Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Miye niliifahamu mwaka 2011 wakati enzi zile FB imeanza kuboaWakuuu za mida,
Aseee mimi mwanenu katika vitu ninavyojuta maishani mwangu ni kuchelewa kujiunga humu ndani asee.
JF imekuwa zaidi ya kijiwe kwangu.
Namshukuru sana Maxence Melo kwa kutengeneza huu mtandao pendwa.
Yaani kwanzia 2016 nilikuwa namiliki smartphone ila niliishia FB tu ๐ญ๐ญ๐ญna IG basi humu nimekuja kuisikia 2020 huko kipindi cha Corona.
Nikajiunga kimagumashi 2022 bila mi mwenyewe kutarajia kwa hii miezi 7.
JF imenipa
1. Koneksheni za kutosha
2. Elimu pia ya kutosha
3. Mawazo ya kibiashara
Imenifundisha pia ๐๐๐๐๐View attachment 2617212
Achia mbali baadhi ya majibu iliyonipatia kwenye maswali yangu mbalimbali. Bila kusahau udakuudaku wa hapa na pale. Na kama sehemu ya kuondolea stress.
Ningejiunga 2016 aseee ningekuwa mbali sana ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ. Anyway ishapita acha nigange yajayo tu ๐คค๐คค
Tchao ๐ฌ๐ฌ๐ฌ๐ฌ๐ฌ๐ฌ๐ฌ๐ฌ๐ฌ๐ฌ๐ฌ
JF IDUMU MILELE.
Namshukuru Mussa popote alipo Kwa kunisanua juu uwepo wa jf