Ninampenda ila tabia zake zinanitia hofu

Ninampenda ila tabia zake zinanitia hofu

Habari jamani naombeni ushauri na naenda moja kwa moja kwenye mada, mwaka ulipita nilipata mpenzi ambae ndio nipo nae hadi leo hii, kiukweli huyu binti ni mzuri wa sura mweupe na ana shape nzuri tu na ni mzigua kutoka tanga, huyu binti kiukweli ni balaa anayajua mapenzi haswa yaan ni level nyingine cjawahi kukutana na msichana anayejua mapenzi na mapishi kama huyu binti.....mapenzi yetu sasa hivi ni mwaka yamefika, sikuwahi
Muhimu Punguza stress mkuu, Tuliza Akili,piga kazi otoboe. Biriani imezua mazito usiyo yajua Kabla muhimu,umuache Pambana tafuta pesa.

Demu wako anaitaji pesa kuliko wewe ndomana mamfata babu yake alinae pesa...epuka fezea tafuta pesa au Kama kweli utavumilia ya jayo kutoka kwake Komaa tu.
 
Habari jamani naombeni ushauri na naenda moja kwa moja kwenye mada, mwaka ulipita nilipata mpenzi ambae ndio nipo nae hadi leo hii, kiukweli huyu binti ni mzuri wa sura mweupe na ana shape nzuri tu na ni mzigua kutoka tanga, huyu binti kiukweli ni balaa anayajua mapenzi haswa yaan ni level nyingine cjawahi kukutana na
Pole sana mdau

Ila hujaeleza je huyo ni mke wa ndoa au mnaishi tu na kwa tabia hizo wadau watakuwa wanajilia tunda kimasihara inabidi uwe na moyo mkuu kukaa naye pia inaonekana umekamatwa maana umeanza na kumsifia mara fundi,mzuri na white inaonekana kakuweza huna ujanja kama una ubavu mpige chini kama vipi mvumilie na abadilike tabia ule vitamu mwenyewe
 
As a man kuna vitu havihitaji hata ushauri.

Halafu mpaka mpenzi wako akuletee hiyo proposal, ina maana anaujua udhaifu wako.

That was supposed to be a straight break-up, for good.
" the more you love, the weaker you are"
Anaishi nao.
Tatizo ni kwamba asilimia kubwa sana ya wanaume siku hizi wanaogopa kufanya maamuzi sahihi.
 
Naheshim Madanga ya Mke wangu[emoji23][emoji23][emoji23]

Ukipata Mzungu nenda naye kwa Mpalange[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]( hapa mwandishi alidhan ukishakua mzungu, basi unahela)

Mwanandishi alionyesha udhaifu wake waziwazi kua ni kilaza wa lasaba na masikin.



JAMAAA WEEE MJINGA.

[emoji117]yaan unajua sikukuu hiyo unamwahidi mwanamke, alafu inafika unasema huna kitu??

Kwann umechukua jukum la kuishi na mwanamke kama mume na mke,ili hal unajua mwanamk mwenyew nitegemezi wako nabado Hauna kitu ???

[emoji117]Kwann ukaamua kuwatafuta wanaomtomba kwa kuwapepeleza ili hali ukweli uko wazi???
Kwann usingedili na Mwanamke???

[emoji117]Et, nampenda nwanamke.... Sema hivi, huyo demu anakupa Kumayake bure ,malipo yake nikulala kwako na kula kwako, sasa unawaza akisepa utapata wapikuma????.


[emoji117]Mimi naona.....KULA NAYE TU DEAL MWANANGU, AKULEEE HELAA


ila huyo Mzeee anameza ARVs ,nahapo kamuomba Mkunduwake ndio maana dau limepanda.

Akishakula Mkunduu ,pesa haitapatikana, kitakachopatikana ni ARVs.
 
Ukiwa huna hela mpge pumbu, ukiwa na hela mpige pumbu. inshort fanya mambo yako yote kwa kujiamini. Akiwa kwenye himaya yako, usiende naye kidemokrasia hata sumni, yaan maamuzi yako ndiyo yafuatwe.
Mwanamke hataki demokrasia.....ukimpa huo usengee, ..basi maji utaita Mma


Ila Jamaa wetu hapa, anafel sanaaaa.


Huyo dem hafanyi kazi, na ameamua kuishi najamaaa..

Jamaa sasa nijukum lake kumtunza.
 
Back
Top Bottom