Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Tuko hapa kujenga hoja.Atheist kazini 😎 😎
Hatupo kazini, Tupo Jamii forums.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuko hapa kujenga hoja.Atheist kazini 😎 😎
Hata isingekuwa mungu God Bado kuna nguvu asili imeamua jambo lile.
Mkuu ww ni wa kitambo kidogo kuna kitu weka wazi kumhusu naUongoo bhana
Mimi najua ila nitaiita asili,kwani lazima niseme kama mkiristo au niige.Nguvu asili ndio Mungu mwenyewe sasa
Huyo jamaa anakuwaga na vifact vyake vya uongoo uongoo 😅 😅 😅 😅Mkuu ww ni wa kitambo kidogo kuna kitu weka wazi kumhusu na
Me am sound stupid and fucked up I am crying like a little girl
Acha umbea 🕷️🕷️🕷️😁😁😁Huyo jamaa anakuwaga na vifact vyake vya uongoo uongoo 😅 😅 😅 😅
I need to restore my brain to factory settings. Because I'm confused halfwit bastard.
Kweli mimwenyewe nilishangaa hiyo video unakaa ghafla unaona mnazi unaunguaHa ha ha..... Tutasikia stories nyingi sana za kubumba. Cheche inapaaa......inarukia jengo jingine....🤣🤣🤣🤣🤣 JF INA WATU UKIKAA HUMU UNACHEKA TU
Kuna movie ilitoka mwaka jana ikiwa na kisa cha US kushika moto ulioshindikana kuzimwa na ukaleta madhara sana mpaka viumbe vya ajabu vikawa vinatoka misituni kuja katika makazi,ziko mbili hv kama sijakoseaHili janga lazima watalitengenezea 'movie' siku zijazo.
Embu tueleze lisilo la kufikirika juu ya moto huoMambo ya kufikirika
Unaitwa malikia waMji wenyewe unaitwa lost angles!!!!
Walipanga kukufuru tu ili kumfurahisha baba yao shetani aliyewapa utajili na umaarufu,,chakushangaza shetani naye kawakimbia ujue shetani muongo Sana kipindi Niko mtoto unasikia kabisa iba mboga bhana hakuna anayekuona Sasa ibao uone Sasa unafumwa unakula mkongoto lenyewe lisha sepa,, shetani yupo jamaniIla nlijiuliza, matatizo mengine ni ya kujitaftia, Mungu alikuwa anahusika nini kwenye tuzo za Golden globes mpaka atajwe? Tena yule binti alitaja kabisa God, creator of the universe, kusisitiza kua hakumaanisha miungu mingine, bali muumbaji Mwananchi B
Mtu anazusha uongo halafu anatafuta kundi la watu wamsapoti.Hili la kumpigia Kura si kweli. Ni kwamba kwa wale wote walioshinda tunzo katika tamasha hilo hakuna aliyemshukuru Mungu, hivyo basi mtangazaji akashangaa na kusema katika washindi wote hakuna hata mmoja aliyemshukuru Mungu kwa ushindi wake. Akaendelea kwa kusema inaonekana huu mji si wa watu wa Mungu. Hivyo bwana mshana uache mara moja kupotosha watu na kusambaza taarifa za uongo ili kufanikisha azima yako.
Mshana, Mungu unayemzungumzia hapa ndio huyu huyu, Mungu Baba, Mwana na Roho Mtakatifu? Ndio huyu huyu anayetufundisha samehe mara saba sabini? Ndio huyu huyu ambaye Injili inatufudisha Mungu ni Upendo? Yani wajinga fulani wapige kura halafu Mwenyezi Mungu akasirike alete moto? Ni Mungu huyu huyu aliyemtoa mwanae wa pekee afe msalabani ili wenye dhambi waokolewe na wauone uzima wa Milele?! Usije ukawa unamzungumizie shetani?!? Mungu Mwenye enzi ninayemjua mimi hawezi kuhangaika kumkomoa mwanaadamu aliyedhaifu, kwa kumchomea nyumba ili kuonyesha Ukuu wake.Ilikuwa hivi:
Kulikuwa na event ya super stars🌟 ktk mji wa Los Angeles,
Wakiwa katikati ya sherehe wakaanzisha mchezo wa kupiga kura kwa watu wenye thamani ktk jamii yao,
Majina yaliyoorodheshwa ni 1.Cast&Crew(wacheza filamu wa Hollywood na washiriki)
2.thamani ya mama ,
3.Lopez
4.MUNGU.
Ktk matokeo ya uchaguzi wao matokeo yalikuwa hivi:
Cast&Crew= kura 11
Thamani ya mama=Kura 3
Lopez =Kura 1
MUNGU=walimpa kura 0,
Msimamizi wa uchaguzi akasema matokeo hayo hayashangazi kwani mji wao ni Godless town,
Walipotoka nje wakatengeneza bango kubwa lenye maandishi "God get out in this city"
kesho yake ndo mji ukaanza kulipuka,
Ukumbuke msitu wa Amazon ulioko Brazil ambao ndio msitu mkubwa zaidi duniani ulipoungua miaka 4 iliyopita ni Marekani ndiyo iliyosaidia kuuzima lkn huu wa kwao umewashinda.
Marekani ndiye baba wa technology ulimwenguni,ukizungumza Helocopter,ndege,kemikali na kila sayansi unaizungumzia Marekani
Sasa hivi wanafyeka mahekta ya misitu kwa kuyang'oa na kuchimba kimo kirefu kwenda chini ili moto ukifika usivuke mbele lakini kinachotokea ni kwamba kila wakichimba moto ukifika kwenye mtaro waliouwekea mpaka inatokea cheche moja inapaa angani inavuka mpaka inashukia ghorofa linaambukiza miti na ghorofa nyingine mji unaangamia
Mamia ya ndege na helcopter za zimamoto ziko angani Calfornia zikimwaga kemikali za kuzima moto lkn moto umegoma kuzimika, hakuna matumaini, majumba ya wasanii mabilionea wa Holly Wood yanaangamia
Holly Wood ndiko kuna makazi ya thamani kuliko miji yote ulimwenguni, kidunia Hollywood inatambuliwa kama makao makuu ya uzur wa dunia lkn saa hii panaelekea kuwa jangwa gumu, wafuatiliaji wa sinema za Hollywood mlioko humu jiji lenu/mazingira yenu pendwa ya Hollywood linaangamia,
Ule moto hautozimwa na technology,
Utazimwa na Toba ya makuhani,
Nimeyasema haya ili kutoa tahadhari tujiweke mbali na vikundi vyenye mizaha juu ya MUNGU MKUU, ukiona kiashiria chochote cha mzaha kwa BWANA kemea kwa nguvu, wasipokuelewa kata connection na hicho kikundi hata kama kina maslahi makubwa kiasi gani,
BWANA MUNGU hadhihakiwi!View attachment 3205068