Ninampenda ila tabia zake zinanitia hofu

Mkuu kijana anaonekana hana hela alafu hana uwezo wa kumpiga chini huyo manzi..sasa unataka umshauri nini kama sio unataka ongeza watu wenye sonono nchini...
Huyu ni wakumpa moyo aendeleze gurudumu tu maana dem kamchana live na kafanya hivyo kwasababu anamuelewa mchizi ..mpaka anamka kuomba game unakuta uko babu kamchezea wee hajala mzigo kamtoa simu...karud chupi ipo ndembe ndembe anataka kaz jamaa anasusa..anasusa na hela hana...ila kajamaa kana roho ya ki rwanda[emoji1]

Ahaha ahaha roho ya ki Rwanda [emoji1781][emoji1781]
 
Kama wote wa maisha ya chini anza kujipanga na huyo manzi wako muandae awe kitega uchumi
...mtapiga hela...leo anzia na babu..kesho muogeshe mlete mjini huku karambezi au capetown mlengeshe hatokosa danga heavy ila uwe unamsimamia..pia kama pisi kali mfungulie insta account uisimamie mpige mapicha makali location nzuri kwenye kile cafeteria kenye baiskeli na maua town au kule kwenye miamvuli obey...
Yan mtapiga hela balaaaa..ila uwe unatumia kinga au usipige show za kibabe..pia tafuta kidumu chako uhakika ukiandae kama back up plan uyo baadae akikolea akakimbia kimoja

Kazi kazi hii imekaa vizuri sana
 
Nampenda sana
Pole mkuu kulingana na jinsi ulivyosimulia huyo mwanamke keshakengeuka tayari ameshaona humrishishi ki mapato ndiyo maana aliamua kumsifia huyo mzee mwenye hela aliyempata.My take kama unaona uwezo wako kwa sasa uchumi umeshuka achana naye utafute utakayeendana ki mapato vinginevyo ukiendelea kulazimisha mahusiano naye utaletewa magonjwa si unajua ukimwi badi upo bado ni silent killer. Hata huyo baba mdogo ame m serve hivyo tu ili kukudanganyia ni mshikaji wewe umekiri ulipompigia jamaa kakueleza kabisa nenda naye kwa tahadhari.Kazi kwako kufanya maamuzi.
 
Habari jamani naombeni ushauri na naenda moja kwa moja kwenye mada, mwaka ulipita nilipata mpenzi ambae ndio nipo nae hadi leo hii, kiukweli huyu binti ni mzuri wa sura mweupe na ana shape nzuri tu na ni mzigua kutoka tanga, huyu binti kiukweli ni balaa anayajua mapenzi haswa yaan ni level nyingine cjawahi kukutana na msichana anayejua mapenzi na mapishi kama huyu binti.....

Mapenzi yetu sasa hivi ni mwaka yamefika, sikuwahi kuwa na mchezo wa kumchunguza sana, maana kila nikimuhitaji kimapenzi ananipa style zote, kipindi cha nyuma alikuwa anatumia tecno hizi ndogo za batani kabla hajapata smart phone tecno k7 wakati mimi nina iphone 8 plain....huyu binti nawajua baadhi ya ndugu zake hadi mama ake ananijua ila ana mama ake mkubwa ananiambia yupo kigamboni na huwa anaenda sana huko japo na siku nyingine akiwa anaenda huko huwa ananipigia simu na naongea na huyo mama ake mkubwa.

Nakumbuka ile siku kabla ya Idd tulipanga kuwa tutapika biriani lakini mishe zilifeli baada ya kukosa pesa siku hiyo ya Idd ndio akaniambia anaenda Kigamboni kwa mama ake mkubwa nikawa sina jinsi akaenda nakumbuka siku hiyo yupo njiani anaenda huko akawa ananitumia meseji za lawama kama amekasirika kuwa hatujapika chochote kidume nikawa sina jinsi, mwisho wa siku mchana kutwa akawa busy hadi jioni ananipigia kuwa niongee na mama ake mkubwa niliongea nae na siku hiyo akasema atakala hukohuko.....

Kesho yake sasa asubuhi kumekucha akaanza kunitext ooh mi maisha haya nimechoka nataka kuishi kisasa, hapo alikuwa bado anatumia tecno ya batani nataka simu kubwa yaan maneno kibao na akasema na nikirudi huko hii simu ndogo siitaki tena j.3 nitapata simu tu hii ndogo sitaitumia tena nilishangaa sana aisee.....

Kweli bwana ile cku ya Idd pili akarudi mida ya usiku kama saa 1 nikawa sina neno sasa bwna nikawa sielewi kavua chupi kaenda kuoga kucheki chupi yake imechafuka sana yaan kama imefutiwa manii(shah*wa) nikapiga kimyaa karudi kuoga tukatulia tukalala sijamgusa wala nini usiku nikaamka nikasema niwashe simu yake alikuwa kaizima kuwasha tu nikakuta msj inaingia jina kasave BABU msj imetuma inasema “usiku mwema my dear” nikaifuta nikapiga kimyaa nilichofanya nikadivert number yake aisee simu zilizokuwa zinapigwa ni balaa tupu za watu kibao tu hadi kuna baba ake mdogo niliona anawasiliana nae sana nikahisi kuna mchezo unaendelea nikamtafuta baba ake mdogo siku hiyo hiyo na kumuuliza nn kinaendelea kati yake na mwanae akanijibu hakuna kitu ila kuwa nae makini sana kiukweli alinivuruga sana baada ya kuniambia kuwa niwe nae makini sana mwanae.....

Daah baadae nikasema ngoja nipige na ile number aliyoisave babu iliyomtumia ucku ikimtakia “usiku mwema dear”......kabla ya kupiga ile number iliyosaviwa babu nikasema ngoja nichek kama ipo whatsapp kuiangalia nikaona ipo whatsapp na picha ipo ya mzee mtu mzima tu, nikamtumia picha yule mzee na kumuuliza unamjua huyu msichana hakujibu kitu nikaamua kumpigia kawaida ndio akaniambia hapana simjui kabisa nikasema poa baadae narudi home ikabidi nimwambie tu ukweli kuwa kwenye simu yako number iliyosaviwa babu ni nani ako,

Hapo hapo akaanza kuwaka ooh huyu ndugu yangu huyu sijui babu yangu yaani akawa anajibu kwa jazba sana nikamwambia kuwa makini naona unawasiliana hadi na wazee siku hiyo kidume nikawa nina hasira sana usiku tukalala mzungu wa nne kila mtu upande wake ndio baadae usiku ananiamsha kuwa anataka nimle nikamwambia hapana endelea tu babu yako nikawa nimekasirika sana ndipo akasema ngoja nikwambie ukweli huyu mzee ana hela na ananipenda sana nataka tufanye mchezo tuwe tunampiga hela tu maana mwisho wa mwezi kaniambia atanipa laki 5 ya biashara alafu pia kanipa simu ambayo ndio hiyo tecno k7 hivyo tufanye mchezo ili tumpige hela tu ila sijatembea nae” kiukweli huyu msichana nampenda sana lakini hizi tabia zake zinanitia mashaka sana maradhi ni mengi sana nahofia huyo mzee anawezaje kutoa pesa hizo na simu huu alafu eti asimle?

NIFANYE NINI JAMANI USHAURI
Una miaka mingap kwanza?! Maan naona kabisa umejua huyo Dem ni player lkn bado unalazimisha........ usifanye huo mchezo wa kula pesa za jamaa asije akawaoa wote hii dunia ya sasa aiseh ina mambo....ikiwezekan mtumie huyo dem hakufai

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Huyo binti kwenye Avatar yako ni mzuri wa Sura.

Mkuu unamfahamu?
 
Wanaume msio na hela msahau kupendwa kwa dhati katik karne hii wanawake hawatak maneno mazur na nyimbo za njiwa peleka salamu
 
Kama wote wa maisha ya chini anza kujipanga na huyo manzi wako muandae awe kitega uchumi
...mtapiga hela...leo anzia na babu..kesho muogeshe mlete mjini huku karambezi au capetown mlengeshe hatokosa danga heavy ila uwe unamsimamia..pia kama pisi kali mfungulie insta account uisimamie mpige mapicha makali location nzuri kwenye kile cafeteria kenye baiskeli na maua town au kule kwenye miamvuli obey...
Yan mtapiga hela balaaaa..ila uwe unatumia kinga au usipige show za kibabe..pia tafuta kidumu chako uhakika ukiandae kama back up plan uyo baadae akikolea akakimbia kimoja
Nishawwwhi kuifanya huu mchezo,haya maisha nikuchagua Tu!kupanga nikuchagua,late JPM

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 
Habari jamani naombeni ushauri na naenda moja kwa moja kwenye mada, mwaka ulipita nilipata mpenzi ambae ndio nipo nae hadi leo hii, kiukweli huyu binti ni mzuri wa sura mweupe na ana shape nzuri tu na ni mzigua kutoka tanga, huyu binti kiukweli ni balaa anayajua mapenzi haswa yaan ni level nyingine cjawahi kukutana na msichana anayejua mapenzi na mapishi kama huyu binti.....

Mapenzi yetu sasa hivi ni mwaka yamefika, sikuwahi kuwa na mchezo wa kumchunguza sana, maana kila nikimuhitaji kimapenzi ananipa style zote, kipindi cha nyuma alikuwa anatumia tecno hizi ndogo za batani kabla hajapata smart phone tecno k7 wakati mimi nina iphone 8 plain....huyu binti nawajua baadhi ya ndugu zake hadi mama ake ananijua ila ana mama ake mkubwa ananiambia yupo kigamboni na huwa anaenda sana huko japo na siku nyingine akiwa anaenda huko huwa ananipigia simu na naongea na huyo mama ake mkubwa.

Nakumbuka ile siku kabla ya Idd tulipanga kuwa tutapika biriani lakini mishe zilifeli baada ya kukosa pesa siku hiyo ya Idd ndio akaniambia anaenda Kigamboni kwa mama ake mkubwa nikawa sina jinsi akaenda nakumbuka siku hiyo yupo njiani anaenda huko akawa ananitumia meseji za lawama kama amekasirika kuwa hatujapika chochote kidume nikawa sina jinsi, mwisho wa siku mchana kutwa akawa busy hadi jioni ananipigia kuwa niongee na mama ake mkubwa niliongea nae na siku hiyo akasema atakala hukohuko.....

Kesho yake sasa asubuhi kumekucha akaanza kunitext ooh mi maisha haya nimechoka nataka kuishi kisasa, hapo alikuwa bado anatumia tecno ya batani nataka simu kubwa yaan maneno kibao na akasema na nikirudi huko hii simu ndogo siitaki tena j.3 nitapata simu tu hii ndogo sitaitumia tena nilishangaa sana aisee.....

Kweli bwana ile cku ya Idd pili akarudi mida ya usiku kama saa 1 nikawa sina neno sasa bwna nikawa sielewi kavua chupi kaenda kuoga kucheki chupi yake imechafuka sana yaan kama imefutiwa manii(shah*wa) nikapiga kimyaa karudi kuoga tukatulia tukalala sijamgusa wala nini usiku nikaamka nikasema niwashe simu yake alikuwa kaizima kuwasha tu nikakuta msj inaingia jina kasave BABU msj imetuma inasema “usiku mwema my dear” nikaifuta nikapiga kimyaa nilichofanya nikadivert number yake aisee simu zilizokuwa zinapigwa ni balaa tupu za watu kibao tu hadi kuna baba ake mdogo niliona anawasiliana nae sana nikahisi kuna mchezo unaendelea nikamtafuta baba ake mdogo siku hiyo hiyo na kumuuliza nn kinaendelea kati yake na mwanae akanijibu hakuna kitu ila kuwa nae makini sana kiukweli alinivuruga sana baada ya kuniambia kuwa niwe nae makini sana mwanae.....

Daah baadae nikasema ngoja nipige na ile number aliyoisave babu iliyomtumia ucku ikimtakia “usiku mwema dear”......kabla ya kupiga ile number iliyosaviwa babu nikasema ngoja nichek kama ipo whatsapp kuiangalia nikaona ipo whatsapp na picha ipo ya mzee mtu mzima tu, nikamtumia picha yule mzee na kumuuliza unamjua huyu msichana hakujibu kitu nikaamua kumpigia kawaida ndio akaniambia hapana simjui kabisa nikasema poa baadae narudi home ikabidi nimwambie tu ukweli kuwa kwenye simu yako number iliyosaviwa babu ni nani ako,

Hapo hapo akaanza kuwaka ooh huyu ndugu yangu huyu sijui babu yangu yaani akawa anajibu kwa jazba sana nikamwambia kuwa makini naona unawasiliana hadi na wazee siku hiyo kidume nikawa nina hasira sana usiku tukalala mzungu wa nne kila mtu upande wake ndio baadae usiku ananiamsha kuwa anataka nimle nikamwambia hapana endelea tu babu yako nikawa nimekasirika sana ndipo akasema ngoja nikwambie ukweli huyu mzee ana hela na ananipenda sana nataka tufanye mchezo tuwe tunampiga hela tu maana mwisho wa mwezi kaniambia atanipa laki 5 ya biashara alafu pia kanipa simu ambayo ndio hiyo tecno k7 hivyo tufanye mchezo ili tumpige hela tu ila sijatembea nae” kiukweli huyu msichana nampenda sana lakini hizi tabia zake zinanitia mashaka sana maradhi ni mengi sana nahofia huyo mzee anawezaje kutoa pesa hizo na simu huu alafu eti asimle?

NIFANYE NINI JAMANI USHAURI
Changudoa hafugiki kamwe....kakuonyesha dalili zote za ufuska wake, unakaa naye kwanini?
 
Back
Top Bottom