tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 12,073
- 16,638
Mko poa watu wa Mungu!
Kuna hali flani ya kukinai wanawake mapema kabisa inanitokea nashindwa kuielewa ni nimerogwa au ni kawaida?
Naweza nikatumia gharama kubwa kumfukuzia demu ila nikishampata na nikamgegeda mara moja tu,naloose interest na yeye kabisa.au pia naweza nikaopoa tu wale mademu wa one night stand nikiwa na lengo la kulala nae hadi asubuhi, but nikishampiga bao moja tu hamu nae inaisha natamani hata aondoke usiku huo huo.
Sasa nashindwa kuelewa ni hali ya kawauda,nimerogwa au ndo uzee unapiga hodi?