Uchaguzi 2020 Ninakusudia kuchukua fomu ya kugombea Ubunge Buyungu kupitia CCM

OK,Kumbe na wewe uliunga mkono juhudi😅 haha,Siasa zimepatwa Awamu hii.
Nadhani Kiongozi unapaswa kujiamini gombea chama chochote ,Si kuhama hama kusaka Ubunge.
Hapo nia inakua ni kusaka Ulaji na si kuwatumikia Wananchi.
 
Nani akupe wewe njaa kali ubunge,huko ccm wewe ni sawa na condom iliyotumika kimboka
 
Kijana usijisumbue, CCM tupo tumejaa labda usubiri 2030! Wakati unatusumbua ukiwa CHADEMA unafikri tulikuwa tunafurahi?
 
Wanaccm tulipokupa ofa ya kuzunguka Tanzania nzima kuangalia mafanikio ya Rais Magufuli ukaingia kingi tulikuwa tunakuchora tu, ulivyojimaliza Ni pale ulipokubari kuvua gwanda, tayari tulishamaliza kazi, huo utendaji kata unakutosha hatuwezi kukupa ubunge. Tena ukizingua hata huo utendaji tunakunyanganya. Hahahahahahahaha
 
Upo kama mdada hakuna point uliyoiandika
 
Vip JPM naye yupo kundi la baba na mama ako?
 
Kwenye hili baba na mama hawahusiki. Tunahusika sisi wapiga kura tunaomtukana
 
Wewe bakia na cheo chako cha Afisa mtendaji maana ufahamu wako uliuwacha cdm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…