Ninajuta kwanini nilichelewa kujiunga JamiiForums nimekosa vingi sana

Bado hujachelewa, wapo wengi ambao hawajui uwepo wa JF achilia mbali kuchelewa kujiunga.

Afu Cha ajabu hao watu wataishi wafe bila kutambua uwepo wa huu mtandao wetu pendwa.

May God bless JF a great deal!
 
Haha nimekadiria kama umejiunga 2007 letsay ulikuwa na 25 years saivi zimepita 16 years hivyo ni 25+16 = 41 years bibi [emoji28][emoji51]
Wewe acha kumuita dada yetu bibi.Mbona 41 ni bado mbichi unaweza oa.Mimi mwenyewe nina 60 ila naitwa mzee sio babu na wadada wa 41.Kwa vitoto vya miaka 20 kushuka ndio vinaniita babu ni haki Yao
 
Daah 😅😅 noma sana
 
Bado hujachelewa, wapo wengi ambao hawajui uwepo wa JF achilia mbali kuchelewa kujiunga.

Afu Cha ajabu hao watu wataishi wafe bila kutambua uwepo wa huu mtandao wetu pendwa.

May God bless JF a great deal!
Sawa mkuu
 
Ndiyo maana mimi mtu akilia shida ya kutaka asaidiwe hela huwa simuelewi iwapo muda mwingi yupo online.

Hela ya bundle anapata wapi lakini akose hela ya kula au nauli n.k ?

Nachukulia kuwa ameona kipaombele kwake ni kununua bundle basi na Mimi hela yangu ina vipaombele vyake tofauti na vyake namwambia sina!
Huna hella wewe sio kwa gazeti hili.
 
Usisahau humu kuna baba zako wapo tangu mwaka 2006 feb
 
Mimi naishukuru free basic ndio hiliyonifanya nikaingia kwenye huu ulaibu wa kuipenda jamiiforums mana kipindi hiko cna job nipo nipo pesa ya bando aishikiki ndi nkawa nazama kwenye orodha ya mitandao ambayo hipo free basic kupoteza time kipindi navizia michongo kiukweli imenivusha wakati mgumu sanahaaa🤭
 
Big up
 
Back
Top Bottom