Ninajuta kwanini nilichelewa kujiunga JamiiForums nimekosa vingi sana

Ninajuta kwanini nilichelewa kujiunga JamiiForums nimekosa vingi sana

YE67NBE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2015
Posts
15,155
Reaction score
36,337
Wakuuu za mida,

Aseee mimi mwanenu katika vitu ninavyojuta maishani mwangu ni kuchelewa kujiunga humu ndani asee.

JF imekuwa zaidi ya kijiwe kwangu.

Namshukuru sana Maxence Melo kwa kutengeneza huu mtandao pendwa.

Yaani kwanzia 2016 nilikuwa namiliki smartphone ila niliishia FB tu 😭😭😭na IG basi humu nimekuja kuisikia 2020 huko kipindi cha Corona.

Nikajiunga kimagumashi 2022 bila mi mwenyewe kutarajia kwa hii miezi 7.

JF imenipa
1. Koneksheni za kutosha
2. Elimu pia ya kutosha
3. Mawazo ya kibiashara

Imenifundisha pia 👇👇👇👇👇
Screenshot_20230510-233754~2.png


Achia mbali baadhi ya majibu iliyonipatia kwenye maswali yangu mbalimbali. Bila kusahau udakuudaku wa hapa na pale. Na kama sehemu ya kuondolea stress.

Ningejiunga 2016 aseee ningekuwa mbali sana 😭😭😭😭😭😭. Anyway ishapita acha nigange yajayo tu 🤤🤤

Tchao 😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬

JF IDUMU MILELE.
 
Back
Top Bottom