Kweli kabisa, Kuna muda nikikaa peke yangu na kutathimini hizi akili za watanzania wenzangu nachoka kabisa naona tuna safari ndefu Sana kwani ujinga bado tunao kwa kiwango kikubwa mno.Mtu anazusha uongo halafu anatafuta kundi la watu wamsapoti.
Na kwa vile waafrika wengi hasa watanzania wamejaa mihemko ya kiimani na kidini wanasapoti blindly.
Blind acceptance is the enemy of truth.
Basi, Allah ni dhaifu sanaUtaratibu wa Allah inapkuja adhabu haichagui anaye husika na asie husika, wote mnaingia. Sababu kila mmoja anapata stahiki yake.
In a world of fake news and propaganda, Critical thinking is more crucial and very important.Kweli kabisa, Kuna muda nikikaa peke yangu na kutathimini hizi akili za watanzania wenzangu nachoka kabisa naona tuna safari ndefu Sana kwani ujinga bado tunao kwa kiwango kikubwa mno.
Kwani wakati anachoma Sodoma na Gomora, ilikuwaje? Kuna maovu ambayo huwa hayavumiliki mbele za Mungu ikiwa ni pamoja na kufuru pamoja na mambo ya ushoga.Mshana, Mungu unayemzungumzia hapa ndio huyu huyu, Mungu Baba, Mwana na Roho Mtakatifu? Ndio huyu huyu anayetufundisha samehe mara saba sabini? Ndio huyu huyu ambaye Injili inatufudisha Mungu ni Upendo? Yani wajinga fulani wapige kura halafu Mwenyezi Mungu akasirike alete moto? Ni Mungu huyu huyu aliyemtoa mwanae wa pekee afe msalabani ili wenye dhambi waokolewe na wauone uzima wa Milele?! Usije ukawa unamzungumizie shetani?!? Mungu Mwenye enzi ninayemjua mimi hawezi kuhangaika kumkomoa mwanaadamu aliyedhaifu, kwa kumchomea nyumba ili kuonyesha Ukuu wake.
Hata hii timu ya Yanga imetolewa kwenye CAF CL kwa sababu kuna mashariki wa Yanga walisema eti Yanga haiwezi kufungwa na timu yoyote hata ikija timu ya malaika wa mbinguni wataifunga.Ilikuwa hivi:
Kulikuwa na event ya super stars🌟 ktk mji wa Los Angeles,
Wakiwa katikati ya sherehe wakaanzisha mchezo wa kupiga kura kwa watu wenye thamani ktk jamii yao,
Majina yaliyoorodheshwa ni 1.Cast&Crew(wacheza filamu wa Hollywood na washiriki)
2.thamani ya mama ,
3.Lopez
4.MUNGU.
Ktk matokeo ya uchaguzi wao matokeo yalikuwa hivi:
Cast&Crew= kura 11
Thamani ya mama=Kura 3
Lopez =Kura 1
MUNGU=walimpa kura 0,
Msimamizi wa uchaguzi akasema matokeo hayo hayashangazi kwani mji wao ni Godless town,
Walipotoka nje wakatengeneza bango kubwa lenye maandishi "God get out in this city"
kesho yake ndo mji ukaanza kulipuka,
Ukumbuke msitu wa Amazon ulioko Brazil ambao ndio msitu mkubwa zaidi duniani ulipoungua miaka 4 iliyopita ni Marekani ndiyo iliyosaidia kuuzima lkn huu wa kwao umewashinda.
Marekani ndiye baba wa technology ulimwenguni,ukizungumza Helocopter,ndege,kemikali na kila sayansi unaizungumzia Marekani
Sasa hivi wanafyeka mahekta ya misitu kwa kuyang'oa na kuchimba kimo kirefu kwenda chini ili moto ukifika usivuke mbele lakini kinachotokea ni kwamba kila wakichimba moto ukifika kwenye mtaro waliouwekea mpaka inatokea cheche moja inapaa angani inavuka mpaka inashukia ghorofa linaambukiza miti na ghorofa nyingine mji unaangamia
Mamia ya ndege na helcopter za zimamoto ziko angani Calfornia zikimwaga kemikali za kuzima moto lkn moto umegoma kuzimika, hakuna matumaini, majumba ya wasanii mabilionea wa Holly Wood yanaangamia
Holly Wood ndiko kuna makazi ya thamani kuliko miji yote ulimwenguni, kidunia Hollywood inatambuliwa kama makao makuu ya uzur wa dunia lkn saa hii panaelekea kuwa jangwa gumu, wafuatiliaji wa sinema za Hollywood mlioko humu jiji lenu/mazingira yenu pendwa ya Hollywood linaangamia,
Ule moto hautozimwa na technology,
Utazimwa na Toba ya makuhani,
Nimeyasema haya ili kutoa tahadhari tujiweke mbali na vikundi vyenye mizaha juu ya MUNGU MKUU, ukiona kiashiria chochote cha mzaha kwa BWANA kemea kwa nguvu, wasipokuelewa kata connection na hicho kikundi hata kama kina maslahi makubwa kiasi gani,
BWANA MUNGU hadhihakiwi!View attachment 3205068
Hawataweza kuuzima mpaka watakapoomba kitubio
Hahaha upi huoAcha umbea 🕷️🕷️🕷️😁😁😁
InaitwajeKuna movie ilitoka mwaka jana ikiwa na kisa cha US kushika moto ulioshindikana kuzimwa na ukaleta madhara sana mpaka viumbe vya ajabu vikawa vinatoka misituni kuja katika makazi,ziko mbili hv kama sijakosea
Iwe kweli au si kweli kuhusu chanzo cha moto. Nakubaliana na wewe, Mungu hadhihakiwi wala hafananishwiIlikuwa hivi:
Kulikuwa na event ya super stars🌟 ktk mji wa Los Angeles,
Wakiwa katikati ya sherehe wakaanzisha mchezo wa kupiga kura kwa watu wenye thamani ktk jamii yao,
Majina yaliyoorodheshwa ni 1.Cast&Crew(wacheza filamu wa Hollywood na washiriki)
2.thamani ya mama ,
3.Lopez
4.MUNGU.
Ktk matokeo ya uchaguzi wao matokeo yalikuwa hivi:
Cast&Crew= kura 11
Thamani ya mama=Kura 3
Lopez =Kura 1
MUNGU=walimpa kura 0,
Msimamizi wa uchaguzi akasema matokeo hayo hayashangazi kwani mji wao ni Godless town,
Walipotoka nje wakatengeneza bango kubwa lenye maandishi "God get out in this city"
kesho yake ndo mji ukaanza kulipuka,
Ukumbuke msitu wa Amazon ulioko Brazil ambao ndio msitu mkubwa zaidi duniani ulipoungua miaka 4 iliyopita ni Marekani ndiyo iliyosaidia kuuzima lkn huu wa kwao umewashinda.
Marekani ndiye baba wa technology ulimwenguni,ukizungumza Helocopter,ndege,kemikali na kila sayansi unaizungumzia Marekani
Sasa hivi wanafyeka mahekta ya misitu kwa kuyang'oa na kuchimba kimo kirefu kwenda chini ili moto ukifika usivuke mbele lakini kinachotokea ni kwamba kila wakichimba moto ukifika kwenye mtaro waliouwekea mpaka inatokea cheche moja inapaa angani inavuka mpaka inashukia ghorofa linaambukiza miti na ghorofa nyingine mji unaangamia
Mamia ya ndege na helcopter za zimamoto ziko angani Calfornia zikimwaga kemikali za kuzima moto lkn moto umegoma kuzimika, hakuna matumaini, majumba ya wasanii mabilionea wa Holly Wood yanaangamia
Holly Wood ndiko kuna makazi ya thamani kuliko miji yote ulimwenguni, kidunia Hollywood inatambuliwa kama makao makuu ya uzur wa dunia lkn saa hii panaelekea kuwa jangwa gumu, wafuatiliaji wa sinema za Hollywood mlioko humu jiji lenu/mazingira yenu pendwa ya Hollywood linaangamia,
Ule moto hautozimwa na technology,
Utazimwa na Toba ya makuhani,
Nimeyasema haya ili kutoa tahadhari tujiweke mbali na vikundi vyenye mizaha juu ya MUNGU MKUU, ukiona kiashiria chochote cha mzaha kwa BWANA kemea kwa nguvu, wasipokuelewa kata connection na hicho kikundi hata kama kina maslahi makubwa kiasi gani,
BWANA MUNGU hadhihakiwi!View attachment 3205068
Badala akachome pentagone au White house au awachome hao wasanii waliomdhihaki anaenda kuunguza nyumba za wasiojua nini kinaendelea ! Watu wadini bado mnatupanga sanaKosa lifanywe na kikundi kidogo cha watu alafu Mungu achome nyumba nyingi na za watu wasiohusika kwa nini asiwaadhibu waliomudhihaki?
Au iungue pentagone au makao makuu ya FBIBiden akiungua ndio nitaamini ni mtoto kutoka juu
Usijali kabisa kwa hilo kwakuwa ukweli na uhalisia wa kile ninachoamini unabaki kuwa jambo very personal kwakuwa ni sehemu muhimu sana ya maisha yangu.. Na sihitaji hata maramoja kumshawishi kwa lolote yeyote yule juu ya imani yangu.. I am the master of myself 💪🏿💥👌🏿Tatizo Mshana huaminiki tena maana post(comments) zako muda mwingine zinaonesha wewe ni atheist. Kiukweli mimi binafsi sikuamini tena kivile kama zamani.
Mimi ni Bwana Mungu wako ni Mungu mwenyrme wivu.. Nawapatiliza wana maovu ya baba zao.. Wa kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukizao ...Mshana, Mungu unayemzungumzia hapa ndio huyu huyu, Mungu Baba, Mwana na Roho Mtakatifu? Ndio huyu huyu anayetufundisha samehe mara saba sabini? Ndio huyu huyu ambaye Injili inatufudisha Mungu ni Upendo? Yani wajinga fulani wapige kura halafu Mwenyezi Mungu akasirike alete moto? Ni Mungu huyu huyu aliyemtoa mwanae wa pekee afe msalabani ili wenye dhambi waokolewe na wauone uzima wa Milele?! Usije ukawa unamzungumizie shetani?!? Mungu Mwenye enzi ninayemjua mimi hawezi kuhangaika kumkomoa mwanaadamu aliyedhaifu, kwa kumchomea nyumba ili kuonyesha Ukuu wake.