Ninampenda ila tabia zake zinanitia hofu

90%+ babu atakuwa kashaungua, haoni tatizo kujipoza na pesa zake alizonazo.

Wakiamua kufanya hivyo basi wahakikishe hawezi kuunguzwa
Babu hajaungua walioungua pesa kama laki 5 hua haisubiri mwisho wa mwezi.

Ushauri wangu kwa mleta uzi ni afanya mpango agewe hata 1M afungua biz yoyote.
 
Kaka hapo hauna mke ,mchumba wala demu huo ni mlupo...yaan mtu anapigwa nje kisa simu daaah..wanawake wa siku hizi ni shida
 
Habari jamani naombeni ushauri na naenda moja kwa moja kwenye mada, mwaka ulipita nilipata mpenzi ambae ndio nipo nae hadi leo hii, kiukweli huyu binti ni mzuri wa sura mweupe na ana shape nzuri tu na ni mzigua kutoka tanga, huyu binti kiukweli ni balaa anayajua mapenzi haswa yaan ni level nyingine cjawahi kukutana na msichana anayejua mapenzi na mapishi kama huyu binti.....

Mapenzi yetu sasa hivi ni mwaka yamefika, sikuwahi kuwa na mchezo wa kumchunguza sana, maana kila nikimuhitaji kimapenzi ananipa style zote, kipindi cha nyuma alikuwa anatumia tecno hizi ndogo za batani kabla hajapata smart phone tecno k7 wakati mimi nina iphone 8 plain....huyu binti nawajua baadhi ya ndugu zake hadi mama ake ananijua ila ana mama ake mkubwa ananiambia yupo kigamboni na huwa anaenda sana huko japo na siku nyingine akiwa anaenda huko huwa ananipigia simu na naongea na huyo mama ake mkubwa.

Nakumbuka ile siku kabla ya Idd tulipanga kuwa tutapika biriani lakini mishe zilifeli baada ya kukosa pesa siku hiyo ya Idd ndio akaniambia anaenda Kigamboni kwa mama ake mkubwa nikawa sina jinsi akaenda nakumbuka siku hiyo yupo njiani anaenda huko akawa ananitumia meseji za lawama kama amekasirika kuwa hatujapika chochote kidume nikawa sina jinsi, mwisho wa siku mchana kutwa akawa busy hadi jioni ananipigia kuwa niongee na mama ake mkubwa niliongea nae na siku hiyo akasema atakala hukohuko.....

Kesho yake sasa asubuhi kumekucha akaanza kunitext ooh mi maisha haya nimechoka nataka kuishi kisasa, hapo alikuwa bado anatumia tecno ya batani nataka simu kubwa yaan maneno kibao na akasema na nikirudi huko hii simu ndogo siitaki tena j.3 nitapata simu tu hii ndogo sitaitumia tena nilishangaa sana aisee.....

Kweli bwana ile cku ya Idd pili akarudi mida ya usiku kama saa 1 nikawa sina neno sasa bwna nikawa sielewi kavua chupi kaenda kuoga kucheki chupi yake imechafuka sana yaan kama imefutiwa manii(shah*wa) nikapiga kimyaa karudi kuoga tukatulia tukalala sijamgusa wala nini usiku nikaamka nikasema niwashe simu yake alikuwa kaizima kuwasha tu nikakuta msj inaingia jina kasave BABU msj imetuma inasema “usiku mwema my dear” nikaifuta nikapiga kimyaa nilichofanya nikadivert number yake aisee simu zilizokuwa zinapigwa ni balaa tupu za watu kibao tu hadi kuna baba ake mdogo niliona anawasiliana nae sana nikahisi kuna mchezo unaendelea nikamtafuta baba ake mdogo siku hiyo hiyo na kumuuliza nn kinaendelea kati yake na mwanae akanijibu hakuna kitu ila kuwa nae makini sana kiukweli alinivuruga sana baada ya kuniambia kuwa niwe nae makini sana mwanae.....

Daah baadae nikasema ngoja nipige na ile number aliyoisave babu iliyomtumia ucku ikimtakia “usiku mwema dear”......kabla ya kupiga ile number iliyosaviwa babu nikasema ngoja nichek kama ipo whatsapp kuiangalia nikaona ipo whatsapp na picha ipo ya mzee mtu mzima tu, nikamtumia picha yule mzee na kumuuliza unamjua huyu msichana hakujibu kitu nikaamua kumpigia kawaida ndio akaniambia hapana simjui kabisa nikasema poa baadae narudi home ikabidi nimwambie tu ukweli kuwa kwenye simu yako number iliyosaviwa babu ni nani ako,

Hapo hapo akaanza kuwaka ooh huyu ndugu yangu huyu sijui babu yangu yaani akawa anajibu kwa jazba sana nikamwambia kuwa makini naona unawasiliana hadi na wazee siku hiyo kidume nikawa nina hasira sana usiku tukalala mzungu wa nne kila mtu upande wake ndio baadae usiku ananiamsha kuwa anataka nimle nikamwambia hapana endelea tu babu yako nikawa nimekasirika sana ndipo akasema ngoja nikwambie ukweli huyu mzee ana hela na ananipenda sana nataka tufanye mchezo tuwe tunampiga hela tu maana mwisho wa mwezi kaniambia atanipa laki 5 ya biashara alafu pia kanipa simu ambayo ndio hiyo tecno k7 hivyo tufanye mchezo ili tumpige hela tu ila sijatembea nae” kiukweli huyu msichana nampenda sana lakini hizi tabia zake zinanitia mashaka sana maradhi ni mengi sana nahofia huyo mzee anawezaje kutoa pesa hizo na simu huu alafu eti asimle?

NIFANYE NINI JAMANI USHAURI
Ukiona manyoya?.....................................ntarudi kucomment badae
 
Kama unampenda mtu wee focus nae! Mbadilishe kuwa vile unataka nahizo tabia ataacha. Wanawake tunabadilika vizuri tu mbona. Pia fanya hima mkapime!

Jarbu huu ushauri mkuu lakin njia nyepesi ya kumbadilish mtu ni kubadilika ww kwanza,,
 
hivi hawa raia waliopo jf ndiyo wapo na huku mtaani sasa hapa ushauri unaomba wa nini
 
Habari jamani naombeni ushauri na naenda moja kwa moja kwenye mada, mwaka ulipita nilipata mpenzi ambae ndio nipo nae hadi leo hii, kiukweli huyu binti ni mzuri wa sura mweupe na ana shape nzuri tu na ni mzigua kutoka tanga, huyu binti kiukweli ni balaa anayajua mapenzi haswa yaan ni level nyingine cjawahi kukutana na msichana anayejua mapenzi na mapishi kama huyu binti.....

Mapenzi yetu sasa hivi ni mwaka yamefika, sikuwahi kuwa na mchezo wa kumchunguza sana, maana kila nikimuhitaji kimapenzi ananipa style zote, kipindi cha nyuma alikuwa anatumia tecno hizi ndogo za batani kabla hajapata smart phone tecno k7 wakati mimi nina iphone 8 plain....huyu binti nawajua baadhi ya ndugu zake hadi mama ake ananijua ila ana mama ake mkubwa ananiambia yupo kigamboni na huwa anaenda sana huko japo na siku nyingine akiwa anaenda huko huwa ananipigia simu na naongea na huyo mama ake mkubwa.

Nakumbuka ile siku kabla ya Idd tulipanga kuwa tutapika biriani lakini mishe zilifeli baada ya kukosa pesa siku hiyo ya Idd ndio akaniambia anaenda Kigamboni kwa mama ake mkubwa nikawa sina jinsi akaenda nakumbuka siku hiyo yupo njiani anaenda huko akawa ananitumia meseji za lawama kama amekasirika kuwa hatujapika chochote kidume nikawa sina jinsi, mwisho wa siku mchana kutwa akawa busy hadi jioni ananipigia kuwa niongee na mama ake mkubwa niliongea nae na siku hiyo akasema atakala hukohuko.....

Kesho yake sasa asubuhi kumekucha akaanza kunitext ooh mi maisha haya nimechoka nataka kuishi kisasa, hapo alikuwa bado anatumia tecno ya batani nataka simu kubwa yaan maneno kibao na akasema na nikirudi huko hii simu ndogo siitaki tena j.3 nitapata simu tu hii ndogo sitaitumia tena nilishangaa sana aisee.....

Kweli bwana ile cku ya Idd pili akarudi mida ya usiku kama saa 1 nikawa sina neno sasa bwna nikawa sielewi kavua chupi kaenda kuoga kucheki chupi yake imechafuka sana yaan kama imefutiwa manii(shah*wa) nikapiga kimyaa karudi kuoga tukatulia tukalala sijamgusa wala nini usiku nikaamka nikasema niwashe simu yake alikuwa kaizima kuwasha tu nikakuta msj inaingia jina kasave BABU msj imetuma inasema “usiku mwema my dear” nikaifuta nikapiga kimyaa nilichofanya nikadivert number yake aisee simu zilizokuwa zinapigwa ni balaa tupu za watu kibao tu hadi kuna baba ake mdogo niliona anawasiliana nae sana nikahisi kuna mchezo unaendelea nikamtafuta baba ake mdogo siku hiyo hiyo na kumuuliza nn kinaendelea kati yake na mwanae akanijibu hakuna kitu ila kuwa nae makini sana kiukweli alinivuruga sana baada ya kuniambia kuwa niwe nae makini sana mwanae.....

Daah baadae nikasema ngoja nipige na ile number aliyoisave babu iliyomtumia ucku ikimtakia “usiku mwema dear”......kabla ya kupiga ile number iliyosaviwa babu nikasema ngoja nichek kama ipo whatsapp kuiangalia nikaona ipo whatsapp na picha ipo ya mzee mtu mzima tu, nikamtumia picha yule mzee na kumuuliza unamjua huyu msichana hakujibu kitu nikaamua kumpigia kawaida ndio akaniambia hapana simjui kabisa nikasema poa baadae narudi home ikabidi nimwambie tu ukweli kuwa kwenye simu yako number iliyosaviwa babu ni nani ako,

Hapo hapo akaanza kuwaka ooh huyu ndugu yangu huyu sijui babu yangu yaani akawa anajibu kwa jazba sana nikamwambia kuwa makini naona unawasiliana hadi na wazee siku hiyo kidume nikawa nina hasira sana usiku tukalala mzungu wa nne kila mtu upande wake ndio baadae usiku ananiamsha kuwa anataka nimle nikamwambia hapana endelea tu babu yako nikawa nimekasirika sana ndipo akasema ngoja nikwambie ukweli huyu mzee ana hela na ananipenda sana nataka tufanye mchezo tuwe tunampiga hela tu maana mwisho wa mwezi kaniambia atanipa laki 5 ya biashara alafu pia kanipa simu ambayo ndio hiyo tecno k7 hivyo tufanye mchezo ili tumpige hela tu ila sijatembea nae” kiukweli huyu msichana nampenda sana lakini hizi tabia zake zinanitia mashaka sana maradhi ni mengi sana nahofia huyo mzee anawezaje kutoa pesa hizo na simu huu alafu eti asimle?

NIFANYE NINI JAMANI USHAURI
yaani unachofanya ni sawa na Mwanamke mwenye akili timamu unaenda kwa mwanaume then ukiliwa mzigo ukitoka unasema haukutaka kuliwa ulijua umeenda kutembea tu
 
Yupo kijana mmoja jirani hapa hafanyi kazi yeyote lakini mkewe kila akitoka akirudi ana chochote kitu wanapika wanakula maisha yanaenda. Hutaki unaacha, unataka bas kaza roho
 
Zingatia sana ushauri wa bamdogo

kiukweli huyu binti ni mzuri wa sura mweupe na ana shape nzuri tu na ni mzigua kutoka tanga, huyu binti kiukweli ni balaa anayajua mapenzi haswa yaan ni level nyingine cjawahi kukutana na msichana anayejua mapenzi na mapishi kama huyu binti.....
Kijana bado anahitaji ushauri juu ya hayo[emoji23][emoji23] mpaka baba mdogo kamwambia kuwa makini lakn jamaa bado haelewi
 
pesa zipo nahisi hazitoshi
Brother "huna Pesa" huo ndio ukweli, japo kuwa na pesa sio sababu ya mwanamke kuto kuchepuka
Lakini angalau ukiwa na Pesa inapunguza asilimia kadhaa za mwanamke kuchepuka hovyo.
Sikia achana na maswala ya kumpenda mwanamke ambaye tayari amethibitisha mwenyewe kuwa yupo kwa ajili ya Pesa.
Piga chini kisha komaa kwenye mishe zako . ukataze moyo wako kupenda kitu/mtu asiye sahihi kwako.
Narudia komaa kwenye mishe zako, sisi wanaume ni jamii ya wanyama wawindaji, simba ukimkamata swala ukaona nyama yake hailiki piga chini endelea kuwinda swala mwingne
Ahsante
 
Ushauri mkubwa kuliko wote, jibidishe kutafuta pesa na maisha. Root cause ya kila ulichosimulia hapo ni wewe kukosa pesa, basi sio pesa nyingi...walau ya kuweza kukusaidia hata akitaka kupika biriani uwe nayo.
 
Back
Top Bottom