Ninajuta kwanini nilichelewa kujiunga JamiiForums nimekosa vingi sana

Ninajuta kwanini nilichelewa kujiunga JamiiForums nimekosa vingi sana

Wakuuu za mida,,,

Aseee mimi mwanenu katika vitu ninavyojuta maishani mwangu ni kuchelewa kujiunga humu ndani asee

Jf imekuwa zaid ya kijiwe kwangu

Namshukuru sana Maxence Melo kwa kutengeneza huu mtandao pendwa

Yaani kwanzia 2016 nilikuwa namiliki smartphone ila niliishia FB tu [emoji24][emoji24][emoji24]na IG basi humu nimekuja kuisikia 2020 huko kipindi cha corona

Nikajiunga kimagumashi 2022 bila mi mwenyewe kutarajia kwa hii miezi 7

Jf imenipa
1.koneksheni za kutosha
2.elimu pia ya kutosha
3.mawazo ya kibiashara

Imenifundisha pia [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2617212

Achia mbali baadhi ya majibu iliyonipatia kwenye maswali yangu mbalimbali


Bila kusahau udakuudaku wa hapa na pale

Na kama sehemu ya kuondolea stress

Ningejiunga 2016 aseee ningekuwa mbali sana [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Anyway ishapita acha nigange yajayo tu [emoji1786][emoji1786][emoji1786][emoji1786][emoji1786][emoji1786][emoji1786][emoji1786].

Tchao [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]


#JF IDUMU MILELE# [emoji43][emoji43][emoji43][emoji43][emoji43][emoji43][emoji43]
[emoji2956][emoji109]
 
[emoji1787][emoji1787]Haya mfuasi wa "YNWA" bachelor for life .....sisi tunaendelea kupambana "nazo"....kumbuka zina tamu na chungu na kwa sisi wengine masela na "wahuni" tulioko ndoani tuliagana na nyonga vyema tu kabla ya kuingia "jela" hiyo kwa kufuata ule usemi wa mababu "USIPOMUWAHI MKE ATAKUWAHI WEWE".......

Nisije nikafunguka sana nikawa "labelled and being tarnished my image" as it is said "NEVER GIVE THE WISDOM TO UNWORTHY BECAUSE IT WOULD BE UNFAIR TO THE KNOWLEDGEABLE" [emoji1787][emoji1787]

Ndimi ALPHA MALE niliye ndoani....

#DoNotDoHarm
 
  • Thanks
Reactions: 511
Na ndio hawa hawa madogo hutukana baba, mama, kaka na dada zao humu kwa vificho vya ID zenye utata[emoji23].

Unakuta mtu anakuporomoshea matusi, dharau na vitisho mpaka unaogopoa kuingia JF kumbe DeepDown ni katoto unakoweza kukazaa ama kukachapa viboko na kukalipia bando la mwaka mzima[emoji23].

Jf bana[emoji23]
 
Shkamoo auntie, za kwako
Marahaba, halafu usijilaumu hiyo 2016 mbona ulikuwa bado sana, ungechanganyikiwa tu na kuchanganya mambo, angalau sahizi ndiyo wakati wake.
 
  • Thanks
Reactions: 511
Marahaba, halafu usijilaumu hiyo 2016 mbona ulikuwa bado sana, ungechanganyikiwa tu na kuchanganya mambo, angalau sahizi ndiyo wakati wake.
Sawasawa shukran auntie
 
Back
Top Bottom