Ninamtafuta Baba yangu anaitwa Gervas Kalilo. Alikuwa anaishi Kahama Mtaa wa Uhindini miaka ya 1990

Aisee sasa kama wewe unamiaka 50, mzee wako anatakiwa kuwa 80 na ushee
Sijui kama atakuwepo, ila usikate tamaa, jaribu unaweza kumpata.
Kwani uko wapi mpaka ushindwe kutia timu mwenyewe, japo kumebadilika na ule mtaa hakuna tena wahindi,
Zamani kulikuwa kumependeza sana ile mitaa na mpaka msikiti wao ulikuwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…