Ninajua kila mtu anajua kinachoendelea kule Los Angeles ila sijui ni wangapi wanajua chanzo cha ule moto unaouangamiza mji wa uzuri wa Dunia

Kwa elimu hili ni jambo la kawaida. Wazungu wengi ni WAJINGA, kuanzia katika uandishi wa Historia, kufikia hitimisho ya mambo kadha wa kadha.
Umegundua nini katika hii dunia hadi useme wazungu ni wajinga? wakati kila kitu unachotumia wamekigundua wao?
 
Hili la huu moto ni janga kama mjanga mengine. Ni kama ilivyotokea zamani karne ya 16 London kuungua eneo kubwa na moto mkubwa ambao haujawahi kuonekana.

Kumhusisha Mungu ni kumfanya aonekane katili sana.
Mlima Kilimanjaro pia huwaga unawaka Moto πŸ”₯ lakini hutasikia watu wakisema kwamba ni Mungu

Lakini Moto ukiwaka Marekani mijitu inakimbilia kusema ni Mungu! ni Mungu! ni Mungu!

Kumbe ni chuki zao binafsi tu, dhidi ya taifa la Marekani.
 
Ni Yale Yale watoto wa kiume kujifanya mademu ndio moto umekuja ndio michezo ya mwanetu wa kariakoo na mwenzie πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Kwani mpaka sasahivi moto bado unaendelea?
 
Zab 40:4 Heri aliyemfanya Bwana kuwa tumaini lake wala hakuwaelekea wenye kiburi, wala hao wanaogeukia uongo
 
Hizo ni editing , ishu ya Los Angeles haihusiani na MUNGU , ni kwamba Wana plan ya kujenga Los Angeles mpya ko waliwaambia wahuko waweke bima ya makazi mpya ila waliozingua , ingekuwa ni ishu ya MUNGU bas marekani nzima na Dunia nzima ingekula fire,
Kwa nini sasa wanatumia ghalama kubwa sana kuuzima?
Mpango wa kujenga mji mpya ( rebuild) hawachomi moto na kuharibu miundombinu.

Miji inapojengwa upya sio kila jengo linatakiwa kubomolewa.
 
H
Hii dhana ya kisayansi ndo itafanya wasione uhusika wa Mungu ktk mkasa huo.
 
Mungu hapendi watu WAJINGA na wazembe.
Kwa Imani yako ni yeye ndio aliwatengeneza na kuwaleta kwahio alitegeneza wajinga na wazembe ili aje awalipue ili iweje ?
 
Moto πŸ”₯ ukitokea Afrika Hutasikia watanzania wakihusisha moto huo na Mungu. Wanaamini ni majanga na uzembe wa kibinadamu tu.

Lakini moto πŸ”₯ ukitokea Marekani, Utasikia watanzania wafia dini wakijitokeza kuhusisha moto huo na habari za Mungu.

Chuki binafsi za waafrika watanzania dhidi ya taifa la Marekani ndizo zinapelekea watu kufanya logical fallacy ya non-sequitur.

Mtu hajui chanzo halisi cha moto wa Los Angeles ni nini, Anakimbilia kusema ni Mungu.

Kwamba huyo Mungu ndio kawasha huo moto?
 
Atheist kazini 😎 😎
 
I once told you, God exists only in your head.

That's why until now you're struggling to defend him.

You are living in a physical world 🌍 but you are claiming life is spiritual...!!

Dude, You need to restore your brain to factory settings.
We jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…