Ninampenda ila tabia zake zinanitia hofu

Hapo Mkuu Dem kajitanabaisha wazi kuwa bila pesa mambo hayaendi, na sasa hivi inaonekana mambo hayajakunyookea...

Nakushauri, Jaribu kuziondoa hisia ulizonazo kwake maana mwenzio katanguliza pesa kuliko hisia kama utaendelea kumpenda ni at your own risk!

Ungana nae, Mpigeni pesa babu hizo pesa zikusaidie maisha yaenda ila jua wazi Mwanamke hapo huna, muone kama Business Patner tu na si vinginevyo.

Aisee kweli kabisa 10/10
 
Mkiambiwa mtafute pesa, mnabaki kung'aka na kupinga matokeo yake ndo km haya, mnachapiwa hadi na vizee vinavyomalizia pension zao lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila huyo mwanamke noumer anamfundisha utapeli wa mapenzi mumewe wazi wazi khaaaaah.
 
jana kaenda karudi na laki mbili
 
Chanda chema, chavishwa pete...

Kua makini na huyo mwanamke, za kuambiwa changanya na za kwako...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyo ni business partner kwaio babu anampa bure bure tu alooo
Usikute kakuroga tayari dah
Kaka zangu mnamalizwa jamani[emoji2362]

yaan kilichobaki sasa hivi ni namtumia huyu demu na babu wake kujifaidisha na mimi ila kwenye jambo la sex ni likizo ndefu
 
Mkiambiwa mtafute pesa, mnabaki kung'aka na kupinga matokeo yake ndo km haya, mnachapiwa hadi na vizee vinavyomalizia pension zao lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila huyo mwanamke noumer anamfundisha utapeli wa mapenzi mumewe wazi wazi khaaaaah.

aisee huyu manzi siyo mke wangu
 
Back
Top Bottom