Ninajuta kwanini nilichelewa kujiunga JamiiForums nimekosa vingi sana

Miye niliifahamu mwaka 2011 wakati enzi zile FB imeanza kuboa

Namshukuru Mussa popote alipo Kwa kunisanua juu uwepo wa jf
 
Pole hata hivyo kwa kuchelewa jF ilikua enzi hizoooo serikali haijaamia Dodoma
 
Haha nimekadiria kama umejiunga 2007 letsay ulikuwa na 25 years saivi zimepita 16 years hivyo ni 25+16 = 41 years bibi πŸ˜…πŸ˜¬

Khaaaaa!!!! Nilikuwa 25 duh!!!! Acha kunizeesha 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Sema hawajakwambia wanaume wote humu tuna magari na wote ni ma hechi odiii wa idara mbalimbali

Jf imenipa vyote kasoro mbususus tu
 
Ni kheri nipate milo hata miwili ikiwezekana hata mmoja per day ila siyo kukosa bando la kuingilia humu.



Ndiyo maana mimi mtu akilia shida ya kutaka asaidiwe hela huwa simuelewi iwapo muda mwingi yupo online.

Hela ya bundle anapata wapi lakini akose hela ya kula au nauli n.k ?

Nachukulia kuwa ameona kipaombele kwake ni kununua bundle basi na Mimi hela yangu ina vipaombele vyake tofauti na vyake namwambia sina!
 
Reactions: 511
Kuna jamaa yangu mmoja alikua anajifanya mjuaji sana, kila mada yumo anamwaga points tu. Nikaja kumfuatilia nikagundua madini anayatoa humu Jamii Forums [emoji3]
 
Reactions: 511
Bado hujapata Demu hapa JamiiForums?
 
Acha ushamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…