Ninampenda ila tabia zake zinanitia hofu

Ninampenda ila tabia zake zinanitia hofu

Muhimu Punguza stress mkuu, Tuliza Akili,piga kazi otoboe. Biriani imezua mazito usiyo yajua Kabla muhimu,umuache Pambana tafuta pesa.

Demu wako anaitaji pesa kuliko wewe ndomana mamfata babu yake alinae pesa...epuka fezea tafuta pesa au Kama kweli utavumilia ya jayo kutoka kwake Komaa tu.

asante kwa ushauri kaka
 
Naheshim Madanga ya Mke wangu[emoji23][emoji23][emoji23]

Ukipata Mzungu nenda naye kwa Mpalange[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]( hapa mwandishi alidhan ukishakua mzungu, basi unahela)

Mwanandishi alionyesha udhaifu wake waziwazi kua ni kilaza wa lasaba na masikin.



JAMAAA WEEE MJINGA.

[emoji117]yaan unajua sikukuu hiyo unamwahidi mwanamke, alafu inafika unasema huna kitu??

Kwann umechukua jukum la kuishi na mwanamke kama mume na mke,ili hal unajua mwanamk mwenyew nitegemezi wako nabado Hauna kitu ???

[emoji117]Kwann ukaamua kuwatafuta wanaomtomba kwa kuwapepeleza ili hali ukweli uko wazi???
Kwann usingedili na Mwanamke???

[emoji117]Et, nampenda nwanamke.... Sema hivi, huyo demu anakupa Kumayake bure ,malipo yake nikulala kwako na kula kwako, sasa unawaza akisepa utapata wapikuma????.


[emoji117]Mimi naona.....KULA NAYE TU DEAL MWANANGU, AKULEEE HELAA


ila huyo Mzeee anameza ARVs ,nahapo kamuomba Mkunduwake ndio maana dau limepanda.

Akishakula Mkunduu ,pesa haitapatikana, kitakachopatikana ni ARVs.
alafu huyo manzi kungwi wake ni mama yake mkubwa.
wanawake ni manipulator.
 
Habari jamani naombeni ushauri na naenda moja kwa moja kwenye mada, mwaka ulipita nilipata mpenzi ambae ndio nipo nae hadi leo hii, kiukweli huyu binti ni mzuri wa sura mweupe na ana shape nzuri tu na ni mzigua kutoka tanga, huyu binti kiukweli ni balaa anayajua mapenzi haswa yaan ni level nyingine cjawahi kukutana na msichana anayejua mapenzi na mapishi kama huyu binti.....

Mapenzi yetu sasa hivi ni mwaka yamefika, sikuwahi kuwa na mchezo wa kumchunguza sana, maana kila nikimuhitaji kimapenzi ananipa style zote, kipindi cha nyuma alikuwa anatumia tecno hizi ndogo za batani kabla hajapata smart phone tecno k7 wakati mimi nina iphone 8 plain....huyu binti nawajua baadhi ya ndugu zake hadi mama ake ananijua ila ana mama ake mkubwa ananiambia yupo kigamboni na huwa anaenda sana huko japo na siku nyingine akiwa anaenda huko huwa ananipigia simu na naongea na huyo mama ake mkubwa.

Nakumbuka ile siku kabla ya Idd tulipanga kuwa tutapika biriani lakini mishe zilifeli baada ya kukosa pesa siku hiyo ya Idd ndio akaniambia anaenda Kigamboni kwa mama ake mkubwa nikawa sina jinsi akaenda nakumbuka siku hiyo yupo njiani anaenda huko akawa ananitumia meseji za lawama kama amekasirika kuwa hatujapika chochote kidume nikawa sina jinsi, mwisho wa siku mchana kutwa akawa busy hadi jioni ananipigia kuwa niongee na mama ake mkubwa niliongea nae na siku hiyo akasema atakala hukohuko.....

Kesho yake sasa asubuhi kumekucha akaanza kunitext ooh mi maisha haya nimechoka nataka kuishi kisasa, hapo alikuwa bado anatumia tecno ya batani nataka simu kubwa yaan maneno kibao na akasema na nikirudi huko hii simu ndogo siitaki tena j.3 nitapata simu tu hii ndogo sitaitumia tena nilishangaa sana aisee.....

Kweli bwana ile cku ya Idd pili akarudi mida ya usiku kama saa 1 nikawa sina neno sasa bwna nikawa sielewi kavua chupi kaenda kuoga kucheki chupi yake imechafuka sana yaan kama imefutiwa manii(shah*wa) nikapiga kimyaa karudi kuoga tukatulia tukalala sijamgusa wala nini usiku nikaamka nikasema niwashe simu yake alikuwa kaizima kuwasha tu nikakuta msj inaingia jina kasave BABU msj imetuma inasema “usiku mwema my dear” nikaifuta nikapiga kimyaa nilichofanya nikadivert number yake aisee simu zilizokuwa zinapigwa ni balaa tupu za watu kibao tu hadi kuna baba ake mdogo niliona anawasiliana nae sana nikahisi kuna mchezo unaendelea nikamtafuta baba ake mdogo siku hiyo hiyo na kumuuliza nn kinaendelea kati yake na mwanae akanijibu hakuna kitu ila kuwa nae makini sana kiukweli alinivuruga sana baada ya kuniambia kuwa niwe nae makini sana mwanae.....

Daah baadae nikasema ngoja nipige na ile number aliyoisave babu iliyomtumia ucku ikimtakia “usiku mwema dear”......kabla ya kupiga ile number iliyosaviwa babu nikasema ngoja nichek kama ipo whatsapp kuiangalia nikaona ipo whatsapp na picha ipo ya mzee mtu mzima tu, nikamtumia picha yule mzee na kumuuliza unamjua huyu msichana hakujibu kitu nikaamua kumpigia kawaida ndio akaniambia hapana simjui kabisa nikasema poa baadae narudi home ikabidi nimwambie tu ukweli kuwa kwenye simu yako number iliyosaviwa babu ni nani ako,

Hapo hapo akaanza kuwaka ooh huyu ndugu yangu huyu sijui babu yangu yaani akawa anajibu kwa jazba sana nikamwambia kuwa makini naona unawasiliana hadi na wazee siku hiyo kidume nikawa nina hasira sana usiku tukalala mzungu wa nne kila mtu upande wake ndio baadae usiku ananiamsha kuwa anataka nimle nikamwambia hapana endelea tu babu yako nikawa nimekasirika sana ndipo akasema ngoja nikwambie ukweli huyu mzee ana hela na ananipenda sana nataka tufanye mchezo tuwe tunampiga hela tu maana mwisho wa mwezi kaniambia atanipa laki 5 ya biashara alafu pia kanipa simu ambayo ndio hiyo tecno k7 hivyo tufanye mchezo ili tumpige hela tu ila sijatembea nae” kiukweli huyu msichana nampenda sana lakini hizi tabia zake zinanitia mashaka sana maradhi ni mengi sana nahofia huyo mzee anawezaje kutoa pesa hizo na simu huu alafu eti asimle?

NIFANYE NINI JAMANI USHAURI

Baraka da prince ft Ruby - Nivumilie

Huu wimbo uliimbiwa wewe mkuu, kausikilize.
 
hadi leo hii, kiukweli huyu binti ni mzuri wa sura mweupe na ana shape nzuri tu na ni mzigua kutoka tanga, huyu binti kiukweli ni balaa anayajua mapenzi haswa yaan ni level nyingine cjawahi kukutana na msichana anayejua mapenzi na mapishi kama huyu binti.....[emoji736]

Mpaka hapo benefit of doubt ingetosha kabisa kukuonesha uko na fundi mzoefu..na ungejiuliza kajifunzia wapi haya yote?
Katest kwa nani na nani?
Kama mimi namuona ni mtamu hivi vp hao wenzangu?

Bamdogo katoa tahadhari yenye ujumbe mkubwa sana...! Kuna siku atarudi na iPhone 10
 
Back
Top Bottom