Uchaguzi 2020 Ninakusudia kuchukua fomu ya kugombea Ubunge Buyungu kupitia CCM

Karibu sana brother. Umebadilika sana. Umekuwa mwelewa na muungwana mno.

Tutakuunga mkono
 
Msikilize polepole
Your browser is not able to display this video.
 
Ukiamua kufanya fanya usi sikie watu Wana Sema nini
. Ni bora kufanya kuliko kujutia kwa kuto kufanya....




Vijana wengi tume kuwa na kasumba ya kukatishana tamaa kataa Hilo kwa nguvu zote.

Kama ume jiona una Tosha ingia uringoni Uta wakuta watu WA kukuunga mkono ukiwa njian

God be with you
 
We si ni ng'ombe alikatwa mkia au ni mwingine? heshima ulikuwa nayo haipo tena baada ya kukubali kununuliwa kama bar-made
 
Mkuu nimeona comments nyingi zimekushambulia sana,pole sana mkuu,ila Mimi katika maisha yangu naamini kuwa mtu pekee anayeweza kunitakia mafanikio ni baba na mama tu,hivyo basi wanaokuvunja moyo wasikuumize kichwa

Kila la kheli mkuu

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Cdm ilikupaisha subiri uone ukiachwa solemba
 
Msaliti wewe na utavuna USALITI wako.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…