Ninamtafuta Baba yangu anaitwa Gervas Kalilo. Alikuwa anaishi Kahama Mtaa wa Uhindini miaka ya 1990

Ninamtafuta Baba yangu anaitwa Gervas Kalilo. Alikuwa anaishi Kahama Mtaa wa Uhindini miaka ya 1990

Aisee kwanza nashukru kwa Dua zako njema kwangušŸ™ pili nipo serious sio utani kama unavyofikiria tatu ninamtafuta kwa nia njema kabisa ya aman na lengo kubwa nikutaka kumfahamu tu na kujua asili yangu hiyo tu itatosha na nitapata aman sana kwa kadiri ya iman yangu ipo siku nitampata na itakua siku njema sana kwangušŸ™
Aisee sasa kama wewe unamiaka 50, mzee wako anatakiwa kuwa 80 na ushee
Sijui kama atakuwepo, ila usikate tamaa, jaribu unaweza kumpata.
Kwani uko wapi mpaka ushindwe kutia timu mwenyewe, japo kumebadilika na ule mtaa hakuna tena wahindi,
Zamani kulikuwa kumependeza sana ile mitaa na mpaka msikiti wao ulikuwepo
 
Back
Top Bottom