzee hana kitu zaidi ya kukamuliwa uchibwashee pamoja na kuishi miaka hiyoo itakuwa wewe una kawoga nafsini mwakooo, wewe unafurahia lakini kuna kitu mwenzio hasemii
anyway kila mtu na chaguzi ya maisha yake
kasota nae miaka 40 ya maisha yao siku ya mirathi mali zinachukuliwa na mdogo wa marehem[emoji1][emoji1][emoji1] na maiti juu akazike machozi yake,,
una chuki sana na wanawake hiyo sumu ikutoke kabla sijaikemea ndo maana nilikukataa😄,, hujaisoma sentensi yangu vizur umekimbilia kuiquotWanawake hua mnafurahisha sana na ni viumbe vyenye umimi (selfish) kwa kiwango cha juu mno.
Hivi nani hua anawadanganya kwamba ni lazima mwanaume atakufa awaache?
Yaani jitu kabsa linaanza kuwaza ukifa atarithi nini badala ya kupambana mtafute mali zaidi na zaidi.

Unaishi duniani huishi mbinguni ndugu yangu .. Huku duniani ni nyaraka kwenye kila kitu... Makaratasi yaliyoandikwa maneno fulani halafu yakagongwa mihuri.. Jitahidi uyapate kuna mahali yatakusaidia sanaKwangu naweza kusema ni kama mke maana kwetu wanamjua ma kwao wananijua, ila kuhusu ndoa hapo huwa nalikwepa sana hili jambo, huwa naona vile ndugu, jamaa ma marafiki baadhi yao wanavyoteseka.
Kwa sasa tuna watoto wawili moja ana miaka 9 mwengine mitano, tunaishi vizuri tu, tunaheshimiana bila tatizo, hatuna mambo ya kuchekeana mbele za watu kwa kulaimisha [emoji23]
Nadhani kuhusu swala la ndoa labda iwe huko 2025 ntafanya tu ile kusherekea kwamba tumeishi wote kwa mda zaidi ya miaka 15.
Tunaoendana sana na sitaki hali hii ibadilike kisa tu tumeingia kwenye mkataba wa kuachana mpaka kifo, weee!! [emoji23] hivi kuna mtu anaeijua kesho ?, halafu hata hizi ndoa mwanamke anaweza ingia tamaa muachane kisa tu apate mgao wake wa mali, n.k.
Hapana kwakweli, na enjoy sana haya maisha, hayo mambo ya ndoa kwangu labda mbele sana huko.
Hiki ndio kitu cha kindezi sipendi sikia, kwan mababu zetu waliishije?kuna baraka fulani za ndoa unazikosa mkuu trust me.
Hiyo iliyofungishwa na sheikh.Uzuri hata kwenye vitabu vikuu vya dini hakuna sehemu hata moja inayofundisha namna ya kufungisha ndoa
Mafundisho yapo kwenye supportive books tu ambavyo wajanja walivitunga.
Niliwahi kuuliza swali humu likakosa majibu. Nikuulize
Kati ya vijana wawili waliokubaliana kuishi pamoja kama mke na mume na wakaishi pasi na ugomvi, kuchepuka na kuepuka maisha ya visasi na vijana wawili waliofungishwa ndoa kanisani na mchina au na sheikh kisha wakaenda kuishi kwa visasi, usaliti, ugomvi . Je, ipi hapo ndoa halali?
WeeeeeHiyo iliyofungishwa na sheikh.
Hata kama ikiwa hivyo.Weeeee
Hata kama wanandoa wanegeuka kuwa wana masumbwi?
Kama unasema anahaki zote kama mke halali.Kwangu naweza kusema ni kama mke maana kwetu wanamjua ma kwao wananijua, ila kuhusu ndoa hapo huwa nalikwepa sana hili jambo, huwa naona vile ndugu, jamaa ma marafiki baadhi yao wanavyoteseka.
Kwa sasa tuna watoto wawili moja ana miaka 9 mwengine mitano, tunaishi vizuri tu, tunaheshimiana bila tatizo, kisheria kwa kuwa nimeishi nae kwa zaidi ya miaka miwili tayari ana haki zote kama mke halali.
Nadhani kuhusu swala la ndoa labda iwe huko 2025 ntafanya tu ile kusherekea kwamba tumeishi wote kwa mda zaidi ya miaka 15.
Tunaoendana sana na sitaki hali hii ibadilike kisa tu tumeingia kwenye mkataba wa kuachana mpaka kifo, weee!! [emoji23] hivi kuna mtu anaeijua kesho ?, halafu hata hizi ndoa mwanamke anaweza ingia tamaa muachane kisa tu apate mgao wake wa mali, n.k.
Hapana kwakweli, na enjoy sana haya maisha, hayo mambo ya ndoa kwangu labda mbele sana huko.
Kama alitoa Mahali na Wazazi wa Binti wakaipokea hapo hakuna shida,hiyo ni Ndoa tayari sema tu haina sherehe!!Wanaaiishi ndoa kiimani mkuu walichokosa ni cheti tu
Hafi mtu.Utaelewa maana ya ndoa siku ya mirathi
Udhaifu wa wanando wengi huwa unaanza kama mchicha na baadae kuwa mbuyuuu (utengano) manake huwezi ficha mambo tenaa huko pembeni kimya kimya ya nini tenaaa (ama unagongewaa)so kwa usalama wa watoto anatengeneza mali pembeni kimyakimya.