Ninajuta kwanini nilichelewa kujiunga JamiiForums nimekosa vingi sana

[emoji2956][emoji109]
 
[emoji1787][emoji1787]Haya mfuasi wa "YNWA" bachelor for life .....sisi tunaendelea kupambana "nazo"....kumbuka zina tamu na chungu na kwa sisi wengine masela na "wahuni" tulioko ndoani tuliagana na nyonga vyema tu kabla ya kuingia "jela" hiyo kwa kufuata ule usemi wa mababu "USIPOMUWAHI MKE ATAKUWAHI WEWE".......

Nisije nikafunguka sana nikawa "labelled and being tarnished my image" as it is said "NEVER GIVE THE WISDOM TO UNWORTHY BECAUSE IT WOULD BE UNFAIR TO THE KNOWLEDGEABLE" [emoji1787][emoji1787]

Ndimi ALPHA MALE niliye ndoani....

#DoNotDoHarm
 
Reactions: 511
Na ndio hawa hawa madogo hutukana baba, mama, kaka na dada zao humu kwa vificho vya ID zenye utata[emoji23].

Unakuta mtu anakuporomoshea matusi, dharau na vitisho mpaka unaogopoa kuingia JF kumbe DeepDown ni katoto unakoweza kukazaa ama kukachapa viboko na kukalipia bando la mwaka mzima[emoji23].

Jf bana[emoji23]
 
Shkamoo auntie, za kwako
Marahaba, halafu usijilaumu hiyo 2016 mbona ulikuwa bado sana, ungechanganyikiwa tu na kuchanganya mambo, angalau sahizi ndiyo wakati wake.
 
Reactions: 511
Marahaba, halafu usijilaumu hiyo 2016 mbona ulikuwa bado sana, ungechanganyikiwa tu na kuchanganya mambo, angalau sahizi ndiyo wakati wake.
Sawasawa shukran auntie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…